Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Kwa ushauri wangu usiji Michael Jackson i mean usitumie painkiller ukawa kama Michael Jackson.Kuwa ng'ang'ari kula shiba upumzike sio kutumia painkillersTake some painkillers !
Kwa ushauri wangu usiji Michael Jackson i mean usitumie painkiller ukawa kama Michael Jackson.Kuwa ng'ang'ari kula shiba upumzike sio kutumia painkillersTake some painkillers !
Po ndagha linga asikututulagha,
Napenda kuwafahamisha kuwa marekebisho YOTE tumekamilisha.
Hakutakuwa na downtime inayohusiana na server issues hata kidogo. Ikitokea issue yoyote tutawafahamisha inahusiana na nini lakini si server issues.
Kwa niaba ya wenzangu tulioanza kazi hii pamoja na ambao tunaendelea kuangalia kama kutatokea chochote kwa muda wa masaa 12 yajayo (just in case) tunapenda kuwashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza!
Shukrani sana
Wengi wanaweza kusoma na hawawezi kuchangia; natamani kuwasaidia... nikifanya hivyo wote ambao mko logged in mtakuwa logged off... Sijui kama mtakubaliana na hali hii. Wengi hawajui maana ya CLEAR COOKIES!
Kazi kwelikweli...
Wabonyeze Ctrl kwenye keyboard au laptop zao na wakiwa wamebonyeza hiyo wa-click REFRESHWasaidie tu mkuu. Wale wachache tulio hewani tutakosa kwa muda lakini baada ya wewe kumaliza tutafaidi wote kwani tutakuwa wenzetu ambao kwa sasa tunakosa michango yao. I wouldn't mind to be logged off!
Kwa mnaotumia Internet Explorer; sipendi kuwakatisha tamaa lakini ukweli ni kuwa hampati uzuri wa mitandao mnayoitembelea kama ambavyo mngeweza kutumia browser nyingine.
Sisi tunapendekeza mtumie Mozilla FireFox, na wale ambao mnatumia FireFox tunajua wengi hamja-update browsers zenu; tafadhali tembelea link hii ku-downlaod latest software ku-upgrade au kuchukua browser mpya BURE:
FireFox: http://www.mozilla.com/en-US/firefox/upgrade.html
kama hawaoni REFRESH, then waambie watumie Ctrl + F5Wabonyeze Ctrl kwenye keyboard au laptop zao na wakiwa wamebonyeza hiyo wa-click REFRESH
Huku tayari tusharekebisha badala ya kuwa-log off wote.
JC,Poleni wakuu, i dint know how much JF had become part of me thank you very much na asanteni.
Jamani tusione vinaelea vimeundwa embu sisi wengine ambao atuja wai kuchangia tujifunze kutoa.
Embu tusaideieni how can we contribute anonymously, how can we do it.
My option is through western union by giving an alias name lakini namtumia nani sasa na wapi.
Thanks wahusika wote na poleni sana na pls give us tips how we can contribute from abroad,.
JC,
2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.
=================================
Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.
Choka mbaya... hakuna kulala!
Choka mbaya... hakuna kulala!