Waraka wa wazi kwako Mkuu wa mkoa wa Geita ndugu Martin Shighela na wasaidizi wako

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Ndugu Martin Shighela mkuu wa mkoa wa Geita, habari za majukumu,?

Imani yangu utausoma ujumbe huu au utaupata kupitia wasaidizi wako.na nategemea respond ya haraka sana toka kwako Mkuu.

Lengo la waraka huu ni kukufahamisha kwamba kuna uzembe mkubwa kwa baadhi ya idara za serikali hapa mkoani hasa halimashauri ya mji wa Geita na wakala wa baabara za mjini na vijijini (TARURA).

Serikali kupitia mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) ilitangaza kupitia vyombo vya habari mapema kabisa mwaka huu kwamba kutakuwa na mnvua nyingi za elnino, ikatoa tahadhali mbalimbali ikiwemo nanyi wakuu wa mikoa kupitia Tamisemi mlielekezwa kufanyia usafi mitaro ya maji,na kuweka mazingira katika hali ya utayari wa kukabiliana na ujio wa mnvua hizo.

Kwa taarifa yako hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa na idara husika mpaka sasa na kabla ya sasa,mitaro yote muhimu inayopeleka maji bwawa la lake view imeziba takataka nyingi sana,(mfano mtaro wa kwa Msuka mbugani)(,mtaro wa soko la nyankumbu). inapelekea maji kukosa mwelekeo na kusambaa kwenye makazi ya watu na kusababisha adha kubwa ya uhalibifu wa mali na "near death" kwa raia, jambo hili ndugu mkuu wa mkoa,Martin Shighela halikubaliki hata kidogo.

Kadhalika ndani ya mitaro hiyo( vyanzo vya maji) kuna shughuli za kilimo zinaendelea ,zinasababisha maji kukosa mwelekeo,hili nalo ni tatizo kubwa sana,wananchi hawa, wanablock maji kusafiri kwenye utaratibu wake wa kaiwada ,nayo husambaa kwenye makazi ya watu,ni adha kubwa kwelikweli.

Tumejaribu mara kadhaa kuwasiliana na mkurugenzi wa halimashauri ya mji Geita mara kadhaa kabla ya madhira haya hayajatokea,hakuna respond yoyote ile imefanyika.

Pia tumewasiliana na TARURA kupitia serikali zetu za mitaa,Diwani kata kalangalala ndugu Temba na maelezo yapo ofisini kwao lakini no any respond from your subordinates.why?

Ndugu Mkuu wa mkoa wa Geita , Martin Shighela tunaomba kwa unyenyekevu mkubwa jambo hili ulisukume kwa uweledi wako wa hali ya juu, wananchi Kwa sasa wanamtupia lawama rais Samia,ya kwamba hawajali wananchi wake,kumbe ni uzembe wa watumishi idara husika.michakato isiyokwisha.

Mapato ya mkoa wetu, fedha za kuzibua mitaro ya kupeleka maji bwawa la lake view sio kubwa sana, mkoa unao uwezo huo,. hata ikibidi wadau wetu wa maendeleo kitengo cha mahusiano Geita Gold Mine tunaweza kupiga hodi.

Au pengine tunaathiriwa na kuzoea ule utaratibu wetu? , mpaka maafa yatokee ndio tuchukue hatua tukiambatana na waandishi wa habari na makamera?

"prevention is better than cure"
 
Hivi lalamiko hilo toka kwa wapiga kura bado watu wapo maofisini wananepesha matumbo tu, katiba mpya ni sasa
 
Hali kwa leo ni mbaya sana, kulikoni?,mnvua imenyesha maji yamesambaa hovyo kwenye makazi ya watu,kweli huwezi kuielekeza Tarura ifanyie usafi na kuzuia ulimaji kwenye mkondo tajwa wa maji kama makala ilivyoshauri?tarura
 
Geita inaingiza mapato mengi sana ila mji huo hasa kata ya kalangalala ni dampo tu,nilifika nikapigwa bumbuwazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom