Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Kama ni kweli huyu RPC amezuia maandamano hajatendea CHADEMA haki. Wao ndio watakaohatarisha amani hapa tanzania kwa ujumla. RPC uwe makini na uchukuwe mfano uliopo hapo kwa jirani yako (Kenya) na ujue juzi waliitwa kwa nani kujibu mashtaka, siku utakapo itwa watakukimbia wote. Sisi tunajua kila mtanzania anauhuru wa kuhudhuria au kuendelea na shughuli zake. Hivyo vyombo vya dola ambavyo vimepata hizo habari za kitelijensia vingekuwa wazi kuwa kuna mbinu hii na hii ili kila mtu awe askari au kuwashauri labda tarehe hii haiwezekani tupeleke tarehe fulani, kwa sababu haya maandamano sio ya siri. Wananchi wa Mbeya tunaomba tushirikiane kutafuta haki yetu inayotumiwa vibaya na wapenda mijisifa. CCM mlituburuza mpaka mitongotongo yetu ikatukaukia machoni kwa ajili ya kutishiwa tishiwa na zidumu fikra za M/kiti. Sasa tumesha nawa matongotongo yamekwisha lazima tudai haki yetu. Na tutadai haki yetu kwa amani kwa kutumia sanduku la kura.

Mungu ibariki Tanzania na viongozi wote wa CHADEMA.:israel:
 
Maandamano + -Ve RPC atitude = Peoples power. Peoples power haizuiliki ona Misri, Tunisia, Siria, Yemen na sasa Libya. RPC shauri yako.:A S-baby: Unataka kuleta vurugu, wakati wewe ni mlinzi wa amani?
 
Kwnn haya yanatokea?? Mimi inanigusa hakuna mfano. Cjui nijinyonge,Naombeni ushauri wenu plz!

Kujinyonga kitanzi kinaweza kukatika,piga sumu ya panya na kikonyagi(kiroba) kimoja na imani ni sekunde tu utakuwa umefika kuzimu Mkuu.
 
Hawa wapumbavu hawajui kuwa utawala wa CCM uko ukingoni. Watumishi wa umma wa aina ya huyu ni wakufukuzwa kazi CDM ikiingia madarakani kwani hawatumikii umma bali CCM.
 
Kwa sababu ccm ni watu wa kukurupuka ngoja nikusaidie,
RC maana yake ni REGIONAL COMMISIONER
RPC maana yake ni REGIONAL POLICE COMMISIONER

Na kwa kuthibitisha kwamba ninyi ni watu wakukurupuka na huwa hamsomi vitu, muangalie na mwenyekiti wako hapa anakenuwa meno tu.
View attachment 29373

Correction:
RPC maana yake ni REGIONAL POLICE COMMANDER

Siungi hoja hilo la kumtukana Mr. Chairman.
 
CDM walipewa kibali cha maandamano ? kama hawakupewa basi RC yuko right kwani ndio boss wa mkoa

Mkuu, sheria haisemi kuwa maandamano ya namna hii yanapewa kibali ila kutoa taarifa tu, sasa kama umepewa taarifa unawezaje kuzuia? Simple logic hii!
 
tumechoka kusimamiwa na vyombo vya usalama ambavyo havina maamuzi ya kujitegemea eti kufanya maamuzi ni lazima ccm iulizwe!!!!!!!!!!!! your days are numbered seriously
 
Correction:
RPC maana yake ni REGIONAL POLICE COMMANDER

Siungi hoja hilo la kumtukana Mr. Chairman.

Tatizo linalowasumbuwa bado ni lile lile, angalia post #30 mkeshaji ameshasahihisha hilo, wewe unachorudia hapa ni kujaza server tu, na kuhusu huyo MMKWELE naomba weka bold ili wadu waone nimemtukana wapi kama hajajitukana yeye mwenyewe, kwenda kukenuwa meno kwenye kitu ambacho kinakudharirisha wewe na nchi yako. angalia kwa makini hii picha mtu makini anaweza kuingizwa mkenge huu?

View attachment 29377
 
Kama ni kweli huyu RPC amezuia maandamano hajatendea CHADEMA haki. Wao ndio watakaohatarisha amani hapa tanzania kwa ujumla. RPC uwe makini na uchukuwe mfano uliopo hapo kwa jirani yako (Kenya) na ujue juzi waliitwa kwa nani kujibu mashtaka, siku utakapo itwa watakukimbia wote. Sisi tunajua kila mtanzania anauhuru wa kuhudhuria au kuendelea na shughuli zake. Hivyo vyombo vya dola ambavyo vimepata hizo habari za kitelijensia vingekuwa wazi kuwa kuna mbinu hii na hii ili kila mtu awe askari au kuwashauri labda tarehe hii haiwezekani tupeleke tarehe fulani, kwa sababu haya maandamano sio ya siri. Wananchi wa Mbeya tunaomba tushirikiane kutafuta haki yetu inayotumiwa vibaya na wapenda mijisifa. CCM mlituburuza mpaka mitongotongo yetu ikatukaukia machoni kwa ajili ya kutishiwa tishiwa na zidumu fikra za M/kiti. Sasa tumesha nawa matongotongo yamekwisha lazima tudai haki yetu. Na tutadai haki yetu kwa amani kwa kutumia sanduku la kura.

Mungu ibariki Tanzania na viongozi wote wa CHADEMA.:israel:

Inasemekana kuna kundi la Wahuni wanampango wa kumu-attack Shitambala pengine kutia moto nyumba yake na yeye.Hii ni kukiuka haki za binadam.CDM ebu tuwe wastaarab mbona Shibuda alihama tena kwa kejeli hakuna vijana wa CCM waliemtia kiberiti?
 
Haipendezi kupanda mbegu za chuki.....inasemekana, kunatetesi, nimesikia....haya ni maneno ya wambeya...
 
huu ni mfumo wa vyombo vyetu vya usalama ndo unatuathiri!!!! polis wanafanya kile ccm inachowaagiza kufanya!!!!!!!!!!! maamuzi yataaksi matakwa na mahitaji ya ccm tu. ila haya yana mwisho wake ambao umekaribia
 
Nampongeza sana RPC wa mbeya maana kafanya kweli

Safari ya cdm imefika ukingoni:israel::israel:
Pole sana ndugu hujui hutendalo. Nani yuko ukingoni ni CHADEMA au CCM ambao
wanahangaika kuzuia maandamano wakati ni haki ya msingi ya mtanzania yeyote
kuandamana.. eti intelijensia . ipi sasa?
 
Tatizo linalowasumbuwa bado ni lile lile, angalia post #30 mkeshaji ameshasahihisha hilo, wewe unachorudia hapa ni kujaza server tu, na kuhusu huyo MMKWELE naomba weka bold ili wadu waone nimemtukana wapi kama hajajitukana yeye mwenyewe, kwenda kukenuwa meno kwenye kitu ambacho kinakudharirisha wewe na nchi yako. angalia kwa makini hii picha mtu makini anaweza kuingizwa mkenge huu?

View attachment 29377

Bilashaka wewe si Mhasibu kwani makosa kama hayo hutokea hivyo i have no comments.By the way hiyo ni display cheque ambayo haiendi kokote zaidi ya kuishia kwenye picha na imani iliyokwenda kwa mlipwaji iliwekwa sahihi whichever.Being a President sio Umungu,mbona Slaa alitangaza kifo cha Mtu aliehai Maswa hili nalo tusemeje?aliingizwa mkenge?
 
huu ni mfumo wa vyombo vyetu vya usalama ndo unatuathiri!!!! polis wanafanya kile ccm inachowaagiza kufanya!!!!!!!!!!! maamuzi yataaksi matakwa na mahitaji ya ccm tu. ila haya yana mwisho wake ambao umekaribia

Majambazi yako kila kona lakini police na inteligensia yao imeelekezwa kwa CDM. Nionavyo mimi ccm wanasaidia sana kutangaza CDM (pengine bila kujua). Hawawezi kungea mahali bila kutaja CDM.No publicity is bad publicity. Na wasipongalia Mbeya inaweza kutoweka kabisa. Bad move ccm.
 
Back
Top Bottom