KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,592
- 3,839
Anaandika Kenge,
JMT: Kazi iendelee.
Kwanza tuwapongeze Azam kwa jitihada wanazofanya kwenye sekta nzima ya sanaa, Burudani na Michezo kwa ujumla.
Wakati huko Duniani (Wazungu) Mabondia kama Antony Joshua, Uysk, Maywether n.k wanatumia nafasi ya Face Off (Kupima Uzito) kutangaza brand zao mfano mabondia walioingia mikataba na NIKE, PUMA, ADIDAS n.k wanatumia iyo nafasi kubrand boksa na mavazi ya kampuni hizo walizo na ubia, huku kwetu hali imekua tofauti.
Kenge na wadau wengine wapenda michezo ya ndondi tunaumia sana kuona Bondia kaja kwenye Face Off mchafu mchafu, nywele za ikulu hawanyoi, bondia anakuja kavaa ndala (kandambili za bata) kama anaenda chooni. Hivi Azam/Promota mmeshindwa kuwatrain hawa mabondia wetu kweli?
Mwaka jana Bondia X (Jina kapuni) alikuja kwenye Face-Off na boksa imechakaa na kuchanika, ukiangalia kwapani nywele hazijanyolewa. Wala siyo ujanja, ugumu, usela ni uchafu! Ule ni uchafu. Nasema uongo wakuu?
Hivi nyie Azam, na siyo Azam tu hata hao Makocha wa mabondia kwanini wasiwawekee sheria kali mabondia juu ya kuzingatia suala la usafi?
S/O kwa bondia wasafi wote kwangu mimi kuna K.Mandonga, Twaha Kiduku, Cosmas Cheka pia bondia wa kike wanajitahidi sana kuwa wasafi na wengine wanaojitahidi usafi hongereni sana.
Bado tunasafari ndefu.
Nawasilisha.
CC KENGE 01 View attachment 2497672