Mabinti wa leo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,763
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine
 
Mkuu ninatabiri reaction mbaya hakikisha umejiandaa na data za kudefend hii research yako..
 
Dah!
Hasira zangu leo sijui zimeenda wapi. Aaaargggigh!
Ngoja nisiuharibu usiku wangu.
Kesho nitakuamkia.
 
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine

Nataka niseme tu kuwa sio wote wako hivyo........wako mabinti wanaojiheshimu na hawako after things as u hv mentioned
 
uliyoyaandika yana ukweli ndani yake,mambo haya hufanywa na mabint wa mijin na vjijin,walosoma na wasiosoma,japo si wote,ila kwa sasa kundi kubwa limedondokea hapo,sampling yangu ni kwa mabint ya sekondari,vyuo vya kati na universities,pia na wale wa mitaani!JAPO WATJISHAUA KUBISHA,lakini ukwel ndo huo,
 
Kuhusu kupata mwanamke au kukosa ama kuwa na mwenza hilo siliweki bayana sana. Hiyo bayana anaijua mhusika. Tujadili mada
 
yana ukweli sana, unajua wngi hawataki kusimama na kupambana wanataka vitu na mambo mazuri huku kazi hawataki, so wanapotokewa na watu wenye pesa inakuwa ndo zali kwao bila kujua hatma, mmesahau ile orodha ilitolewa kumuhusu Liyumba.
 
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine

Samahani, huenda nigusa topiki nisiyofahamu. Nina binti wawili warembo kama mama yao na kila mmoja ana gari yake ingawa ile Taurus na ya mkubwa ni ya mwaka 2005 ukilingnaisha na hii ya mdogo wake ya mwaka 2009. Karibu kila siku baada ya chakula cha jioni huwa tunajadili mabmbo mbali mbali yaliyotamba kwenye news siku hiyo tukichanganya philosophy, politics, economics, science & technology, medicine na mengineyo mengi. Unataka kuniamusha kuwa mabinti hawa hawana subira ya kudadisi mwanaume yoyote mweye gari? Nafikiri umewaonea watoto wa kike wengi kwa matazamo wako huo. Sidhani kama wote wako vile
 
mshikaji naona kama unawaimbia mipasho flani hivi wadada wa JF . . !??? Au kwa vile umegundua hakuna mdada JF anaejua mipasho??

Ngoja nitume maombi kwa Shossi atunge shairi ampe mdada aje ajibu hapa.

Halafu naona kuna kadalili ka mabinti wa siku hizi (kama ulivyowataja) wanakukimbia sana hata wiki humalizi nao kila unapojaribu??!! Mtafute hashycool coz yeye ni dokta bingwa wa mbinu za kutokea mabinti kiutaalamu, sio unawatokea tu " OOOH MIMI NATAKA WEWE NIKAKUCHIMBE SHIMO" hapo kaka watakukimbia tu hata kama ulisoma nae la kwanza hadi la saba
 
yana ukweli sana, unajua wngi hawataki kusimama na kupambana wanataka vitu na mambo mazuri huku kazi hawataki, so wanapotokewa na watu wenye pesa inakuwa ndo zali kwao bila kujua hatma, mmesahau ile orodha ilitolewa kumuhusu Liyumba.

orodha ya wanawake wa Liyumba ndo sample tosha ya kusema mabinti wa kileo wanataka mambo mazuri huku kazi hawataki?wangapi wanafanya kazi na tunao vyuoni wanajiendeleza?tatizo lenu umaskini unawasaumbua,tafuteni hela hakuna anayetaka mwanaume wa chini!
 
Huyu nafikiri ana matatizo binafsi......ametafuta kakosa...sasa anaanza kutuletea research zake hapa!...!!!

alikuwa anatafuta mchumba nimeipitia thread yake muda si mrefu,kakosa naona hayuko vizuri finacially,sasa kaja na conclusion lake la chuki,katafute hela,acha kuja na hoja za kihafidhina kisa umekosa uliyemtaka kwa kukosa fwedha inayotosha:blah::blah:
 
Saahani, huenda nigusa topiki nisiyofahamu. Nina binti wawili warembo kama mama yao na kila mmoja ana gari yake ingawa ile Taurus na ya mkubwa ni ya mwaka 2005 ukilingnaisha na hii ya mdogo wake ya mwaka 2009. Karibu kila siku baada ya chakula cha jioni huwa tunajadili mabmbo mbali mbali yalitamba kwenye news siku hiyo tukichanganya philosophy, politics, economics, science & technology, medicine na mengineyo mengi. Unataka kuniamusha kuwa mabinti hawa hawana subira ya kudadisi mwanaume yoyote mweye gari? Nafikiri umewaonea watoto wa kike wengi kwa matazamo wako huo. Sidhani kama wote wako vile

Mie ndo kanitibua ile mbaya umenena mkuu hapo kwenye red. Huyu jamaa bana sijui kaamkaje leo aahahhh nasikia hasira mpaka basi
 
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine

mjita umewapitia mule mule acha wapige mayowe lakini ukweli ndo huo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom