Acheni kucheza ngoma msiyojua mpigaji wake!!!! Mnavyosema hivyo you mean CHADEMA Imefitiniwa na Marando kwa kutumwa na usalama wa taifa..... Hii sio kweli... coz kipindi chote cha kampeni Marando alikuwa wa msaada mkubwa sana kwa CHADEMA.... Ukweli uko wazi kuwa walioinyang'nya CHADEMA ushindi ni UWT wakishirikiana na NEC pamoja na mtandao wa IT wa Miraji Kikwete na timu yake ya vijana kutoka India
Nimewahi kusikia hawa watu huwa wanatumika hata baada ya kustaafu,na ukumbuke ni amri.Je haitupi wasiwasi na UWT uliogeuka kuwa UWC(Usalama Wa CCM) ukawa na mikono kwenye vyama vya upinzani kupitia watu kama Marando?NCCR palitokea mgogoro kikadhoofu sana,naomba mwenye taarifa za utendaji wake,kama alihusika na migogoro au la,na kivipi kwa wakati akiwa NCCR pia kilichomtoa huko ni nini.Nina wasiwasi naye saana.