Mabinti wa leo

[/COLOR]

Sasa hapo kazi ndio ipo, na wanaume nao wameanza kushtuka, hakuna anayetaka kuoa mpika ubwabwa, vijana wengi siku hizi hasa wasomi wanatafuta wanawake wanaojiweza!

na wanawake tumeshtuka wengi wetu hatutaki kukaa home kupika ubwabwa,tunajiendeleza hata kwa kuchelewa,na si tuweze!!!
 
Dyslexia uko taka dume yenye hela wewe??

ninayo CPU ndo inaniendeleza niweze lea watoto in case hayupo,imenisomesha na kuniondoa kwenye u-house wife sasa kwanini niwachukie bana,dume likiwa na hela na roho safi na dhamira muzuri kwa muke hakuna bahati kama hiyo!
 
sIJAONA KAZI, zaidi ya tishio la kutaka kupiga BAN CPU :rain:

Babu hebu angalia nimeyaondoa yale maneno yooooote yaliyotaka kuleta Fita ni Fita Mura!

Hii ni sehemu ya amani kupendana na kuheshimiana

SI KUTUKANANA

You have been Warned!
 
ninayo CPU ndo inaniendeleza niweze lea watoto in case hayupo,imenisomesha na kuniondoa kwenye u-house wife sasa kwanini niwachukie bana,dume likiwa na hela na roho safi na dhamira muzuri kwa muke hakuna bahati kama hiyo!

Okey bas :wink2:
 
ebana dah mjita asprin umefanya madude gani tena mwana?

Nimewaondoleeni maneno yenu ya chooni,

Nimebakiza ya sebuleni.

Pendaneni, ishini kwa amani.

Nyie wote mmezaliwa na wanawake.........Pendaneni!
 
Babu hebu angalia nimeyaondoa yale maneno yooooote yaliyotaka kuleta Fita ni Fita Mura!

Hii ni sehemu ya amani kupendana na kuheshimiana

SI KUTUKANANA

You have been Warned!

Ha ha ha ha ha ha ha
Babu bana, sasa mimi nimetukana nani?? :twitch::twitch::twitch:
Mi sijakuelewa kabisaaaaaa hapo ktk red
 
Ha ha ha ha ha ha ha
Babu bana, sasa mimi nimetukana nani?? :twitch::twitch::twitch:
Mi sijakuelewa kabisaaaaaa hapo ktk red

Hehehehe...ile ilikuwa si yako muheshimiwa

Wewe Umekuwa NOTIFIED!

Mpigieni babu makofi tafazali!
 
Nimewaondoleeni maneno yenu ya chooni,

Nimebakiza ya sebuleni.

Pendaneni, ishini kwa amani.

Nyie wote mmezaliwa na wanawake.........Pendaneni!

haina shanapa babu ila mwambie mjukuu wako i got 24 inches rims spinning clockwise and guess what! i earned them.
 
haina shanapa babu ila mwambie mjukuu wako i got 24 inches rims spinning clockwise and guess what! i earned them.

Babu aint know no English bana.......... Nimekuelewa thou!

Hicho kiinglishi nlichoandika hapo ni kwa hisani na msaada wa Oxford Dikshenare LOLZ!
 
Hehehehe...ile ilikuwa si yako muheshimiwa

Wewe Umekuwa NOTIFIED!

Mpigieni babu makofi tafazali!

:A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41:kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41:
 
nimeiona kaka,na nimekupa thanks zako kama nne na kujirekebisha juu!
Good girl! I hope na hapa ntakamata ingine!

:A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41:kwa :A S 41: pwa :A S 41: kwa :A S 41: pwa :A S 41:
Good Boy! Your BAN is uplifted.....Heheheee...ulikuwa umepigwa ban la kisirisiri.....

bravo!:wink2:
Excellent!....Huo sasa ndio uungwana!
 
Hoja yako ingawa inaweza kwa na ukweli fulani imekuwa wrongly generalezed. conlision yako haijajengwa kwamisingi madhubuti. ni sawa na kusema hive Rehema anapenda mashuga mami. Rehema ni msichana. kwa hiyo wasicahana wanapenda mashuga mami.this will bw very wrong tunaita fallacy. kawa hiyo ku concludi kwamba mabinti wa leo wako hivi na vile kadiri ulivosema umekosea inakupasa uwaombe radhi. ungeweza kusema siku hizi wameibuka mabinti wa aina hii .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom