TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,080
Kweli ID zina maana yake
Inaonesha kuchomwa makanisa imekuuma hebu ichunguze hiyo dini yako kama ni ya haki mwenyewe unijuwa kama ni yakubuni upo huko kwa maslahi zaidi hebu hayo majanga yanayotokezea huko kwenu bara mmechoma makanisa naona yapo mengi tu kuanzia gongo la mboto mpaka migomo ya mdaktari ucjifanye una uchungu na makanisa wakati yale ni mabanda ya masanamu tu hayana umuhimu wowote kuwepo zaidi ya kudanganyana tu. 'ALWAH AKBAR'
binafsi yangu naona logic kwenye madai yao!
Badala ya kuruhusiwa kuukubali au kuukataa muungano tunaambiwa "tuboreshe" muungano? Kuna haja gani ya kumrekebisha mke ambaye uliozeshwa na baba yako wakati hazai? Mke mzuri ni yule wa kuozeshwa au uliyemtongoza mwenyewe?...
Wapewe zanzibar yao ili nasi 'waoga' tupate tanganyika yetu kwenye silver plate.
Binafsi yangu naona Logic kwenye madai yao!
Badala ya kuruhusiwa kuukubali au kuukataa Muungano tunaambiwa "Tuboreshe" muungano? Kuna haja gani ya kumrekebisha mke ambaye uliozeshwa na baba yako wakati hazai? Mke mzuri ni yule wa kuozeshwa au uliyemtongoza mwenyewe?...
Wapewe Zanzibar yao ili nasi 'Waoga' tupate Tanganyika yetu kwenye Silver plate.
waulizeni wachina walichofanywa Tiananmem square 1989
Hiyo picha na zile za yaliyotokea Ruanda na Burundi ndizo zinazotumiwa na "watawala" ili kutujaza hofu tu tusitafute ukombozi. Ni kwa kutumia picha hizo, ndizo zinazotufanya tuwachague tena na tena (ukiachia dhana ya uchakachuaji wa matokeo).
Hivi tutakuwa waoga mpaka lini? Ni majanga mangapi ya kizembe yanayoangamiza ndugu na jamaa zetu? MV Bukoba, Mabomu ya Mbagala na Gongolamboto, vifo migodini, vifo kwenye maandamano....na bado tupo "tunasubiri ushahidi kamili".
Siku za karibuni wameanza lugha za kiajabuajabu "Ni upepo utapita, Liwalo na liwe, Suala liko mahakamani..." na bado tupo tu. Watatumaliza hawa na bado tupo tu.
Anza wewe kisha wengine watafuata. Kwa kufanya hivyo utajitenga na hicho unachosema tatizo la wabara. Vinginevyo, na wewe ni mganga njaa tu.Tatizo letu huku Bara ni waoga!
Wengine tuko busy na kuganga njaa zetu
hakuna aliye tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine..
nawaumga mkono huku mbeya pia tunataka uhuru wenu
Taharuki msibani!
Baada ya kikundi cha Uamsho kuanza pilika pilika na Jeshi la polisi pale saa 11 jioni, Hadi sasa bado maeneo mengi visiwani Zanzibar hali imeendelea kuwa Tete kwa kuwa watu wengi wamejitokeza na kuanza kuwasha matairi na kufunga Barabara maeneo ya Mkunguni,Darajani na maeneo mengine!..
Taarifa ni kwamba sasa madai yamegeuka na Watu wanasema Wanataka Uhuru wa Zanzibar!..
Muungano ulisha vunjika kwenye mioyo ya wananchi ya wa zanzibar kinachofanyika sasa hivi ni kuendelea kuulazimisha uzidi kustawi kwenye mioyo ya viongozi ambao kwa kiasi kikubwa wao ndio wanaonekana wana maslahi nao.
Inaonesha kuchomwa makanisa imekuuma hebu ichunguze hiyo dini yako kama ni ya haki mwenyewe unijuwa kama ni yakubuni upo huko kwa maslahi zaidi hebu hayo majanga yanayotokezea huko kwenu bara mmechoma makanisa naona yapo mengi tu kuanzia gongo la mboto mpaka migomo ya mdaktari ucjifanye una uchungu na makanisa wakati yale ni mabanda ya masanamu tu hayana umuhimu wowote kuwepo zaidi ya kudanganyana tu. 'ALWAH AKBAR'
[/B]280829]Tatizo letu huku Bara ni waoga!
Wengine tuko busy na kuganga njaa zetu
hakuna aliye tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine..[/QUOTEA
BABA WEWE NDO UMESEMA UMAMALIZA, NAONGEZA SIO TU WAOGA HATA UHURU MWALIMU ALIPEWA TU KAMA KARANGA ZA KUONJA.....WENZETU MAPINDUZI YALIPATIKANA KWA NGUVU KWAHIYO WANA UZOEFU....NA UCHUNGU WA UHURU WAO....SISI TUENDELEE KUWA MAZEZETA TUIBIWE TUKOME UBISHI.....WAZENJI ENDELEENI KAZA BUTI HAKUNA KULALA....MTAFANIKIWA HAKUNA HAKI INAPATIKANA KIRAHISI....!!!!