Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

Mwalimu anamazuri kwenu nyinyi sio kwetu sisi.
Nyerere alipokewa Tabora na mzee Rehani Waikela na akapewa nymba alale lkn baada ya kupata uhuru alimueka Mzee Waikela ndani kwa muda wa miaka miwili bila sababu yoyote.
Naakawafunga wazee wengi wa kiislam bila yamakosa.

MSHUME WA KIATE.
Huyu nimzee alie mkuta Nyerere anatembea na miguu kutoka magomeni kwenda kariakoo, alipo muuliza unakwenda wapi akasema anakwenda kariaakoo na sina pesa ya kula, kwanza akampa Shs 200 na akamwambia kuanzia leo mimi ndio nitakupa chakula(yaani matumizi) na alifanya hivyo mpaka tukapata uhuru.
Baada ya kupata uhuru mzee Mshume aliumwa akalazwa muimbili Kambona kwenda kumtazama akamkuta kalazwa chini, akawaambia nyinyi munamjua huyu mzee? kufupisha... alipewa kitanda Nyerere kusikia akasema mrudisheni chini.
Namengine mengi mabaya katenda.
NYERERE NI MZURI KWENU NA NIBABA WATAIFA NA NI ST. NYERERE KWENU NYINYI.
Baadhi ya watu mna "Nyerere" wenu wenyewe! Huyu tunaemfahamu sisi sie huyu uliemsimulia hapa. Of course kama uligongana na Mwalimu kwa masuala ya UDINI, UKABILA, RUSHWA,..., asingekuacha!
 
Hao watumishi wa idara za serikali na mahakama anaowataja tayari walishakuwa viongozi waandamizi kwenye idara husika kabla ya rais Kikwete hajaingia madarakani.Kwa mtazamo wangu ni yeye huyo muhubiri ndio mdini na leo hii amemua kuonyesha ulimwengu kuwa nchi hii ni mfumo kristo kwa kutopenda kuona waislam kwenye nafasi za uongozi.

dawa ni kukubaliana kutofautiana, kuna kundi moja kwanza lina asili ya ubishi, pili, hata kama wakristu hawapendi uislamu, uislamu hauwaharibii lolote (katika uwepo wake), tofauti na waislamu kudhihirisha kutokuweza kustahimili uwepo wa ukristo na wakristo, (wangetamani ukristo ufutike). jamani, uislamu hautakwisha, tukubali hivyo na ukristo utadumu, tukubali na kuamini hivyo. kila mtu ahangaikie roho yake, rather than kuhangaikia roho na imani ya mwenzio. vile vile tujue kwamba Mungu alivyotuumba tunafanana, usifikiri kuna binadamu zaidi ya mwengine. kama kuna kundi linajichukulia haki kila wakati kunyanyasa kundi lingine, hilo kundi lijue kabisa kuna siku wenzao watachoka, na mara nyingi mchokozi hashindi ikishakuwa vita. Mungu atakuwa upande wa mwonewa, mkiamini sawa msipoamini sawa.
 
Mfumokristo unaweza kufanya lolote walitakalo. Soma hii hapa chini:

Hadi kufikia mwaka wa 1960 Kanisa likawa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopokelewa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi linahodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege, makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio, TV na magazeti.

Kanisa limekuwa na nguvu na udhibiti wa mambo kiasi kwamba wakati mwingine watendaji, hasa Wakristo katika serikali na ndani ya chama tawala CCM hawajui utii wao upo kwa nani, serikalini au katika Kanisa?

This kind of arguments can only be put forward/supported by hateful "Ipomea batatus", if ever you know what I mean... No sensible person can accept this bullshit!
 
Mfumokristo unaweza kufanya lolote walitakalo. Soma hii hapa chini:

Hadi kufikia mwaka wa 1960 Kanisa likawa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopokelewa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi linahodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege, makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio, TV na magazeti.

Kanisa limekuwa na nguvu na udhibiti wa mambo kiasi kwamba wakati mwingine watendaji, hasa Wakristo katika serikali na ndani ya chama tawala CCM hawajui utii wao upo kwa nani, serikalini au katika Kanisa?
MfumoKristo unaruhusu kumpata Rais Muislam tena wakati mwingine kwa 80% ya kura? Mohamed Said umetembea sana duniani. Unaifahamu mifumokristo ilivyo na inavyofanyakazi. Nikupe mfano wa hapa jirani tu Kenya. Pale hapatachaguliwa Rais Muislam hata miaka 100 ijayo. Unawadanganya Waislam wenzako kwamba TANZANIA kuna MfumoKristo.

Au mnataka kuanzisha Dar es Saalam Republican Council kama ile ya Mombasa. Sasa hivi wenzenu wa Mombasa wanaimba "Pwani si Kenya"!
 
Last edited by a moderator:
Ni ukweli udini upo,ila nilichojifunza kwenye tamko hilo ni kana kwamba hao viongoz wameionesha iyo falsafa waz waz na kuwaasa waumin wao kuwa macho zaid pamoja na kuialert serikali

katika huo mtiririko wa Kutaja viongozi wa juu ambao ni waislam mbona waziri mkuu kamruka?mbona mkuu wa majeshi ya ulinz kamruka?mbona speaker wa bunge kamruka?
Na namba ya mawaziri je?na huko katika ngazi za serikali je?najua hapo itakuja hoja ya kwamba waislam hatujasoma na hatuna elimu ya kutosha,anyway cha umuhimu ni kutibu chanzo cha yote yaliyotufikisha hapo

kila mtu ana mapenz na dini yake,kila mtu ana iman na dini yake na yuko tayari kuipigania

patience and torelance ndicho kinachopaswa kujadiliwa pamoja na chanzo cha hayo yote
me ni muislam nilielelewa katika familia ya kikristo,naamin yapo ya kufanya na tukaweza kuish kwa amani
 
Leo makanisa yamefunguka wamechoka na serikali kufumbia macho uchomaji wa makanisa....

Wengefungu zaidi kwa kuwafafanuliwa waumini wao nini maana ya Christmas, historia yake na kwa nini 25 december sio siku ya kuzaliwa Yesu, ingekuwa na tija zaidi maana hayo ni mambo ya kiroho, haya mengine wangeyazungumza siku ya 9 december au 7/7 maana hayo ni mambo ya kisiasa, mkiambiwa nchi hii inamfumo kristo mnabisha, hii nini?
 
Baadhi ya watu mna "Nyerere" wenu wenyewe! Huyu tunaemfahamu sisi sie huyu uliemsimulia hapa. Of course kama uligongana na Mwalimu kwa masuala ya UDINI, UKABILA, RUSHWA,..., asingekuacha!

Ndio asingekuacha maana yeye ndie aliekuwa muasisi wa sera hizo
 
mfumo kristo kwenye sekta ya afya tanzania
wakati wa ukoloni serikali ilikusanya kodi kutoka kwa wananchi na kisha kuzitoa sehemu ya fedha hizo kwa taasisi mbalimbali za makanisa zinazotoa huduma za afya nchini. Kupitia utaratibu huu, taasisi za afya kama vile hospitali na vituo vya afya vinavyomilikiwa na makanisa nchini viliimarishwa kwa kutumia kodi zinazotolewa na wananchi wote wakiwemo waislamu. Hata baada ya kupata uhuru, serikali yetu iliendelea na utaratibu huu wa kuzipa taasisi za afya zinazomilikiwa na makanisa fedha za umma kwa visingizio kuwa taasisi hizo zinatowa huduma kwa watu wote na kuwa serikali haina uwezo wa kutoa huduma hiyo kwa watu wote.

Mwaka 1992 serikali iliwekeana mkataba rasmi (memorandum of understanding-mou) na makanisa nchini ambapo serikali iliweka ahadi kadhaa, zikiwemo:


-kutenga kiasi cha fedha za makusanyo ya kodi kwa ajili ya kuzipa taasisi za afya na elimu zinazomilikiwa na wakristo kwa ajili ya maendeleo yao;



- kusaidia taasisi zinazomilikiwa na makanisa kupata misaada kutoka kwa wafadhili nje ya nchi;


-na kutenga nafasi maalumu za masomo katika shule na vyuo kwa ajili ya kusomesha watu watakaofanya kazi katika taasisi za elimu na afya zinazomilikiwa na makanisa;



- kuhakikisha kuwa serikali haitataifisha tena taasisi zinazomilikiwa na makanisa pamoja na kuwa zinaendeshwa kwa kodi za watanzania wote.



makubaliano hayo baina ya serikali na makanisa yalihusisha tec, cct na yalisainiwa na1992 waislamu hawakualikwa na majadiliano yaliyohusu mkataba huu baina ya makanisa na serikali wala serikali haikuona haja ya kupata maoni ya waislamu. Na baada ya waislamu kupata habari za mkataba na wao kuiomba serikali iwahusishe pia walidharauliwa na maombi yao hakujibiwa mpaka hivi karibuni tulivyoambiwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa tunalalamika tu tangu mwaka huo na hatujaomba!



kufuatia makubaliano hayo katika ya serikali na makanisa mabilioni ya fedha za walipa kodi yamekuwa yakitolewa kila mwaka kwa taasisi mbalimbali za makanisa zinazotoa huduma za afya nchini. Kwa mfano jedwali lifuatalo linaonesha baadhi ya fedha za umma zilizotolewa mwaka 2009 na 2010 na serikali kwa taasisi mbalimbali za makanisa zinazotoa huduma za afya nchini ikilinganishwa na kiasi cha fedha zinazopelekwa kwa taasisi za afya zinazomilikiwa na serikali.


Data za wizara ya afya zinaonesha kuwa hospitali na taasisi nyingine za afya zaidi ya 80 zinazomilikiwa na makanisa zinaendeshwa kwa kutumia fedha za serikali. Aidha utafiti wetu umeonesha kuwa serikali imekuwa ikitumia mabilioni ya fedha kila mwaka kuendesha hospitali na taasisi za afya zinazomilikiwa na makanisa.

Kwa mfano jedwali lifuatalo linaonesha fedha za serikali zilizotumiwa na hospitali na taasisi za afya zinazomilikiwa na makanisa ikilinganishwa na matumizi katika hospitali za serikali mwaka 2009 na 2010.
attachment.php

attachment.php


jedwali hilo hapo juu linaonesha fedha zilitolewa na serikali kwa hospitali na taasisi nyingine za huduma ya afya zinazomilikiwa na makanisa na zile zinazomilikiwa na serikali kwa ajili ya kulipa mishahara wafanyakazi na gharama za uendeshaji.



thank you so much
thank you a lot
atleast tunaweza kujionea sasa hali ilivyo
 
This kind of arguments can only be put forward/supported by hateful "Ipomea batatus", if ever you know what I mean... No sensible person can accept this bullshit!

All sensible people accept and acknowledge these facts, hata madri na maaskofu wanalitambua hili, viongozi wengi wadini ya kiislam walio thubutu kumtahadharisha Mwl kuhusu hatari ya mwenendo wake waubaguzi wa dini alioufanya wazi wazi, aliwafunga na maaskofu wote wanajua mambo haya, ila matamko haya ni muendelezo tu wakueneza chuki za kidini, hazisaidi. Inasikitisha na kutisha kuona viongozi wadini kutoa matamko yasiokuwa sahihi, na udini hauwezi kuisha bila ya haki kutndeka.
 
tuwe wavumilivu na wenye busara, ndugu zangu waislam kuna chuki mnajipandikizia mioyoni mwenu lakini hauna manufaa. ukweli uko wazi, kuwa mlichelewa kupata elimu, tumieni nafasi ya sasa kusoma zaidi na mjenge taasisi zenu. ccm na utawala wake umeshawaona mtaji, na unawatumia nyinyi kisiasa. tazameni mfano mdogo tu wa hiki chuo kikuu cha MUM, kimewashinda kuendesha, na sasa wanafunzi wenu kutoka pamba wanahamia Jordan University Collage ya katoliki, kwa kuwa hawaoni elimu ya maana MUM. punguzeni kukaa vijiweni kunywa kahawa, kashata na tende. society is not blind at all, ikiona jitihada zenu automatically itawaingiza kwenye mfumo, haina haja ya kujinadi kama mnavyofanya. mtafakari na kuchukua hatua.
 
thank you so much
thank you a lot
atleast tunaweza kujionea sasa hali ilivyo
nyie hamna shule na hospitali? mnachelewa nini kuita serikali na wafadhili wawezeshe na muingie nao mkataba wa kutoa huduma, ili na nyinyi muwe na mfumo- islamu? ukweli mnao, mnaendekeza mambo yasiyo na tija huku mkijua udhaifu wenu. msiwafanye wengine kuwa madaraja ya kufikia mafanikio yenu. badilikeni, muache kupokea tende na makopo ya kutawazia kutoka uarabuni.
 
Udini tayari upo wazi hakuna tena kujificha kama viongozi wa dini wameamua kuongea haya basi tena tujiandae na lolote litakalotokea.
Lazima waongee kwa sababu wanaopaswa kukemea(SERIKALI YA CCM) wamenyamaza na wanachochea udini kwa manufaa yao ya kisiasa!
 
nyie hamna shule na hospitali? Mnachelewa nini kuita serikali na wafadhili wawezeshe na muingie nao mkataba wa kutoa huduma, ili na nyinyi muwe na mfumo- islamu? Ukweli mnao, mnaendekeza mambo yasiyo na tija huku mkijua udhaifu wenu. Msiwafanye wengine kuwa madaraja ya kufikia mafanikio yenu. Badilikeni, muache kupokea tende na makopo ya kutawazia kutoka uarabuni.

thank you,,

receive my appriciations

everything is clear over there
be blessd,,
 
Ndio asingekuacha maana yeye ndie aliekuwa muasisi wa sera hizo





Ushahidi hamuonyeshi Nyerere kwa sifa hizo ulizosema.
Hebu soma hii hapa chini:

Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, Development and Religion in Tanzania, (1981) [1] ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabu hiki kilikuwa kinauzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. [2]

Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.


Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). [3] Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislam kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam.

Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha.
[4]

Kuna kazi mbili zilizoandikwa na Waislam kuhusu uhusiano baina ya serikali na Waislam. Kazi ya kwanza ni tasnifu ya Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);
[5] kazi ya pili ni makala ya utafiti ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) [6] iliyoandikwana mwandishi wa kitabu hiki. Ilikuwa baada ya kusoma tasnifu ya Kiwanuka na kuona jinsi ukweli wa kuvunjwa kwa EAMWS kulivyopoteshwa ndipo kama Muislam na kama ada ya Uislam inavyodai kuwa pande mbili za mgogoro zote lazima zisikilizwe, ndipo nilipoamua kufanya utafiti na kuandika tatizo lile kwa mtazamo wa Waislam.

Ukweli ambao kwa miongo miwili ulizuiwa usifahamike kwa Waislam. Kiwanuka anadai na kuafiki kuwa Nyerere alikuwa na haki ya kutumia vyombo vya dola dhidi ya Waislam kwa kuwa kama asingefanya hivyo nchi ingekuwa na mamlaka mbili, yaani ya Waislam na ya serikali. Kwa ajili hii aliamua kuivunja EAMWS ili ‘kulinda umoja wa kitaifa'.


Halikadhalika ipo ‘Kwikima Report' (1968)[7] ambayo imeeleza kwa ufasaha tatizo la EAMWS, chanzo chake na mchango wa serikali katika kuhujumu umoja wa Waislam. Taarifa hii inafaa kutumika leo kama dira ya kuelewa tatizo la Waislam wa Tanzania kama ilivyokuwa wakati ule ilipotolewa kwa mara ya kwanza.

Taarifa ya Kwikima inaeleza jinsi TANU, serikali na Waislam wachache katika TANU walivyodanganyika kudhani kuwa katika kuisaidia serikali kuivunja nguvu EAMWS walikuwa wanatimiza uzalendo na maslahi ya taifa. Rejea hizi tano ni muhimu kwa wanafunzi wa historia ya siasa Tanzania; na kwa mtafiti yeyote anaetaka kujua chanzo cha chuki baina ya Waislam na serikali na chanzo cha hisia kali za kidini zinazoikumba nchi yetu kuanzia miaka ya 1980.
[8]

Rejea zote hizo za vitabu, makala za utafiti na taarifa mbalimbali, ingawa zimeandikwa na waandishi tofauti na kwa muelekeo tofauti zote hizi zinadhihirisha kitu kimoja – kuwepo kwa njama zinazoendelea kwa zaidi ya karne moja dhidi ya Uislam na Waislam, kwanza zilikuwa zikifanywa na wakoloni walioitawala Tanganyika na sasa zinafanywa na Wakristo wananchi kuhakikisha kuwa Uislam haupati nguvu.


[1] Jan P van Bergen, Religion and Development in Tanzania, (Madras, 1981) passim.

[2] Kitabu hiki hivi sasa hakipatikani na kulikuwa na uvumi kuwa Usalama wa Taifa walikuwa wakikitafuta ili kikusanywe na kuteketezwa kwa kuwa kilikuwa kinahatarasha umoja na mshikamano wa wananchi na kwa ajili hiyo amani ya nchi.

[3] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda,1992)

[4] Ibid. uk. 37.

[5] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

[6] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) makala hii ilichapishwa tena kwa jina hilo hilo katika Al Haq International (Karachi) Vol. 1 No. 3 August-December 1993.

[7] ‘Kwikima Report' imo ndani ya The Standard, 12[SUP]th[/SUP] December, 1968, vilevile The Nationalist, 15[SUP]th[/SUP] December, 1968. Angalia vilevile Bergen, uk. 238.

[8] Angalia, USAID/Tanzania ‘Tanzania Flash Points Study', April, 1999.
 
All sensible people accept and acknowledge these facts, hata madri na maaskofu wanalitambua hili, viongozi wengi wadini ya kiislam walio thubutu kumtahadharisha Mwl kuhusu hatari ya mwenendo wake waubaguzi wa dini alioufanya wazi wazi, aliwafunga na maaskofu wote wanajua mambo haya, ila matamko haya ni muendelezo tu wakueneza chuki za kidini, hazisaidi. Inasikitisha na kutisha kuona viongozi wadini kutoa matamko yasiokuwa sahihi, na udini hauwezi kuisha bila ya haki kutndeka.

Okay...
Nimekuelewa. sensible people unaowangoelea ni wale ambao:

Wakiwa Tanzania, adui yao ni Ukristo.
wakiwa Iraq, Afghanistan, Pakistan, adui yao ni washia.
Wakiwa India, adui yao ni wahindu na masingasinga.
Wakiwa uchina, adui yao ni ubudha
Wakiwa Japan adui yao ni shintoism...
hao ndio sensible people unaowaongelea. Those are the people who can accept that bullshit. Ipomea batatus na solanum tuberosum yana jina moja la kiswahili... Litafute.
 
MfumoKristo unaruhusu kumpata Rais Muislam tena wakati mwingine kwa 80% ya kura? Mohamed Said umetembea sana duniani. Unaifahamu mifumokristo ilivyo na inavyofanyakazi. Nikupe mfano wa hapa jirani tu Kenya. Pale hapatachaguliwa Rais Muislam hata miaka 100 ijayo. Unawadanganya Waislam wenzako kwamba TANZANIA kuna MfumoKristo.

Au mnataka kuanzisha Dar es Saalam Republican Council kama ile ya Mombasa. Sasa hivi wenzenu wa Mombasa wanaimba "Pwani si Kenya"!

Kuwa nadanganya hilo halipo.

Waislam tumeshaitahadharisha serikali siku nyingi kuhusu matatizo yanayokabili nchi yetu.
Serikali imekuwa kimya.

Badala yake mnajibu wafuasi wa Kanisa.
Itakavyokuwa tumefika pazuri kuwa leo sisi raia wenyewe tunajadili matatizo yanayotusibu.
 
Sasa unaongea kama MTANGANYIKA. Angalau umeacha kuwapamba wazee wako wa Kariakoo pekee. Unanishangaza kidogo unaposema TAA ya Tabora hakuna ililokuwa ikifanya. Ni kama hivi sasa mtu aseme CCM ni hii iliyoko Lumumba tu. Hizo za Mwanza, Mbeya,...., si lolote si chochote! TAA za huku bara ndizo zilizokuja kuipa TAA ya Dar nguvu kubwa ya kudai UHURU wa Tanganyika na kutoa viongozi WATANGANYIKA wa kweli. Hakuna aliyeingia au kuiongoza TAA kwa kusaidiwa na DINI yake. Hili ndilo ninalotofautiana pakubwa na wewe.
Historia ya TANGANYIKA haikuandikwa na Mwalimu. Hata ulipoandika kitabu chako kile, Mwalimu hakuhangaika nacho. Nani aliwadogosha wazee wako?
mkuu uyu bwana mohamed said ukimsoma vizur anachembe za ubaguz,hapo umempa ukwel,hao wazee waliokuwepo dar walikuwa watanganyika katika kupigania uhuru au walikuwa waislam kias kwamba Nyerere kutoka bara hastail kwa sababu si MTANGANYIKA bali mkristu,pil iyo TAA ya dar ilikuwa ya wajanja na wenye akil sana tanganyika kuliko wa mikoan.,sikuelew kabisa we mjamaa jins unavyozid ongea ndo najua jins ulivyombaguz.,mngetoka na azimio lenu la uhuru wa nchi ya Dar es salaam au pwan 2jue mlitoka nyie kama nyie kama walivyo wachaga nao walivyoenda kudai uhuru..nyie jamaa toka huko ilikotokea din yenu wabaguz sana.,Mungu awarehem
 
Back
Top Bottom