Kauli za dharau anazozingumza Bondia Mwankinyo, kwa Moyo mkunjufu naomba nipande nae ulingoni nimuoneshe namna gani Tz kunawapiga ngumi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
"Siwezi Kupanda Ulingoni kupigana na Mabondia wa Tanzania Kwa Sababu nimegundua wote wanaonitaka ni Wanawake, Kama Wanaona Kupanda Ulingoni na Mimi ni Kupata Hela Basi Mimi nipo Tayari kuwalipa" Hassan Mwakinyo

Kauli Kama hii siyo ya kiungwana kimichezo haswa mchezo wa bondia na hiyo yote inatokana na baada ya kuona kuwa Mandoga anavyopewa promo Kama bondia mkubwa hapa Tanzania wakati mabondia wapiga ngumi na wenye uwezo wanafichwa Kama nyeti ndani ya boksa.

NALIA NGWENA kutoka jukwaa maarufu Tanzania Jamii forum natangaza wazi kupitia jukwaa hili kuwa nipo Tayari kupanda ulingoni na Hassani Mwankinyo nimuoneshe namna gani huu mchezo wa ngumi unavyocheza siyo ngumi za Mandonga mtu kazi na Dula mbabe zinazomfanya ajione yeye ndiyo Tanzania One upande wa masumbwi.

Mliopo karibu na Muimba Taarabu Hasani Mwankinyo fikisheni taarifa hizi endapo atakubali kupanda jukwaani na Mimi NALIA NGWENA endapo atatoboa Round sita au tano tu Basi yeye ni mwanaume.

Natumia jukwaa hili la Michezo kuwaomba promoters na viongozi wa Jamii forum NALIA NGWENA nipo radhi kupanda jukwaani na Huyo mtoto wa pwani mkata viuno anapokuwa ulingoni.

Nawasilisha ombi langu.


1688965935346.jpg

 
Hivi huyu jamaa anamapambano kweli anafanya au ndio bas tena toka apokonywe mkanda ule kwa kishindwa kuutetea
 
I'm the best ever. I'm the most bruta
and vicious, and most ruthless
champion there's ever been. There's
no one can stop me. Lennox is a
conqueror? No, I'm Alexander, he's
no Alexander. I'm the best ever!
There's never been anybody as
ruthless! I'm Sonny Liston, I'm Jack
Dempsey. There's no one like me. I'
from their cloth. There's no one that
can match me. My style is impetuous,
my defense is impregnable, and I'm
just ferocious. I want your heart! I
want to eat his children! Praise be to
Allah!

Mike Tyson.



Ngumi zinaenda na majigambo.
 
Mwakinyo Ni mpumbavu Sana Toka alivyo ,tulivyo mjia juu baada ya kuuza pbno amekuwa bondia mpuuzi tu


Naungana na wee nenda kamchakaze
 
Alikwenda kuandaa pambno Zanzibar wakamtoa nduki mno akaja ddm pia akakosa uungwaji mkono bas beans huyu amekuwa mpuuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom