Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
JF asitulaumu mtu maana haya yote yanayoendelea watu tulishayatolea onyo mapema lakini hatukusikilizwa.
Saa 10 leo jioni nimesikia ktk radio Uhuru kwamba MNH wamesitisha huduma zote za matibabu kwa wagonjwa wote toka nje. Hii ni historia nyingine ktk taifa letu. Najiuliza, Mponda na wasaidizi wake wanasubiri nini?
Hacha uongo leta ushahidi:juggle:
Ishakuwa noma...na jamaa wa Bagamoyo yuo Duniani au kahama sayari????Wakuu hali ni mbaya sasa Huduma zote za tiba ktk hospitali ya Muhimbili na ile ya MOI waliopo tu ndiyo watakao tibiwa na askali wa jeshi
Nawasilisha
source TBC - Taifa
matokeo ya 4m 4 yatazimisha habari zote hizi, wee ngoja tu.
tz raha bana.
sio kusitisha tu waseme kabisa na jinsi wale wagonjwa waliopo mawodini wanavyokata roho kila baada ya dk 1 kwa kukosa huduma ya madaktari toka jana. waseme tu ukweli ujulikane jamani.hali ni mbaya sana huku muhimbili motuary imefurika hakufai.
Labda serikali inataka Dr.s waombe rushwa wagonjwa ili wajiongezee kipato,
Maana kila nikifikiri sioni wsababu ya serikali mfu hii kushindwa kutatua huu mgomo wa madaktari kwa kuwapa wanachotaka kwani kipo ndani ya uwezo wao, labda kwa kuwa wahusika serikalini hakuna anayetibu mgonjwa wake ktk hizi hospitali.
Inauma sana hadi machozi yananitoka nilnaposikiliza wagonjwa wanapohojiwa........
Eeee Mungu Mwenyezi shuka mwenyewe sasa utuokoe......