Macho makavu - aibu tena ya kike hakuna?

Mi sipendi mwanamke mwenye aibu, nampenda mwanamke mwenye haya... Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuona aibu na kuona haya.....

Umenielewa? Kama hujanielewa nitafute PM ukiwa without.

Umesema kweli mwanamke mwenye aibu ni kero kubwa sana. Kuwa na haya riksa ila nayo isizidi kipimo. Too much of anything is harmful.
 
Mi sina aibu,.nina haya..na ninakubali kuwa kwa wengi imepotea. Ila mfano uliotoa wa mwanamke kuongea matusi,mi nadhani ni both ways,. Nothing turns me off kama mwanamme asiejua wapi pa kuongea neno flani,anaetukana yani kwake matusi ni kiunganishi na pia,inamshushia heshima sana..
 
ooh wasichana nowdays hawana aibu jamani! mie huwa naona hapa ofcn wanavyojirahisisha halafu maskini ya mungu wakiona sie tunamaisha fulani hv wanadhani tumeyapata kirahisi rahisi utasikia na mie nataka gari, mara nataka nipange nyumba nzuri kinondoni basi ili akidhi hizo ndoto zake anajiuza mpaka akipita unaona hana sababu ya kuvaa nguo . laiti wangejua behind their back hao waliowafunua wanavyowaponda!! km hapa ofcn huwa nawauliza hivi mnajirahisisha kwa ajili ya starehe au kwa matarajio ya kuhongwa pesa mtimize ndoto zenu? maana muajiri wetu ni huyu mmoja kipato cha hao vijana mie nakijua vema hata sijui wanahongwa nini maskini..:embarassed2:. ooh Lord Have mercy!
 
La kizushi.......hivi hata humu kwenye net (mfano hapa JF) unaweza kujua wadada wenye 'aibu'? I mean kupitia namna wanavyoandika?
 
Ofu kozi, Utajua tu
Anayeongea pumba definetly hana aibu
La kizushi.......hivi hata humu kwenye net (mfano hapa JF) unaweza kujua wadada wenye 'aibu'? I mean kupitia namna wanavyoandika?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
La kizushi.......hivi hata humu kwenye net (mfano hapa JF) unaweza kujua wadada wenye 'aibu'? I mean kupitia namna wanavyoandika?
Sana tu... Mfano wa haraka haraka.... King'asti, Kongosho na Mwali.

Aibu ya Kongosho ndio balaa zaidi.....:A S-coffee: Ushaona mtu anauonea aibu mswaki?
 
Nina aibu sana, hebu nicheki hapo navyomwekea pozi baba naniliyu
Aibu2.jpg

View attachment 46893
Hehehehe...... hiyo yaitwa staki nataka...... yaani kakitu kanataka lakini macho yanaona soo.... sababu ya wivu tu... eti kakitu katafaidi lol

Unapenda rivesi???

:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Aisee angalia utaihamishia hii sredi jukwaa la Maria Roza ujue....
 
Utandawazi na fashion, ulimbukeni kufuata mkumbo ndio umesababisha hayo yote. mtu bila kuongea matusi au maneno makali hadharani hajaonekana wa mjini, ili aonekane mjanja na kwenda na wakati ni kuongea au kutenda mambo ya faragha hadharani.
 
Back
Top Bottom