Baadhi ya watu mna "Nyerere" wenu wenyewe! Huyu tunaemfahamu sisi sie huyu uliemsimulia hapa. Of course kama uligongana na Mwalimu kwa masuala ya UDINI, UKABILA, RUSHWA,..., asingekuacha!Mwalimu anamazuri kwenu nyinyi sio kwetu sisi.
Nyerere alipokewa Tabora na mzee Rehani Waikela na akapewa nymba alale lkn baada ya kupata uhuru alimueka Mzee Waikela ndani kwa muda wa miaka miwili bila sababu yoyote.
Naakawafunga wazee wengi wa kiislam bila yamakosa.
MSHUME WA KIATE.
Huyu nimzee alie mkuta Nyerere anatembea na miguu kutoka magomeni kwenda kariakoo, alipo muuliza unakwenda wapi akasema anakwenda kariaakoo na sina pesa ya kula, kwanza akampa Shs 200 na akamwambia kuanzia leo mimi ndio nitakupa chakula(yaani matumizi) na alifanya hivyo mpaka tukapata uhuru.
Baada ya kupata uhuru mzee Mshume aliumwa akalazwa muimbili Kambona kwenda kumtazama akamkuta kalazwa chini, akawaambia nyinyi munamjua huyu mzee? kufupisha... alipewa kitanda Nyerere kusikia akasema mrudisheni chini.
Namengine mengi mabaya katenda.
NYERERE NI MZURI KWENU NA NIBABA WATAIFA NA NI ST. NYERERE KWENU NYINYI.