Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Oil kuvuja kuna mawili
Oil seal imechoka au knob ya kumwaga oil haijakazwa
Check hayo mawili
Nina Carina si, baada ya kubadilisha oil seal gari inatoa moshi sana ukipiga silence...
Fundi kanishauri kufanya overhaul, kuna mtu kaniambia ukifanya hivyo hiyo inakuwa siyo gari tena.., ushauri wataalam..
 
Nina Carina si, baada ya kubadilisha oil seal gari inatoa moshi sana ukipiga silence...
Fundi kanishauri kufanya overhaul, kuna mtu kaniambia ukifanya hivyo hiyo inakuwa siyo gari tena.., ushauri wataalam..
Sio kweli ila ikifanyika vibaya ndio basi tena
 
Wakuu habari, mwenye ujuzi naomba anisaidie approximation za kuiridisha barabarani hii gari kama inavyoonekana kwenye picha. Kila kitu kipo kasoro engine na gear box. Inatumia engine ya EJ20. Kuhusu body nataka ku replace hizo sehem zote zilizoharibika wala si kunyoosha.
beb725e0-063e-4c2e-81d8-6bf6fa318637.jpg

b24aa54a-4fb7-4449-a230-3870b01b6fe6.jpg

f3b02a9f-f9c0-4405-892e-777048463e74.jpg

48772441-8fe7-4cfa-aa5b-eeed870093d1.jpg

7a94075c-88d9-4746-9610-749c1c6f8f10.jpg


Ni Subaru Forester ya mwaka 2004
 
Wakuu habari, mwenye ujuzi naomba anisaidie approximation za kuiridisha barabarani hii gari kama inavyoonekana kwenye picha. Kila kitu kipo kasoro engine na gear box. Inatumia engine ya EJ20. Kuhusu body nataka ku replace hizo sehem zote zilizoharibika wala si kunyoosha. View attachment 1921705
View attachment 1921706
View attachment 1921707
View attachment 1921708
View attachment 1921709

Ni Subaru Forester ya mwaka 2004
Mhh hapo jipange uwe na 5m mkononi

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom