Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1674923487428.png
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja.

๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ?
Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share password na tayari imeanza kuzuia kwa baadhi ya nchi mfano Canada, Australia na Brazil. Pia Netflix imeongeza gharama kwa wale ambao watakuwa wanahitaji ku-share password na watumiaji ambao hawaishi pamoja mfano watumiaji wa nchi au mikoa miwili tofauti.

๐—๐—ฒ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ?
Mfano kama unaishi Dar es Salaam, hautaweza kumpa password mtu wa Kilimanjaro, Arusha, Dodoma au Mwanza. Netflix ikitambua anatumia location ya tofauti itafungia akaunti na kulazimisha ulipie gharama ya ziada ambayo ni kama 3$ mpaka 5$ extra.

๐—๐—ฒ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐—›๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ผ๐—น๐—ฑ๐˜€?
Kama mnaishi jirani katika wilaya moja, inawezekana haitakuwa na tatizo ku-share password na kila mmoja kuwa na profile yake. Mfano mme, na mke na watoto ambao wanaishi ndani ya eneo moja wataendelea kuwa na uwezo wa ku-share password.

SwahiliTek
 
Duuh itakua mbaya kwa watu tunaopenda kitonga, natumia password ya mdogo wangu na tupo mikoa tofauti,hakuna mwezi ambao hajalipia..
 
Gharama zake zipoje chief
$8 kwa pc na $4 kwa simu (20,000 ama 10,000 hela za kibongo)

Pia kulikua na Trial za Netflix bure kenya ambayo ina matangazo, mwenye acess ajaribu kama inafanya kazi huku kwetu.
 
Wangefanya kama spotify.

Kuwe na account ya familia.

Unalipa hela ya juu kidogo ila unaunganisha mpaka watu watano.
 
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja.

๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ?
Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share password na tayari imeanza kuzuia kwa baadhi ya nchi mfano Canada, Australia na Brazil. Pia Netflix imeongeza gharama kwa wale ambao watakuwa wanahitaji ku-share password na watumiaji ambao hawaishi pamoja mfano watumiaji wa nchi au mikoa miwili tofauti.

๐—๐—ฒ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜‡๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ?
Mfano kama unaishi Dar es Salaam, hautaweza kumpa password mtu wa Kilimanjaro, Arusha, Dodoma au Mwanza. Netflix ikitambua anatumia location ya tofauti itafungia akaunti na kulazimisha ulipie gharama ya ziada ambayo ni kama 3$ mpaka 5$ extra.

๐—๐—ฒ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐—›๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ผ๐—น๐—ฑ๐˜€?
Kama mnaishi jirani katika wilaya moja, inawezekana haitakuwa na tatizo ku-share password na kila mmoja kuwa na profile yake. Mfano mme, na mke na watoto ambao wanaishi ndani ya eneo moja wataendelea kuwa na uwezo wa ku-share password.

SwahiliTek
Hail piratesbay
 
Naomba nifahamishe kuhusu Torrent ndio nini haswa na naipataje?
Kama una internet nzuri ya uhakika na shida yako ni movie tu download hio stremio, ipo playstore then download plugin ya Torrentio, utaangalia movie zote.

Kama una internet ya mawazo achana nayo, tafuta dstv now ama Netflix hata ya kugongea, zenyewe hazili sana mb, ama amazon prime
 
Back
Top Bottom