Jumba kama hili linakosti bei gani kulimiliki maeneo ya Dar,Moro?Songíto;4005183 said:
Jumba kama hili linakosti bei gani kulimiliki maeneo ya Dar,Moro?
\Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviwiani? umeweka bangaluu halafu umeita mabangaluu...
ukiwa na million 450 unapata kitu hiki
hapo sasa na mm sijapata picha...mana sidhani kama la maige linalifikia hekalu hili japo kwa mbaliKwa hiyo lile la mh maige limeifunika hii?lime cost $700,000/ na dalali kala zake za kutosha.
ukiwa na million 450 unapata kitu hiki