Madiwani Arusha Jino kwa Jino na Dr. Slaa

We pimbi unajua kama lugha ya madrasa haikwepeki mpka sunduy schools wanaitumia

ahili is a language that fuses African Bantu with Arabic. Arab sailors and traders have established links and ties with East Africa for centuries, their language strongly merged with the local language to produce a creole derivative. The word Swahili itself is derived from Arabic Sawahili سواحلي which is plural for ساحل meaning [Language] of the Coast.
This article gives some examples of Arabic words still in today's Swahili.
Here are some words.
hatari خطر Danger. Also the title of a 1962 movie starring John Wayne, set in Africa.
Safari سفر Travel. Also: trip
mahaliمحل Place
vitabuكتاب Book
msumariمسمار Nail
kataقطع Cut, chop
habari خبر news
huruحر free
dhamiriضمير conscience
kamusiقاموس dictionary
baridiبارد cold
samahaniسامحني forgive me, excuse me
rafikiرفيق companion, friend
tafadhali تفضل please
furahi فرح happy

[h=2]Time[/h] The terms for time are strongly influenced by Arabic. Many of it taken by the prayer times of Islam.
asubuhiصبح morning
dakikaدقيقة minute
saaساعة hour
wakatiوقت time
alasriالعصر late afternoon
magharibiالمغرب sunset
alfajiriالفجر dawn
karneقرن century

The Swahili names for the first five days of the week all start with Juma, then the order of the day of the week, Saturday being the first day of the week. Jumaa is derived from the Arabic word جمعة which means Friday, as well as "week. Only two days of the week got the Arabic names:
alkhamisi الخميسThursday
ijumaaالجمعة Friday

[h=2]Animal Names[/h] Animal names are all native African Bantu (e.g. simba lion). However, there are a few exceptions.
Tausi طاوس Peacock, being non-native to Africa, it took the Arabic name, which in turn took it from Persian.



[h=2]Numbers[/h] The number system is also heavily Arabic, although not exclusively so.
nusuنص Half. The proper classical Arabic word is نصف nisf. In many present day dialects it is "nus", like in Swahili.
roboربع Quarter
sitaستة 6
sabaسبعة 7
tisaتسعة9
ishriniعشرين20
thalathiniثلاثين30
arubainiأربعين40
hamsiniخمسين50
sitiniستين 60
sabiniسبعين 70
thamaniniثمانين 80
tisiniتسعين 90
miaمئة 100. The middle letter in classical Arabic is Hamza, however, in present day dialects, like Swahili, it is a Y sound.
elfuألف 1000

[h=2]Resources[/h] Here are some useful links on Swahili.

Hizi copy & paste zako peleka kwenye shura ya maimamu, kwa sababu hawana elimu ndio unaweza ukawafundisha, mimi nafundishwa na maprofesa wa Oxford na sio ushuzi kama wewe ambaye unadhani google search ndio elimu.
 
nilipoona title haraka haraka nikakimbiia kujua source, nimeelewa.
Asante habari leo, gazeti dada la Uhuru
 
Ahahahaha!! Nimecheka kuna jamaa mmoja humu JF, anaandika mwenyewe posts zake halafu anajibu mwenyewe!! sio raisi kumjua mpaka uwe na akili yenye Congnition!! Lol!
 
Ahahahaha!! Nimecheka kuna jamaa mmoja humu JF, anaandika mwenyewe posts zake halafu anajibu mwenyewe!! sio raisi kumjua mpaka uwe na akili yenye Congnition!! Lol!
Utaendelea sana kuweweseka na mimi, inaelekea Rev Masanilo huwa anakushughulikia kotekote kwahiyo kila unaemuona unadhani ni yeye, Hahahahahahahahah! pole sana bwana mdogo.
 
Ni ni kikao cha ngapi cha halmashauri kilichochagua hayo majina ya unaibu meya wa arusha?
Kama ni muafaka kwanini hao madiwani waliopewa madaraka wasimtambue meya halafu wafanye uchaguzi wakiachia kamati za vyama husika zichague wagombea sahihi?
MY TAKE:
CCM imefanikiwa kuivuruga chadema kwa kiasi fulani and the calculation is like this:
1. Mgogoro wa madiwani arusha na uongozi wa juu
2. Shibuda kwa upande mwingine anawashambulia bungeni.
3. Wakumfukuza Shibuda ataenda huko usukumani kueneza kuwa amefukuzwa kwa sababu yeye si mtu wa kaskazini.
Kwa upande mwingine Arusha wataeneza kuwa chadema ni chama cha kidikteta na wapenda vurugu ndiyo sababu hawataki suluhu!
MTAZAMO WANGU:
Madiwani walioingia makubaliano arusha washinikizwe kuyakana makubaliano yao ASAP
Shibuda afukuzwe uanachama kabla ya bunge hili kumalizika ikibidi within This july. Usaliti wa shibuda ulianza kijionyesha mara tu baada ya uchaguzi katika matukio haya ninayoyakumbuka
1. chaguzi mbalimbali ndani ya bunge
2. maandamano na mikutano ya kudai kushuka kwa bei za bidhaa - matukio haya yote hakushiriki
3. kauli zake bungeni
 
Maamuzi sahihi ni kuwafukuza kama ikibainika walikula Rushwa ili kufanya Mwafaka feki. Hakuna mtu muhimu kuliko chama.
 
Hizi ni ndoto za mchana ambazo mmekuwa mkiziota wanamagamba kila siku lakini Slaa anazidi kujijenga na kujiongezea umaarufu.

Asiyetaka amani ndani ya jiji la Arusha anajulikana kwamba ni ccm sasa slaa anatokea wapi tena??

Slaa hanunuliki kwa kitu kidogo ama kikubwa, ndio maana chenkapa alijaribu kumpa nafasi ya ubalozi ili atoke chadema lakini akashindwa.

Kitu kidogo wapeni hao hao madiwani wa arusha na kwa bahati mbaya kwenu wanamagamba, kitu kidogo mmeliwa na muafaka feki hautambuliki.

Kwa umaarufu wakuchukua wake za watu huo anao hata sibishi, hata na ww akikaa wa kwako vibaya atamchukua
 
The story's source makes it SKEPTICAL, VOID, FABRICATED and COOKED!. Credibility is the Key to the reliability of anything. Habari leo is not credible source and hence unreliable
 
MADIWANI wa Chadema katika Manispaa ya Arusha, wamesema chama hicho ‘hakina ubavu’ wa kuwafukuza kwa kuwa kufanya hivyo, kitakuwa kinacheza mchezo wa pata potea.

Wakizungumza na gazeti hili kwa masharti ya kutotajwa majina gazetini baada ya kuonywa kutozungumzia mgogoro wao na uongozi wa chama hicho Taifa, madiwani hao walisema wanaamini Kamati Kuu ya chama hicho haiwezi kufanya kosa hilo.

‘’Hili suala linapaswa kuamuliwa kwa hekima na busara, kunifukuza mimi ama madiwani wote hapa kuna mambo mawili; moja Chadema kupoteza viti vyote ama kupata na hiyo ni bahati nasibu na sidhani kama Kamati Kuu italikubali hilo,’’ alisema mmoja wa madiwani hao.

Juni 29 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alikaririwa akisema chama hicho kiko tayari kuwatimua madiwani wake wote wa Arusha kwa madai kuwa wamekisaliti chama baada ya kufikia muafaka wa Arusha kwa maslahi ya mkoa huo.

Dk. Slaa alikaririwa, akisema uamuzi wa madiwani huo, kumpata meya na naibu wake Arusha ambao ulipongezwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), hawautambui kwa madai una upungufu ukiwamo wa kukosa barua ya Chadema ya kukubali maridhiano.

Baada ya kauli hiyo ya Dk. Slaa, iliyotolewa baada ya kauli nyingine ya Mbunge wa Arusha, Godbless Lema, kwamba hatambui maridhiano hayo ya amani na yenye lengo la kuharakisha maendeleo ya Arusha, madiwani hao Juni 30 waliweka kikao katika hoteli moja
kubwa mjini hapa kujadili kauli hizo.

Baada ya kikao hicho, diwani mwingine alisema Dk. Slaa amewatumia ujumbe kwa njia ya mtandao wa intaneti na kuwaamuru waache kuzungumzia suala hilo katika vyombo vya habari.

Alisema hata hivyo, kikao chao kimesisitiza kuwa muafaka waliofikia na madiwani wenzao wa CCM, ni sahihi uliofuata taratibu zote kwa maslahi ya chama na si uamuzi wa mtu binafsi wenye uroho wa madaraka na kamwe hawakukurupuka.

‘’Tumefikia muafaka kwa maslahi ya Chadema pia, hatukufanya hivyo kwa uroho wa kutaka vyeo katika kamati ndani ya Halmashauri.

Kauli kwamba tuliamua kwa uroho wa madaraka ni kutaka kuupotosha umma na kauli hizo hazifai kutamkwa na kiongozi kama Lema,’’ alisema diwani huyo.

Alisema wanawaheshimu sana viongozi wao wa juu, lakini na wao ni viongozi waliochaguliwa na wananchi kama Lema na uamuzi waliochukua Lema anaujua, lakini inasikitisha kuona madiwani wakiamua ni kosa, wakati ni kwa maslahi ya wakazi wa Arusha.

Diwani huyo alidai Lema anajua kila kitu, kwa kuwa katika mchakato wa awali, alishirikishwa na kuambiwa kila kitu kinachoendelea, lakini hakutoa uamuzi ila kinachoonekana ni ubinafsi wake na huo ndio unaosumbua ndani ya Chadema.

‘’Hapa suala ni kutoa uamuzi kwa maslahi ya chama na si mtu binafsi; hilo halitawezekana, kwani kila mmoja anapaswa kuheshimiwa na kusikilizwa katika kutoa uamuzi na wasitokee baadhi ya watu ndani ya chama kuonekana miungu watu,’’ alisema.

Mbali na Dk. Slaa na Lema, pia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alinukuliwa kwa nyakati tofauti akipinga muafaka huo.
Habari Leo
Madiwani waliodaiwa kufukuzwa ni watatu tu.Kudai eti hawakutaka majina yao yatajwe ni udhaifu mwingine.Utafauti hapo ni kutokusema ni yupi said exactly what.However tunajuwa kwa umoja wao wameyasema hayo.Habari hii ni ya kiprpaganda zaidi na pia kuna uwezekano ni ya kutungwa.Pia inawezekana aliyesema ni mmoja na si wote watatu.Ama pia inawezekana wakawa ni wawili na si watatu.Ama pengine hakuna hata mmoja wao aliyezungumza hayo,yani kwamba ni utunzi.
 
Utaendelea sana kuweweseka na mimi, inaelekea Rev Masanilo huwa anakushughulikia kotekote kwahiyo kila unaemuona unadhani ni yeye, Hahahahahahahahah! pole sana bwana mdogo.
Nawashkuru JF, kwa kukubali kutoa kitufe cha Thanks, wazee wa Thanks imekula kwenu, mimi sijataja jina mtu yoyote lakini nimechokonoa shimo na mti wametoka Kenge kwa kasi ya ajabu
 
Akina Mala mlifanya muafaka bila kuushirikisha viongozi wa juu wa chama ? Kama ni hivyo mlikosea . Party caucus?
 
Habari leo gazeti la propoganda la serikali linaloshirikiana na USALAMA WA TAIFA kuua demokrasia nchini wahariri wa gazeti hili na Mkurugenzi wa usalama wa taifa wanaweza wakawa watuhumiwa kwenye mahakama zozote za kidunia kwa jinsi wanavyoeneza uongo unaoweza kuleta maafa makubwa ndani ya nchi

Story ya leo kwenye gazeti hili ni fabricated na inathibitisha upotofu wa taaluma ya uandishi hata mwandishi wa habari hii hawezi kupata kitu chochote cha kujiendeleze kwenye taaluma yake kwa sababu anatumika ni sawa na kumwambia Daktari ebu mchome sindano ya ukimwi adui yangu yule nadhani hataweza kwa maadili ya kazi yake lakini waandishi wa Habari leo wanaoomba bahasha kila anapotaka kutoa habari fulani ya kazi yako unawaona walivyochoka huku soksi na viatu walivyovaa vikinuka

Mwandishi wa habari leo anayezika taaluma yake anataja madiwani wa arusha walikaa kwenye mkutano bila aibu hataji idadi ya waliokaa kwenye mkutano hata mwenye kiti wa kikao hicho hatajwi ,hata dondoo za kikao hicho haweki kwenye gazeti huku ni kudharaulisha taaluma
Anasema waliotoa habari hizo hawataki watajwe majina yao wakati umma unajua madiwani washiriki walikuwa watatu aseme basi kama wote walitoa hiyo habari au mmoja au wawili huku ni kudharaulisha taaluma

Mwandishi wa habari hii anasema Dr Slaa amewaonya wasitoe habari kwa waandishi kupitia mtandao **** huyu hawezi hata kukopy na kupaste habari ya kutoka kwenye mtandao kuuthibitishia umma

Habari leo gazeti la propaganda la CCM hakuna mtu atadanganyika

Kama Chadema wanataka kuaminika kwa yale wanayoyasema baada ya uchunguzi ni afadhali wachukue maamuzi magumu kama ni kwanza moja bora kuanza moja na kuendelea kuliko kulea viwavi na michwa ndani ya chama watachelewesha ukombozi hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom