RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,383
- 1,853
Wadau nina shida kwenye Toyota Altezza, gari inatembea fresh ila unapokanyaga mafuta na RPM inapofika 2(2000 rpm) au karibu na hapo naskia gari inakuwa inatoa muungurumo nisiouelewa....Yani inakuwa something like gari ina mafua, na pia huwa inatokea ninapopanda milima nikiwa kwenye iyo RPM...Plus inaposhift kutoka gear no 1 kwenda 2, inakuwa kama inakita.....nimebadili Plugs mara 3 lakini naona hali ni ile ile...Gari ni Toyota Altezza, Engine ni 4 cylinders YAMAHA 3S,
Nilishawahi kutana na shida kama hiyo kwenye Altezza, though yenyewe ina 1G, nikajaribu kucheki plugs zote ziko poa. Jamaa mmoja akashauri kusafisha air cleaner tu, nikafanya hivyo na shida ikaisha kabisa. Akasema hizo gari zina sensors fluni huko kwenye air cleaner, zikijaa vumbi hewa inashindwa kwenda vizuri kwenye kabuleta. So, jaribu kupuliza upepo kama ikimaliza tatizo, uifanye regularly, sio mpaka siku ya service.