Maaskofu mbona hawaongelei solution ya umeme kama kweli wanaitakia mema nchi

Mi nadhani hapa unataka kuleta isue za udini,na please heshima iwepo kwa viongozi wetu wa dini,heshima iwepo,mimi ni mkristu na tuhuma za kizushi kuhusu kiongozi wangu wa Imani sitazikubali,

Punguza jazba kaka. Its you and your GOD, eliminate the middle man. Hawa Maimamu na Wachungaji wako kibiashara zaidi. Nguzo tano za Uislamu si unazijua?

Amri kumi za Mungu si unazijua? Why would you obtain your moral framework from some Mchungaji au a Imamu? Tena you trust your children repeatedly with these folks who have a track record of ulawiti, kisa its religion. Au allowing them to radicalizing Umah at young age, only to manufacture more Shaheeds is insane, but that is religion.

We don't want none of that. We are a country of Christians and Muslims, and everybody else. Viongozi wa dini, wanasiasa, pamoja na waumini wote--hebu jiangalieni usoni.
 
kAMA KWELI MAASKOFU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA LETU NA SIO CHADEMA,MBONA WAMEKAA KIMYA KUZUNGUMZIA TATIZO ZITO LA UMEME KAMA WALIVYOISHAMBULIA CCM NA SERIAKALI KTK VURUGU ZA ARUSHA??

samahani mkuu hapa kweli unajipya, amakweli mafisadi wananjia nyingi za kusambaza sera yao ya udini lakini hampafanikiwa.
 
kAMA KWELI MAASKOFU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA LETU NA SIO CHADEMA,MBONA WAMEKAA KIMYA KUZUNGUMZIA TATIZO ZITO LA UMEME KAMA WALIVYOISHAMBULIA CCM NA SERIAKALI KTK VURUGU ZA ARUSHA??

Why maaskofu?

Vipi kuhusu mashehe waliotoa tamko kupinga maaskofu? Wao la umeme haliwahusu?

Au tuseme na wao walikuwa wakitetea maslahi ya CCM na si ya Taifa eti? Mkubwa, be grown up!
 
kAMA KWELI MAASKOFU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA LETU NA SIO CHADEMA,MBONA WAMEKAA KIMYA KUZUNGUMZIA TATIZO ZITO LA UMEME KAMA WALIVYOISHAMBULIA CCM NA SERIAKALI KTK VURUGU ZA ARUSHA??

wewe acha ufinyu wa mawazo haya matatizo yote yamesababishwa na ufisadi ndio maana wanakemea ufisadi chanzo cha shida zote. mgawo wa umeme chanzo chake ufisadi, maisha magumu ufisadi,
 
Back
Top Bottom