Mabomu na risasi za moto zachafua mji wa geita leo.

wewe umejuaje? au umepata wapi hizo taarifa? kuwa muazi.
 
Mkuu kama una habari ni bora ukatupa hata dondoo kidogo kuliko unavyofanya kama kutupatia kitendawili, tega! Basi chukua mji - Sumbawanga ututegulie kitendawili
 
duuu, Hakuna kitu Hapa zaidi ya Upururu usio na kichwa wala miguu,
KWA HERIIIIIIIIIIIIII
 
Hizi threads hazifai hata kidogo, yaani with half knowledge someone comes with a conclusion!
 
Leo watu walivamia mgodi wakiwa wanataka kuchukua mawe na kufunga barabara inayotoka mgodini kwenda mjini.
Polisi walikwenda mgodini na ktk fujo hizo na mtu mmoja kujeruhiwa vibaya kwa risasi na inasemekanakana jamaa kapoteza maisha.
Baadae vurugu hizo zilihamia mjini kwa magari ya GGM kushambuliwa na gari moja limechomwa moto.
Kwa mchana hali ilikuwa tete na mabomu ya machozi kutawala mji wa Geita na jioni hii kidogo hali imetulia lakini MD amezuia magari madogo kutoka na watu wote wanatumia mabasi.
 
Nahisi huyu bwana alikuwa ndotoni akahisi kuna matatizo geita akaandika kuja kushtuka ameshaposti wakati hana source wala sio kweli alichoandika
 
Ni kweli yametokea ila hakuna waliovamia mgodi bali wachimbaji wadogo wamefukuzwa eneo walilokuwa wakichimba dhahabu na eneo hilo kapewa mwekezaji na deadline ilikuwa jana waondoke kwa hiari wakakata na kuanza kundamana kuanzia hukohuko mgodini mpaka mjini kwa DC wakatimuliwa na FFU katika purukushani hizo zilizodumu toka asubuhi hadi mchana wachimbaji wawili wameripotiwa kuuawa kwa risasi na baadhi ya magari kuchomwa moto na kuvunjwa vioo habari zaidi tutaziweka humu kadri tutakavyozipata.
 
Back
Top Bottom