Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,421
- 2,271
Njaa yake ilikuwa nini hasa? Pamoja na kuwahi kupekuliwa Airport hakuwahi kukamatwa akisafirisha vitu haramuNa Diria nae, kama alivyodaiwa, nae alikuwa na njaa?
Njaa yake ilikuwa nini hasa? Pamoja na kuwahi kupekuliwa Airport hakuwahi kukamatwa akisafirisha vitu haramuNa Diria nae, kama alivyodaiwa, nae alikuwa na njaa?
Mkuu hao ulio wataja ni tamaa tu,kwa maisha yao wako juu mno,shida yao kumaintaine status basi,coz ukuu wanao/walikuwa nao, ukwasi wanao/walikuwa nao na madaraka wanayo/walikuwa nayo.
ahh kumbe ni vijisenti tuu according to standards za currency za sangoma wetu chenge
loh i used to hear alot of stories zamani abt timu zilizokua zikisafirisha mambo pindi zikisafiri as zilikua hazikaguliwi....but i think mambo have changed now and huyo "bosi" wao bado anatumia windows 95 kwenye bnez yake hakuweza taarifiwa kuwa mambo yamechange for now kila mtu hukaguliwa!kasoro bush tu
Any updates za hawa mabondia?au ndo kusema wameshahukumiwa kifungo huko?
Mzee wazaramo wana msemo mzuri sana; zilongwa mbali zitendwa mbali, yaani unasema kingine na unatenda kingine. Kukwambia idadi halali ya wanaosafiri si ndo kuzuia dili za wasafiri feki kama ilivyotokea !!
Yaani Mkuu wewe wakwetu kabsa.......!
Duuu kumbe hata humu tumo wengi.....!
Haya mwanakwetu wacha nikupe stori yenyewe lkn ..........
Kuna mpemba mmoja hapo migo anajina la ajabu ajabu ndio mwenye mzigo wake..na wala sio mama wa kikenya.
Dili hii imeharibika kutoka na mazingira yenyewe kule Mauritues yalivyo,yaani jamaa mpaka walipokua wamefika walisha tusua ila wale viongwe wakule ndio wameangausha dili nzima.
Unaweza kufika salama kama hao jamaa alafu ukakaa na mambo kwa siku kibao huko,yaani jamaa wako very tight na mambo hayo,dereva wa taksi asikari,mpokea mizigo hotelin asikari,mfagizi wa vyumbani asikari yani tight kinoma hamna upenyo.NJAA TU NDIO ILIYO WAFANYA HAO JAMAA WAKUBARI HIYO KAZI.
Alafu hao mabondia na kocha wao wako safi,ila hao watatu ndio kimbembe kipo kwao.
Alafu mwanakwetu..Unajua hapa JF kuna watu wanaongea tu hawaangalii nini sababu ya hao jamaa papmoja na kujua risk ya hiyo kazi still waliaamua kuichua...!all they can think of ..... ni kulalama tu...ohh biashara haramu...NA UFISADI JE....!!!
na dhuruma za viongozi? hela zote wanazo kwiba na kupeleka huko wanakozipeleka?
Mtoto wa mlingotini mimi (mfano) elimu darasa la saba,sina ujuzi wala ajira serikali yangu hainitambui wala kunisaidia kujikomboa katika dimbi huli la umasikini wa kuletewa kutokana na mipango mibovu ya walio juu.Mtu anakuja ananiambia kubeba tu DOla 15,000/- nikatae nina wazimu?
Wengi ya hao wano laumu wapo kwenye sehemu nyeti maofisa wabenki na wengineo MJOMBA JAKAYA katoa yale mabiliono (kama kweli yalitoka) nikopeshwe mimi msajasiria mari ,mpaka leo sijui zimeishia wapi,sasa mantaka niendelee kuvua samaki kwetu mbegani kwanza chuo chenyewe cha uvuvi mmekiua alfu nyinyi mnaendesha tu MA_VOGUE
Sababuhiyo ndio inawafanya wale jamaa ku-risk maisha yao,kuna bwana mdogo mmoja katika wale walio kamatwa(mabondia fake) hana hata familia lakini mzigo aliokua nao nyumbani mkubwa wadogo zake wanahitaji kusoma na wazazi wake pia wamezeeka alikua anatafuta njia ya kuwasaidia kwani serikari imeshindwa kumsaidia na jamii pia imemwangusha.
Ni hayo mwanakwetu.!
Hatimaye imejulikana kuwa bondia mmoja na Kocha wa timu ya ndondi ya Tanzania hawana hatia ya kuhusika na madawa ya kulevya. Inasemekana aliyewabebesha mzigo huu anaitwa William Michael Onesmo ambaye kwa mujibu wa Serikali ya Mauritius anatakiwa kuwa jela.
Kwa taarifa zaidi soma http://drfaustine.blogspot.com/
WILLIAM MICHAEL ONESMO HUYU WATANZANIA MLIO NJE NDIE ALIEKUTWA NA MITAMBO YA KUTENGENEZEA NA KUPAKI MADAWA YA KULEVYA
PALE KUNDUCHI!!!!NA KESI IKAISHIA CHOONI AKAONGA MAHAKAMANI MILLION 100 MKUU WAPOLISI ENZI HIZO AKALA MILLION 30 PEKEE
SASA HIVI ANAKULA KUKU MWEMA JR!!!!
UKIMTAFUTA UKAMWEKA NDANI KAMA ATAFINYWA VIZURI UNAWEZA SIKIA MAWAZIRI WETU WAKIJIUZULU NA WENGINE WALIOJIUZULU WAKIKIMBIA NCHI !!!!!ANAKULA NA WENGI HUYU HATA UKO MAUITIUS LABDA ALIKAIDI TU MASHARTI,,PALE DAR AIRPORT ANA VIJANA WA USALAMA WATAIFA WAKIMWONA TU ANATOA ISHARA WALE WA TAA WANAKULA KAMA MILLION 10 ..
WAO SI CHINI YA 15---20 MILLION ,
RUSHWA ITAISHA SIKU WOTE WAKIINGIA KABURINI SI UZAZI HUU WA NKAPA NA KIKWETE!!!1