Mabomu yaendelea Kurindima Zanzibar!

Yuko wapi yule mbunge wa CCM jimbo la DONGE?. Yeye alisema kwamba akiandamana hata BABA yake kwenye maandamano yasiyo na kibali cha Polisi atampiga risasa in a cold blood.

Kwanini POLISI hawakumtafuta huyo mbunge wa DONGE wakampatia bunduki na risasi za kutosha ili awaonyeshe UAMUSHO kilicho munyoa kanga manyoya.

POLISI please mpeni silaha mbunge wa DONGE atukomeshee hao UAMUSHO.
 
Inaonesha kuchomwa makanisa imekuuma hebu ichunguze hiyo dini yako kama ni ya haki mwenyewe unijuwa kama ni yakubuni upo huko kwa maslahi zaidi hebu hayo majanga yanayotokezea huko kwenu bara mmechoma makanisa naona yapo mengi tu kuanzia gongo la mboto mpaka migomo ya mdaktari ucjifanye una uchungu na makanisa wakati yale ni mabanda ya masanamu tu hayana umuhimu wowote kuwepo zaidi ya kudanganyana tu. 'ALWAH AKBAR'

Ww tena ishia hapo2,km ni mabanda kinachowasibu kuyachoma ni nn?laiti mngejua msingepoteza muda wenu...
 
Tanganyika tuwaache hawa wavaa malapa waende zao. LET THEM GO. We don't need them
 
Laaana ya kuchoma makanisa ni mbaya sana! Sasa serikali imeamua kufungua maghala ya silaha kuwaangamiza magaidi wa uamsho wachoma makanisa.

Wanaleta unafiki wa kusali wakati wao ndio chanzo cha laana hiyo.

Sasa yule anayejitamba kukoswa na risasi kazi anayo!
Ninawasihi msihusishe wala msitumie suala la wahanga wa janga lililotokea na mambo yenu ya UAMSHO/UKRISTO/ UDINI. Kule kwenye ajali wamepoteza roho hadi watoto wa miei tu na vijana wadogo ambao walipaswa waishi, inahusianaje na laana ya Uamsho kuchoma kanisa.

Inaonesha kuchomwa makanisa imekuuma hebu ichunguze hiyo dini yako kama ni ya haki mwenyewe unijuwa kama makanisa ni ya kubuni....... makanisa wakati yale ni mabanda ya masanamu tu hayana umuhimu wowote kuwepo zaidi ya kudanganyana tu. 'ALWAH AKBAR'

Uko wapi unyenyekevu wakati wewe unatukuza chako na kudharau cha mwenzako?
Unadhani hiyo ndio njia bora ya kuwafanya watu wa dini nyengine wavutiwe na kutaka kujiunga na dini yako?
Iko wapi AMANI (ambalo ndio maana halisi ya Uislamu) wakati wewe na waktu kama nyinyi mnahubiri chuki?
 
Taharuki msibani!
Baada ya kikundi cha Uamsho kuanza pilika pilika na Jeshi la polisi pale saa 11 jioni, Hadi sasa bado maeneo mengi visiwani Zanzibar hali imeendelea kuwa Tete kwa kuwa watu wengi wamejitokeza na kuanza kuwasha matairi na kufunga Barabara maeneo ya Mkunguni,Darajani na maeneo mengine!..
Taarifa ni kwamba sasa madai yamegeuka na Watu wanasema Wanataka Uhuru wa Zanzibar!..

Hawa jamaa kweli wana matope vichwani mwao katikakati ya msiba mzito kama huo wanaanzisha madai mengine kwa vurugu, ningewaona wa maana kama wangeandama kutaka waziri wao aliyedhinisha meli mbovu kubeba abiria na kisha kuwaangamiza majini afukuzwe kazi na Dr. Shein lakini mhhhh kumbe bhangi zinawasumbua mpaka wanatia kinyaa hata kusikiliza mambo yao. Yaani huu kwangu ni uthibitisho kuwa mtu atakayeitwa mzanzibar akili yake ni sawa na mwendawazimu. Haiingi akili katikati ya maombolezo ufanye ufanye ghasia ina maana waliokufa hawatoshi wanataka wafe wengine tena kupitia ghasia hizo?
 
Back
Top Bottom