Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Huyu mtu hatabiriki, lakini naweza kusema kuwa if he is using Chadema, then the opposite is true a well Chadema is using him too. Mi nadhani kama kuna mutual benefit, haijalishi kwa nini yuko hapo. Ila ninachojua ni kuwa amekuwa kiungo muhimu sana ndani a Chadema kuleta habari na siri ndani ya TISS.
Kumbukeni ya kuwa hivi sasa TISS imegawanyika na Marando anawakilisha kundi moja wapo na kundi lake hivi sasa haina loyalty na serikali iliyopo.
Kuna mengi ambayo hatuyafahamu ila kwa limited knowledge tuliyo nayo hapa ni vyema tukiendelea kumwona Marando kama mtu muhimu ndani ya CHADEMA kwani ameweza kuwaletea information nyingi sana. eace: