Asante mshana...Zamani police ripoti ni mia tano TRA ni 10000 sijui kwasasa
Mie always huwaga naweka premium na kubadilisha kila 3000 km na filter yake. Kumbe huwaga najipunja eeenh!?Kwa hizi oil zetu za kawaida ni km 3000,kwa zile za premium km 5000, zipo mpk za km 20,000 ndo unabadilisha mkuu
No unafanya jambo zuri, tahadhari ni muhimu sana mkuu. Sio lazima mpk umalize hizo km zote 5000 mkuuMie always huwaga naweka premium na kubadilisha kila 3000 km na filter yake. Kumbe huwaga najipunja eeenh!?
Unajua walioweka hicho kiwango ni werevu kwakuwa unaweza kuwa safari ya mbali na service ikaangukia mahali ambako bado si chini ya km 1000 ufike uendako ndio ufanye serviceMie always huwaga naweka premium na kubadilisha kila 3000 km na filter yake. Kumbe huwaga najipunja eeenh!?
Ahsante mkuu kwa ufafanuziProbox ni Toyota zinaingia radio za uso mpana na mwembamba pia(single din na double din pia)ukifunga single din utapata nafasi ya ziada ya kuweka vitu vingine View attachment 325887View attachment 325888View attachment 325889View attachment 325890View attachment 325891
Hii inataka full computer diagnosis kwenye gearbox na system yake sio vizuri kufanya guess work kwenye gari Kama hiyoMshana jr na wataalamu wengine habari zenu
nina gari RS200 Alteza mashine ni 3s sxe10. taa ya ECT POWERi kwenye dashboard inawaka kwa kublink kama nimeingage ECT button sasa gia zinaingia kwa kuchelewa na gar inashtuka inapochange gia na inachelewa kuchanganya acceralator inaishia kwenye namba tatu hata ukanyage pedal mpaka mwisho na kuna mda inakua nzito na inachelewa kuchanganya kufika 120 ilikua mater of 5 to 9 second lakin sasa haiwezi aidha, imechange mlio na kuwa kama nimefunga mafla.
Nilipeleka kwa fundi tukapima kwenye mashine ikaonekana faults akaifuta nikatembea kama wiki ikarudi tena tukachange ATF na kutoa betri kufuta kumbu kumbu mannual baada ya mashine kushindwa bado inawaka tu siona raha ya gari kwa sasa nipo Lindi.
Nadhani madhumuni ya post yangebaki kama yalivyo yasichakachuliweHii nyuzi ilianzishwa makusudi kwa kudili na Magari, uzoefu, ushauri na maswali, sio kwa matangazo. Mkuu allenngololo kuna jukwaa la matangazo ingefaa zaidi upeleke matangazo yako kule mkuu, samahani lakini mkuu
Wanajamvi utaalamu wa Oil za gari uko Hivi;Ila bado akisubiri zifike bado si mbaya pia..kibaya ni kupitisha km tena kupitisha nyingi
Naomba usikatize tafadhali endelea binafsi nimejifunza kitu hapa..endelea kadiri ya ufahamu wako wengi wanasaidika hapaWanajamvi utaalamu wa Oil za gari uko Hivi;
1. Ni kweli oil zina quality kutokana na additives zinazowekwa kwa kila aina ya oil ili kuendana na mazingira ya inapoenda kufanya kazi. Mfano mazingira ya joto kali, baridi sana, kemikali, aina ya mafuta engine inatumia nk. Kwa hio unatakiwa ununue oil yako kuendana na aina ya engine ya gari yako but pia kama engine ni mpya au used. Hizi engine mpya na used hutumia oil tofauti pia.
2. Kwamba oil inatakiwa itumike mpaka KM fulani ni KWELI but only and if ONLY hio gari itafikisha hizo KM kwa muda usiozidi mie 3 au saana 4 TU.
Kwa nini Basi;
Ni hivi : Oil inapotoka kwenye Container lake hapo hapo hata kama haitumiki process ya Oxidation (kwa mliosoma chemistry mtaelewa vzr) huanza. Kwa hio miezi 3 au saaana 4 oil hua imeshapoteza quality yake kabisa kwa sababu ya oxidation na carbonisation inayotokea wakati engine inafanya kazi.
Hii ina maana kwamba hata ukiweka Oil mpya leo na usitumie hio gari kwa miezi 4 ukirudi badilisha oil yako kwa sababu tayari itakua ime expire kwa ku oxidise na fungus growth kwa ajili ya kutuama muda mrefu bila kazi.
Ahsanteni. Nimekatiza kueleza ila najua mtaelewa angalau.
Mkuu utaalamu wa oil ni mpana sana but lengo langu ilikua kutoa basic knowledge tu ambayo kwa kweli itamsaidia mtu uelewa wa kutosha tu kwa ajili ya gari yake. Siwezi sema sana nitawachanganya wengine bcoz terminology nyingi ni za ki science zaidi.Naomba usikatize tafadhali endelea binafsi nimejifunza kitu hapa..endelea kadiri ya ufahamu wako wengi wanasaidika hapa