Mabele Marando aliondokaje Usalama wa Taifa?

Status
Not open for further replies.
Acheni kucheza ngoma msiyojua mpigaji wake!!!! Mnavyosema hivyo you mean CHADEMA Imefitiniwa na Marando kwa kutumwa na usalama wa taifa..... Hii sio kweli... coz kipindi chote cha kampeni Marando alikuwa wa msaada mkubwa sana kwa CHADEMA.... Ukweli uko wazi kuwa walioinyang'nya CHADEMA ushindi ni UWT wakishirikiana na NEC pamoja na mtandao wa IT wa Miraji Kikwete na timu yake ya vijana kutoka India
Nimewahi kusikia hawa watu huwa wanatumika hata baada ya kustaafu,na ukumbuke ni amri.Je haitupi wasiwasi na UWT uliogeuka kuwa UWC(Usalama Wa CCM) ukawa na mikono kwenye vyama vya upinzani kupitia watu kama Marando?NCCR palitokea mgogoro kikadhoofu sana,naomba mwenye taarifa za utendaji wake,kama alihusika na migogoro au la,na kivipi kwa wakati akiwa NCCR pia kilichomtoa huko ni nini.Nina wasiwasi naye saana.
 
unasema kafulia alikuwa alikuwa mamluki ? Unaweza ukaelezea zaidi.
jiulize kwanini dokta na chadema walimsimamisha uongozi..
Kafulila badala ya kusubiri uamuzi zaidi yeye fasta akaamia nccrr
 
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je, si bado mmoja wao?
Mwanamayu you are missing the point, mtu kuwa usalama wa taifa si kwamba wote ni wasaliti wa taifa kuna usalama wa taifa huku wana mapenzi makubwa na taifa lao zaidi ya wewe usiye usalama wa taifa.
 
Heshima kwako PAS,

Mkuu sina hakika sana kama Marando kapewa assigment ya kuisambatratisha CHADEMA,mara nyingi watu wa system wanatumia hali ya mambo ya wakati husika kufanikisha mipango yao.Mfano CHADEMA wakati huu wana vita ya chini chini ya kugombea nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni Zitto Kabwe naibu katibu mkuu na Mwenyekiti Freeman Mbowe wanaweza kusababisha yaliyotokea NCCR Mageuzi yajirudie tena.Rejea tena bandiko langu kazi kubwa ya UWT kipindi hiki ni kusambaratisha upinzani Marando yuko tena kwenye chama kinachoitia hofu CCM akifanikiwa tena anaweza kufananishwa na yule kachero mashuhuri sana nchini Israel Bwana Eli Cohen.

SASA nimekuelewa vizuri katika ilo..
yamaanisha hata zito au wengine wanaweza kuhusika kwenye UWT... japo hatuna uakika mkuu...
mabadiliko nchi hii ni adi ccm ipasuke vinginevyo hakuna upinzani
 
huyo baba ni mfanyakazi wao na huko alipo yuko kazini!!!
 
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je, si bado mmoja wao?
:smile: Usistaajabu yaliyotokea NCCR utakapoona ya CHADEMA:smile-big:
 
Na mkiendekeza propaganda kama hizi hamtakaa muendelee hata siku moja - kila siku mtakuwa hamuaminiani na hamtaweza kuwa na mshikamano kama taifa
 
huyo baba ni mfanyakazi wao na huko alipo yuko kazini!!!

Pamoja sana Mkuu

Tatizo hapa jamvini ni ubishi tu ubishi tu - MN Marando bado ni mwajiriwa wa TISS - kama unakataa kajinyonge UFE!
 
Mkuu Andrewk,

Ni kweli ukitazama mfumo wa tawala nyingi dunia eg Uk na Austria kiongozi wa upinzani bungeni pia ndiye kiongozi wa chama.Jiulize unadhani yanayoendelea ni bahati mbaya !.

Mh. kwa sasa ni vigumu sana kueleweka ukizingatia kila linapoongewa swala la chadema mbali na kusifia unaonekana mamluki, lakini siku zote ukweli hujitenga na uongo, kinachohitajika hapo ni muda tu. Na safari hii haitachukua muda mrefu saana hili jambo kujitokeza. Naamini M.Marando hatashindwa kutekeleza majukumu yake na this time nadahni itakuwa kisayansi zaidi.
 
siasa ni elimu ya wenye elimu pasipo kujali kazi na nini wanacho. cha msingi ni chama kuwa na mipango madhubuti na imara isiyoyumba. hakuna uwezekano wa kuzuia watu wa TISS cha wasiwepo ndani ya chombo chochote lakini cha msingi ni kuwa na mipango isiyoyumba kama ya china dhidi ya marekani, kwani inasadikika marekani inatumia zaidi ya dola bil 80 kilamwaka kutaka kuisambalatisha china lakini wameshindwa. kama chadema watakuwa na mipango madhubuti basi watasimama daima
 
" It isn't just the Gestapo maniacs, or KGB maniacs, who do inhuman things to other people.
It's PEOPLE who do inhuman things to other people...
We create a CIA, a secret police, with a vast budget, and let them go and run these programs in our name. We pretend like we don't know what's going on, though the information is there for us to know. And we pretend like it's okay because we're fighting some vague threat...". John Stockwell

Soma zaidi hapa:
John Stockwell: The Secret Wars of the CIA
:director:
 
Pamoja sana Mkuu

Tatizo hapa jamvini ni ubishi tu ubishi tu - MN Marando bado ni mwajiriwa wa TISS - kama unakataa kajinyonge UFE!

Tatizo mnabwabwaja bila kuwa na fact. Lini ulimwona Marando akimsifia Kiongozi yeyote wa Serikali au Ufisadi. Hvi kati ya Mrema na Marando nani alivuruga chama cha mwenzake?

NCCR walimpokea Mrema akiwepo Marando aliyempisha ili awe mwenyekiti lakini baadaye alianzisha migogoro
 
Kwa hili la Marando hata mimi ninakaa kimachale!!!!!!!!. Nampongeza kwa kweli amesaidia CHADEMA ila nashauri CHADEMA wawe macho kwa mienendo yake!
 
Du..Maswali mazito kwelikweli haya!..pia nina wasiwasi baadhi yake yanamhitaji yeye mwenyewe ayajibu kwa usahihi, vinginevyo utalishwa sumu hapa!

Hakuna swali hapo, mwenyewe alishajibu sana ktk kampeni na kueleza hata baadhi ya kazi alizofanya eg kulala Kampala kwa jina la bandia na kuweza kumletea Mwalimu taarifa muhimu alizozifanyia kazi.Ni kupoteza muda kujadili kitu kilichoelezwa sana.Ni kuondoa watu kwenye mada ya msingi kuhusu uhuru na haki katika uchaguzi uliopita
 
Tatizo mnabwabwaja bila kuwa na fact. Lini ulimwona Marando akimsifia Kiongozi yeyote wa Serikali au Ufisadi. Hvi kati ya Mrema na Marando nani alivuruga chama cha mwenzake?

NCCR walimpokea Mrema akiwepo Marando aliyempisha ili awe mwenyekiti lakini baadaye alianzisha migogoro

Kanye Ulale - A piece of sh*%&
 
Pamoja sana Mkuu

Tatizo hapa jamvini ni ubishi tu ubishi tu - MN Marando bado ni mwajiriwa wa TISS - kama unakataa kajinyonge UFE!

Tatizo mnabwabwaja bila kuwa na fact. Lini ulimwona Marando akimsifia Kiongozi yeyote wa Serikali au Ufisadi. Hvi kati ya Mrema na Marando nani alivuruga chama cha mwenzake?

NCCR walimpokea Mrema akiwepo Marando aliyempisha ili awe mwenyekiti lakini baadaye alianzisha migogoro isiyokwisha kwa kutaka kuendesha chama kibabe na siyo kikatiba hvo akakitibua chama cha NCCR. Baadaye alipotoka Mrema NCCR iliyumba lakini ilikuwa imetulia tofauti na TLP alikokwenda Mrema isiyokwisha mgogoro.

Wapinzani pia wana matatizo yao. Walimtuhumu Marando kuwa ni kibaraka wa ccm pale alipowashinda ubunge wa Afrk Mashariki. Marando anajua kujieleza na alikuwepo bungeni hivo kufahamiana na wabunge wengi. Wakati wagombea wengine wa nafasi ya upinzani kwenye bunge hilo walijipambanua kama wapinzani zaidi Marando aliwazidi kete kwa kujieleza vizuri zaidi na kujipambanua kama mtanzania bila kubagua wabunge wa CCM wakampa kura na akashinda huo ubunge.

Hapa tunajiita great thinkers lakini kwani kwa hili la Marando mmechemsha. Hivi Kazi anayofanya Marando ya uwakili bado kuna haja ya kutafuta vijisenti kwenye Usalama wa taifa?

Mwachani Marando enyi vijana wa Dot com make wazoefu tunamfahamu ni mpambanaji aliyewafungua watanzania macho enzi za kuanzisha mageuzi.
 
Tatizo mnabwabwaja bila kuwa na fact. (1)Lini ulimwona Marando akimsifia Kiongozi yeyote wa Serikali au Ufisadi. Hvi kati ya Mrema na Marando nani alivuruga chama cha mwenzake?

NCCR walimpokea Mrema akiwepo Marando aliyempisha ili awe mwenyekiti lakini baadaye alianzisha migogoro isiyokwisha kwa kutaka kuendesha chama kibabe na siyo kikatiba hvo akakitibua chama cha NCCR. Baadaye alipotoka Mrema NCCR iliyumba lakini ilikuwa imetulia tofauti na TLP alikokwenda Mrema isiyokwisha mgogoro.

Wapinzani pia wana matatizo yao. Walimtuhumu Marando kuwa ni kibaraka wa ccm pale alipowashinda ubunge wa Afrk Mashariki. Marando anajua kujieleza na alikuwepo bungeni hivo kufahamiana na wabunge wengi. Wakati wagombea wengine wa nafasi ya upinzani kwenye bunge hilo walijipambanua kama wapinzani zaidi Marando aliwazidi kete kwa kujieleza vizuri zaidi na kujipambanua kama mtanzania bila kubagua wabunge wa CCM wakampa kura na akashinda huo ubunge.

Hapa tunajiita great thinkers lakini kwani kwa hili la Marando mmechemsha. (2)Hivi Kazi anayofanya Marando ya uwakili bado kuna haja ya kutafuta vijisenti kwenye Usalama wa taifa?

Mwachani Marando enyi vijana wa Dot com make wazoefu tunamfahamu ni mpambanaji aliyewafungua watanzania macho enzi za kuanzisha mageuzi.

Labda wewe ndiyo DotCom!

Tangia 1980 nimemfahamu Marando kama Senior Official wa TISS - pole kama wewe umefahamu 1992. Hii ni timu ya watu zaidi ya 50 waliotumwa na Serikali kwenda kudhoofisha mfumo wa Vyama vingi come 1995. Siwezi kukupa details za "HOW" and "WHAT"; but I'm more than certain that MNMarando ni mvurugaji! Sina uhakika katika CHADEMA amekuwa "placed" wapi, lakini akipata access (ambacho ndicho anatafuta) na strategic plans - utaniambia kitakachotokea!
 
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je, si bado mmoja wao?

Hili limeshajadiliwa sana humu, tafuta mambo mengine ya maana kwa Great Thinkers kujadili, usiweke u-ccm hapa
 
Upande wa pili wa shillingi, uwepo wa Marando utasaidi CHADEMA kujua mbinu zinazotumiwa na TISS kusambaratisha upinzani. So, kuwepo kwake ni added advantage to CHADEMA.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom