Macho makavu - aibu tena ya kike hakuna?

Nadhani siku hizi hata watoto wanatoka tumboni bila soni jamani...
Zile aibu za zamani hazipo tena ,Pia ni kutokana na maadili zamani mtoto wa kike akioneka amekuwa mashangazi wanamfungia ndani na kumpa somo juu ya heshima ,mambo ya ukuaji ,staha na mengineyo ,hivo anapoingia mtaani anajua kabisa kwa sasa natakiwa niwe hivi.
Ooops kwa sasa 13 -18 years kitoto kimevalishwa tight ,kitovu nje unadhani hiyo aibu itatokea wapi?
 
Afu mie babu huwa ananifukuza
Nimegundua sababu sina aibu

Anawapenda AshaDii na MJ1
Tena mwali anamwita usiku eti amuhadithie hadithi
Sikubali babu, leo zamu yangu

mmmhh nilijua tu huyu Babu sio mwema lol,
kama stori ya mchungaji kula kondoo wake...
Here we are, Babu na mjukuu wake hahahaha
 
nimeenda kuweka apointment muhimbili
waniwekee mshipa wa aibu
labda mie ulikatwa kabla sijazaliwa

si unajua tena mie hata nilipozaliwa sikulia
.... Will you marry me? Napenda wanawake wasio na aibu... yaani akitekenywa anakufuata na kukuambia live: Tafazali njoo huku unigee protini za kupunguza muwasho wa kike.

Red: UIkiona hivyo ujue baba yako alikuwa na tabia mbaya ya kulala na maza mchana wakati mvua inanyesha na jua linawaka....
 
mmmhh nilijua tu huyu Babu sio mwema lol,
kama stori ya mchungaji kula kondoo wake...
Here we are, Babu na mjukuu wake hahahaha

Afu mie babu huwa ananifukuza
Nimegundua sababu sina aibu

Anawapenda AshaDii na MJ1
Tena mwali anamwita usiku eti amuhadithie hadithi
Sikubali babu, leo zamu yangu

.... Will you marry me? Napenda wanawake wasio na aibu... yaani akitekenywa anakufuata na kukuambia live: Tafazali njoo huku unigee protini za kupunguza muwasho wa kike.

Red: UIkiona hivyo ujue baba yako alikuwa na tabia mbaya ya kulala na maza mchana wakati mvua inanyesha na jua linawaka....
Gademmmmmmm!!:eyebrows:
 
Absolutely. I will marry you.

Lakini, no strings attached, ukinikuta niko biza na project zangu na wewe kamata project yeyote iliyo karibu yako
Tukifika home, ndo tutaanza kuulizana ilikuwaje.

.... Will you marry me? Napenda wanawake wasio na aibu... yaani akitekenywa anakufuata na kukuambia live: Tafazali njoo huku unigee protini za kupunguza muwasho wa kike.

Red: UIkiona hivyo ujue baba yako alikuwa na tabia mbaya ya kulala na maza mchana wakati mvua inanyesha na jua linawaka....
 
Mwanakijiji kwanza naomba ututake radhi kwa sababu neno [aibu] linamaana ya disgrace, dishonor, reproach, scandal ...ambayo yote yana maana hasi. Mwanamke hajazaliwa na disgrace wala dishonor, wala hapaswi na wala haipendezi kuwa na "aibu"

Nitachangia kwa kudhani kuwa ulikusudia neno [haya] badala yake lenye kumaanisha modesty, bashfulness, humility, respect ....ambayo yote yana maana chanya.

Ninachokiona ni kuwa [haya] ina viwango tofauti, na hata wale wengi katika jamii wanaowaona hawana [haya], basi wao mwenyewe hawajijui. Wengi wanadhani kuwa labda wao wapo modern zaidi na wale wenye kuona haya wanahitaji kubadilika
 
Sawa pamoja na yote, ila wenye soni wana utamu wake na karaha zake!
Pia wasio na soni wanaraha na karaha zake....
Wife and mothery materia inaweza ikawa na sifa za ziada kulingana na muoaji husika....
Mapenzi ni sanaa inayohitaji vikolombwezo flani hivi, wakati wengine hawa watoto wenye aibu wanaweza wakawa hawana hivi vikolombwezo....
Kwamfano kuna wanaume wanapenda nyakati zingine mechi ianzishwe na mwenzake, yaani binti anakuandaa toka upo ofsini anakupigia simu ya kukuliwaza na kukuambia kuwa anahamu sana na wewe anaeleza jinsi ambavyo akikukamata hyo jioni anakusifia mechi mliyocheza juzi jinsi ulivyompatia, na jinsi anavyotamani tena...
Jioni umerudi home unakuta kaandaa mazingira muafaka (hapa Lizzy ameelewa zaidi),
unapokelewa na massage la nguvu uchovu wote unaisha....
Umeona eh!
Hivyo wanawake wasio na soni au macho makavu kama ulivyowaita labda kwa upande wa pili katika suala la kumuhudumia mume wanaweza kuwa na uwezo zaidi coz ndio maradhi ya wanaume wengi....
Ila mahusiano yoyote yanagharama zake, hvyo kama mwanaume unajukumu la kumtengeneza mwenzi wako katika namna itakayokufanya akuvutie zaidi mda wote, hvyo kama ni mcharuko sana ila mmependana naamini nguvu ya mapenzi ukiitumia vyema atajirekebisha,
vilevile hao wife material unaweza ukam-pimp (lol) akawa kamcharuko kidogo hasa kwenye mambo ya mahaba.....
Niliwahi kufanikiwa kwa mtoto wa kisukuma, na tulitoa chemistry tamu sana lol,
ni raha kukumbuka sasa.
 
labda ndo matokeo ya haki sawa kwa wote na uwezeshwaji na kujiwezesha kwa wanawake...
Lakini ndio hali halisi, utakuta mwanamke hauji hata nini cha kusema na wapi tuseme.
Siri za chumbani zinaanikwa tu hovyo hovyo.
Tena mwanamke mwenye staha anaonekana kama mshamba vile kwa baadhi ya watu. Tena ukijitia kustaajabu utaulizwa nini kipya hapo?
 
Absolutely. I will marry you.

Lakini, no strings attached, ukinikuta niko biza na project zangu na wewe kamata project yeyote iliyo karibu yako
Tukifika home, ndo tutaanza kuulizana ilikuwaje
.
AMBIA WATU WAFUMBE MACHO........ Orayt, come this way! Deal signed!
 
Afu mie babu huwa ananifukuza
Nimegundua sababu sina aibu

Anawapenda AshaDii na MJ1
Tena mwali anamwita usiku eti amuhadithie hadithi
Sikubali babu, leo zamu yangu

Hao wanaficha siri zake, kweli mwenzangu pia sijapenda kabisa upendeleo huo!
Kama huduma atoe kwa wajukuu wote bwana...
Ngoja mi ntaendelea kumkomalia hadi pale kwenye kijiwe chake cha kahawa....
 
Nadhani siku hizi hata watoto wanatoka tumboni bila soni jamani...
Zile aibu za zamani hazipo tena ,Pia ni kutokana na maadili zamani mtoto wa kike akioneka amekuwa mashangazi wanamfungia ndani na kumpa somo juu ya heshima ,mambo ya ukuaji ,staha na mengineyo ,hivo anapoingia mtaani anajua kabisa kwa sasa natakiwa niwe hivi.
Ooops kwa sasa 13 -18 years kitoto kimevalishwa tight ,kitovu nje unadhani hiyo aibu itatokea wapi?

SEMA NAE, USIONE SOO.
BILA KONDOM, MAPENZI HAKUNA
UKIMPENDA UTAMLINDA
KONDOM YA RADHA YA CHUNGWA, VANILA, EMBE N.K

yoote hayo yameondoa zile aibu. yaani kwa kifupi UKIMWI ndio chanzo cha kuondoa hiyo radha ya mtoto wa kike anayoingelea Mzee Mwanakijiji (wa mjini).
 
Kweli mwanamke ni chombo cha starehe cha mwanamme
Anyway, ndo ishakuwa ivo.

Ila aibu bado sijui inapimwaje,
Je ni kushindwa kumtizama mwanamme usoni?
Je ni kujificha ficha mbele za watu?
Je ni mavazi?

Hapo chini paliko red, pamenihusu sana
Nakuongezea Rep Power

Sawa pamoja na yote, ila wenye soni wana utamu wake na karaha zake!
Pia wasio na soni wanaraha na karaha zake....
Wife and mothery materia inaweza ikawa na sifa za ziada kulingana na muoaji husika....
Mapenzi ni sanaa inayohitaji vikolombwezo flani hivi, wakati wengine hawa watoto wenye aibu wanaweza wakawa hawana hivi vikolombwezo....
Kwamfano kuna wanaume wanapenda nyakati zingine mechi ianzishwe na mwenzake, yaani binti anakuandaa toka upo ofsini anakupigia simu ya kukuliwaza na kukuambia kuwa anahamu sana na wewe anaeleza jinsi ambavyo akikukamata hyo jioni anakusifia mechi mliyocheza juzi jinsi ulivyompatia, na jinsi anavyotamani tena...
Jioni umerudi home unakuta kaandaa mazingira muafaka (hapa Lizzy ameelewa zaidi),
unapokelewa na massage la nguvu uchovu wote unaisha....
Umeona eh!
Hivyo wanawake wasio na soni au macho makavu kama ulivyowaita labda kwa upande wa pili katika suala la kumuhudumia mume wanaweza kuwa na uwezo zaidi coz ndio maradhi ya wanaume wengi....
Ila mahusiano yoyote yanagharama zake, hvyo kama mwanaume unajukumu la kumtengeneza mwenzi wako katika namna itakayokufanya akuvutie zaidi mda wote, hvyo kama ni mcharuko sana ila mmependana naamini nguvu ya mapenzi ukiitumia vyema atajirekebisha,
vilevile hao wife material unaweza ukam-pimp (lol) akawa kamcharuko kidogo hasa kwenye mambo ya mahaba.....
Niliwahi kufanikiwa kwa mtoto wa kisukuma, na tulitoa chemistry tamu sana lol,
ni raha kukumbuka sasa.
 
labda ndo matokeo ya haki sawa kwa wote na uwezeshwaji na kujiwezesha kwa wanawake...
Lakini ndio hali halisi, utakuta mwanamke hauji hata nini cha kusema na wapi tuseme.
Siri za chumbani zinaanikwa tu hovyo hovyo.
Tena mwanamke mwenye staha anaonekana kama mshamba vile kwa baadhi ya watu. Tena ukijitia kustaajabu utaulizwa nini kipya hapo?

Na ukiwa mtu wa kuona ona haya na kuchunga ulimi wako, utaambiwa unaji-act, na hata kuweza kuzodolewa
 
  • Thanks
Reactions: bht
AMBIA WATU WAFUMBE MACHO........ Orayt, come this way! Deal signed!

nope sifumbi macho mpaka nihakikishe hyo deal inavyosainiwa maana mezani kwangu kuna barua ya malalamiko juu ya upendeleo wako uliokithiri lol!
Kongs njoo u-withdraw haya malalamiko yako niwaache na hyo deal!
 
Mwanakijiji kwanza naomba ututake radhi kwa sababu neno [aibu] linamaana ya disgrace, dishonor, reproach, scandal ...ambayo yote yana maana hasi. Mwanamke hajazaliwa na disgrace wala dishonor, wala hapaswi na wala haipendezi kuwa na "aibu"

Nitachangia kwa kudhani kuwa ulikusudia neno [haya] badala yake lenye kumaanisha modesty, bashfulness, humility, respect ....ambayo yote yana maana chanya.

Ninachokiona ni kuwa [haya] ina viwango tofauti, na hata wale wengi katika jamii wanaowaona hawana [haya], basi wao mwenyewe hawajijui. Wengi wanadhani kuwa labda wao wapo modern zaidi na wale wenye kuona haya wanahitaji kubadilika

hii ya ukweeeee
 
Utanduwazi
mmh huu ni zaidi ya utandawazi aisee hali tete, mabinty hawana staha kbs wanaongea mapovu muda woote tena bila ya kujari wanaongea mbele ya nani mmh.
mmh hii dunia ingekwisha tu tukajua moja maana uko tunakokwenda naona kabisa hali na mbaya mara mia, watoto wa kike nwdays wadogo tu ila dah wanaongea mambo mmh. lord have mercy!
 
Back
Top Bottom