Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Attachments

  • Polish_20230127_174111622.jpg
    Polish_20230127_174111622.jpg
    127 KB · Views: 2
Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!

Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!

Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
 
Nimependa sana Dr. Tulia (Dr wa kisomo) alivyozungumzia hili bila unafiki.

Itafika wakati tutashindwa kutofautisha yupi ni Dr msomi na Dr aliyenunua utambulisho wa Udaktari kwa pesa.

Hivi kweli Babu Tale anapewa heshima ya Udaktari kwa kitu gani alichofanya? Hiyo taasisi iliyompa kwanza ina watu wenye akili sawasawa?

Huu ni upumbavu,huu ni upimbi, hatuwezi kuwa na taifa la mapimbi kwa kuogopa tukisema wataona tunawaonea wivi wao wamepata udokta bila kiteseka.

Hawa dawa yao ni ndogo tu, ni kutokuwatambua kama madokta, yani kila mahali, iwe bungeni au kwenye hafla yoyote hakuna kumuita Dr fulani, unamuita jina lake Bwana Hamis Shaban Taletale. Maana lengo lao la kununua ni ili waitwe madokta.

Kama unataka kutambulika kama Dokta, ingia darasani piga kitabu, kaa chini andaa andiko na ulitetee ndio ukitoka hapo uone raha kujiita Dokta blah blah.

Kwanza hizo PhD za heshima watu huwa hawajiiti madokta,ni ujinga na ushamba tu.
 
Speaker kama kiongozi wa muhimili wa dola, anayo mamlaka ya kutolea maelezo ugawaji holela wa PhD za mchongo kwakua watu wake wameanza kuzishobokea na kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa bila ya kujali athari kubwa itakayotokana na ujinga huo
 
Nimependa sana Dr. Tulia (Dr wa kisomo) alivyozungumzia hili bila unafiki.

Itafika wakati tutashindwa kutofautisha yupi ni Dr msomi na Dr aliyenunua utambulisho wa Udaktari kwa pesa.

Hivi kweli Babu Tale anapewa heshima ya Udaktari kwa kitu gani alichofanya? Hiyo taasisi iliyompa kwanza ina watu wenye akili sawasawa?

Huu ni upumbavu,huu ni upimbi, hatuwezi kuwa na taifa la mapimbi kwa kuogopa tukisema wataona tunawaonea wivi wao wamepata udokta bila kiteseka.

Hawa dawa yao ni ndogo tu, ni kutokuwatambua kama madokta, yani kila mahali, iwe bungeni au kwenye hafla yoyote hakuna kumuita Dr fulani, unamuita jina lake Bwana Hamis Shaban Taletale. Maana lengo lao la kununua ni ili waitwe madokta.

Kama unataka kutambulika kama Dokta, ingia darasani piga kitabu, kaa chini andaa andiko na ulitetee ndio ukitoka hapo uone raha kujiita Dokta blah blah.

Kwanza hizo PhD za heshima watu huwa hawajiiti madokta,ni ujinga na ushamba tu.
I SECOND
 
Ukweli wamechelewa sana kujua. Hakuna anayestahili hata mmoja awe amekaa darasani au ametunukiwa. Ila sisi ndiyo tunaojua nguvu uliyonayo ni ipi kwa elimu uliyonayo.
 
Back
Top Bottom