Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari mika wana jamvi,
Mimi naomba ufahamu kuhusu gari langu aina ya Kia sportage.... Inanisumbua inawaka lakini haichanganyi mafuta... Nimebadili plugs... Air flow na fuel injection zote lakini tatizo bado liko palepale na inatoa harufu kali ya mafuta yasioungua vizuri kwenye exhaust. Pls mwenye uzoefu na gari hizi anisaidie
Umecheki oxygen sensor kama ni nzima,kafanye check up diagnosis tools utajua tatizo. lake tu
 
c0572dff953fbd3ff917065fd7ac5191.jpg

Hii mkuu huikubali?
Hili hapana mkuu
 
Natafuta gari IST ambayo ipo Kwenye hari nzuri offer yangu ni 7m - 7.5 m ni PM kama unayo tafadhali
 
Wakuu, jamani Voltz (2003) vs Ford focus hatchback (2003), ipi gari kali!? Na ipi Imara kuzidi mwenzake, na vipi inshu za spare, Ford zinapatikana!? Bei zikoje ukilinganisha na Voltz!?
 
Kwa Dar service nzuri inafanyika wapi?
Gari ni XTrail nataka sehemu wanayoweka yale mafuta recommended na Nissan.

Natanguliza Shukrani!
 
Najiuliza kipi kifanyike kuondoa/kupunguza ajari zitokanazo na magari yaliyoharibika barabarani, rejea ajari ya BM na ya semi na fuso
 
Oii wadau kweema? Nna kjana mwenzangu anatafuta kjkaz chochote ili mrad ajkimu kmaisha hapa bongo so kama kuna mdau yeyote anakajbiashara chake or whatever tumsaidie na anaelmu ya kdato cha 4 na anaujuz wa kudrive ingawa lesen hana na hana uzoefu xaana
Kama kunauwezekano w,
Namba yangu
#0712-511151
 
Mercedes Benz c180

Ndugu wana jamvi poleni na majukumu, nimetokea kuzipenda hizi gari, mwenye uzoefu nazo naomba anisaidie kuhusu changamoto zake au ubora wake. Asanteni
 
mkuu hii jf mpzaa naona inanipa shida hata PM sijui inatumiwa wapi. imenifanya nimekuwa mvivu sana kutembelea jf 0717 228064
Dah hata mimi nafikri hatujaizoea hii vasion mimi nikitakureplay thread keboard inaonyesha Emoj tu.
 
wakuu anayeijua VOLKSWAGEN TOURAN vizuri au mliowahi kuitumia nipeni info zake, NATAKA KUINUNUA
 
Naombeni kujua kuhusu Volkswagen Tiguan na saloon car VW Passat,bei zake mtu ukitaka kuimport,kuhusu ubora,mafuta, spare parts,
niko shallow kwenye hii sekta ya magari
 
Back
Top Bottom