BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
siku hizi hatuna aibu, maana wanaume wanatudanganya sana, tunaangaliana usoni kusoma lugha ya mwili, tunaongea straight ili tujue msimamo tupo wapi tustarehe au ndoa.
Hata tukiwa na wenzetu tunayaongelea waziwazi kufundishana au jokes
wanaume mkitusikia lazima aibu iwapatw nyie loh.... Sie macho makavuuuuu
ila serious utandawazi umechangia sana. Watu wapo huru na wawazi sasa aibu za nini? Mapenzi, sex huongelewa kwa uwazi na kuonekan kitu cha kawaida si cha kuonea haya. Hata majumbani mzazi(wa siku hizi) huongea wazi na watoto wao, kazi ambayo ilikuwa inafanywa na mashangazi....