Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Hommie unafanya gani hapa?
hata sijui. Ngoja nimtafute mjukuu mmojawapo niende naye mnadani leo. Unanikabidhi yupi?
Hommie unafanya gani hapa?
Hapo kwenye udadisi kuna ukweli kwa baadhi.
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yanguunaonaje,nilibadili kaka?
Hilo ni wazo zuri sana.Sasa tuongee mambo muhimu babu, unaonaje wana JF kukichangisha pesa au chochote kile kwa ajiri ya wahanga wa mabomu?? Yaani tujikusanye tutoe posho zetu za kuangalia internet wiki nzima zikawachangie wale ndugu zetu :coffee:
unaonaje,nilibadili kaka?
Aisee....am here.....watching!poa,nitaku call baada ya mapishi,uje tule then nikutibu!:wink2::hand:
Hayo ndo maneno sasa, wikiend hii, ila usiwe mjukuu wa Babu, atanipiga BAN
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yangu
Hebu nitajie watatu ulio na mahaba nao nikuchagulie mmoja hommie. We ni ndugu yangu, na kizuri unakula na nduguyohata sijui. Ngoja nimtafute mjukuu mmojawapo niende naye mnadani leo. Unanikabidhi yupi?
Sasa Hommie hapa unaanza kuharibu ujue....Kikazi au kimaslahi hapo?chetuntu, thats a nice avatar me like it.....:rain:
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yangu
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yangu
Hilo ni wazo zuri sana.
Nilijaribu kuwashauri jamaa zangu wa JF hapa Dar ambao huw tunakutana mara kwa mara kuwa tukajitolee damu kwa ajili ya majeruhi..... Tulikuwa 13 baada ya nusu saa tulibaki wawili! Kupima damu kumbe ni janga la kitaifa....
Hilo la msaada wa kifedha nadhani litazungumzika, ngoja niwasms tuone.
halafu, Dyslexia, hebu nikumbushe jina lako la utotoni tafadhali, kama naikumbuka hii sauti...:A S 13:
hommie hicho nin nini? :confused3::nimekataa:nimekataa:nono:
Aisee....am here.....watching!
Afadhali umeligundua hilo!
Hebu nitajie watatu ulio na mahaba nao nikuchagulie mmoja hommie. We ni ndugu yangu, na kizuri unakula na nduguyo
Kwa hiyo unataka kumwambia Dsyklsexxlisia wangu kuwa weye uko salama? Stuka mjukuuz!Hilo ndo janga kubwa zaidi la mabomu. Huku kazin kwetu hakuna kuremba, kila miezi 4 Muhimbili, hutaki rudi kwenu
Hommie hebu nisomee hapo kwenye red....weka wivu pembenihuo upendo ulionao tayari unanitosha,asante sana,nakupenda mno!
Hommie hapo kikazi au maslahi binafsi?halafu, Dyslexia, hebu nikumbushe jina lako la utotoni tafadhali, kama naikumbuka hii sauti...:A S 13:
He!Koku
MJ1
Rose80
Husninyo
Pauline
Firstlady
Michelle...aaa kumbe watatu
Kile kifaa chetu cha ku do the needful.........:rain::rain:
funga macho tu,by the time namalizana nae utakuwa umepofuka ukitu-watch,you have been warned!
Kamata hiyo red hapo....afu usimmimbishe tafazali
:hug::hug::hug:funga macho tu,by the time namalizana nae utakuwa umepofuka ukitu-watch,you have been warned!