Mabinti wa leo

unaonaje,nilibadili kaka?
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yangu

Sasa tuongee mambo muhimu babu, unaonaje wana JF kukichangisha pesa au chochote kile kwa ajiri ya wahanga wa mabomu?? Yaani tujikusanye tutoe posho zetu za kuangalia internet wiki nzima zikawachangie wale ndugu zetu :coffee:
Hilo ni wazo zuri sana.

Nilijaribu kuwashauri jamaa zangu wa JF hapa Dar ambao huw tunakutana mara kwa mara kuwa tukajitolee damu kwa ajili ya majeruhi..... Tulikuwa 13 baada ya nusu saa tulibaki wawili! Kupima damu kumbe ni janga la kitaifa....

Hilo la msaada wa kifedha nadhani litazungumzika, ngoja niwasms tuone.
 
hata sijui. Ngoja nimtafute mjukuu mmojawapo niende naye mnadani leo. Unanikabidhi yupi?
Hebu nitajie watatu ulio na mahaba nao nikuchagulie mmoja hommie. We ni ndugu yangu, na kizuri unakula na nduguyo

chetuntu, thats a nice avatar me like it.....:rain:
Sasa Hommie hapa unaanza kuharibu ujue....Kikazi au kimaslahi hapo?
 
Utakuwa umenisaidia sana, na ntaendelea kukupenda kama navoipenda baioloji yangu

Hilo ni wazo zuri sana.

Nilijaribu kuwashauri jamaa zangu wa JF hapa Dar ambao huw tunakutana mara kwa mara kuwa tukajitolee damu kwa ajili ya majeruhi..... Tulikuwa 13 baada ya nusu saa tulibaki wawili! Kupima damu kumbe ni janga la kitaifa....

Hilo la msaada wa kifedha nadhani litazungumzika, ngoja niwasms tuone.

Hilo ndo janga kubwa zaidi la mabomu. Huku kazin kwetu hakuna kuremba, kila miezi 4 Muhimbili, hutaki rudi kwenu
 
Hilo ndo janga kubwa zaidi la mabomu. Huku kazin kwetu hakuna kuremba, kila miezi 4 Muhimbili, hutaki rudi kwenu
Kwa hiyo unataka kumwambia Dsyklsexxlisia wangu kuwa weye uko salama? Stuka mjukuuz!

huo upendo ulionao tayari unanitosha,asante sana,nakupenda mno!
Hommie hebu nisomee hapo kwenye red....weka wivu pembeni

halafu, Dyslexia, hebu nikumbushe jina lako la utotoni tafadhali, kama naikumbuka hii sauti...:A S 13:
Hommie hapo kikazi au maslahi binafsi?

He!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom