Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

CCM ndio watanzania...CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuiongoza nchi na wananchi. Maoni wanayoyatoa ni ya watanzania wote walioiweka madarakani. Sioni sababu ya kikundi cha watu wachache ya kutaka kuyumbisha malengo mazuri ya chama tawala.
Ni kweli CCM inaongoza nchi. Hao wachache wanao pinga ilipashwa wasikilizwe kuliko kuwapuuza kama ilivyo sasa labda wana hoja ya msingi Kumbuka. Mchungaji mzuri wa kondoo ataacha wengine wote 99 atamfuata mmoja tu aliye potea akisha mpata anamjumuisha na wengine kisha kuna kuwa na shangwe kuu
 
Naombeni mnitumie nauli na mimi... nitakuja kuwapa shule kuhusu mchakato wa katiba na kinachoendelea.. Nitakuja kuwafundisha kuhusu upotoshwaji unaofanywa na hao wanaojiita wanaharakati.
Tukusanyike kwa wingi ili somo lieleweke kwa wengi tafadhali

mkuu magamba yamekuathili unawaza posho tuu
 
Si Rahisi kuzima vuguvugu la NGUVU YA UTU NA UBINDAMU ya Taifa La Tanzania. BUNGE liridhie ili kuepusha Vurugu!

KWANI:

Ni hakika NGUVU ya UTU Wa Tanzania ina Mizizi MIZTO na kwa Vyovyote Vile Itapamabana na kushinda nguvu nyepesi WAPINGA UTU Wachache mafsadi wa Taifa HILI!

Ikumbukwe kuwa UTU na UBINDAMU ndio shina la Msingi La Taifa hili na wapinga UTU huu ni MAGUGU machache ambayo soon yatangolewa na kunyauka ..mbali kule!! Lakini Bila kuwa na busara ... Serekali haitakuwa Tari kuona kinachoweza kutokea!!
 
CCM ndio watanzania...CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuiongoza nchi na wananchi. Maoni wanayoyatoa ni ya watanzania wote walioiweka madarakani. Sioni sababu ya kikundi cha watu wachache ya kutaka kuyumbisha malengo mazuri ya chama tawala.
Hata Saddam Husein alishinda uchaguzi kwa 100% na hata Gaddafi alidiriki kuwaita watu ni panya na mende, lakini saa hizi yuko wapi? ole wenu saa yenu yaja mtalia na kusaga meno, usiombe siku hiyo ikukute ukiwa hai.
Na wale mliokuwa mnashangaa kwa nini wa vijana wa NTC walimtia vijiti vya nyuma Gaddafi na kumuuwa sasa ndio mtaelewa mantiki, yanapofanyika mapinduzi ya kuanza kujitawala watu hawa hawapaswi kuiona Tanzania mpya na wanawake kama kina Anna Kilango ni ruksa tu kubakwa.
 
wakuu kuna kitu kinanishangaza'kama katiba ni mali ya watanzania kwa nini ccm iingize sana mamikono yao???kwa nini wasiwape watanzania nafasi ya kufanya watakayo''maandamano lazima mpaka yule mkweree mwenye ngoma aone nyotanyota?

Kumbe tatizo sio katiba tatizo ni ngoma?
 
Si Rahisi kuzima vuguvugu la NGUVU YA UTU NA UBINDAMU ya Taifa La Tanzania. BUNGE liridhie ili kuepusha Vurugu!

KWANI:

Ni hakika NGUVU ya UTU Wa Tanzania ina Mizizi MIZTO na kwa Vyovyote Vile Itapamabana na kushinda nguvu nyepesi WAPINGA UTU Wachache mafsadi wa Taifa HILI!

Ikumbukwe kuwa UTU na UBINDAMU ndio shina la Msingi La Taifa hili na wapinga UTU huu ni MAGUGU machache ambayo soon yatangolewa na kunyauka ..mbali kule!! Lakini Bila kuwa na busara ... Serekali haitakuwa Tari kuona kinachoweza kutokea!!
Mimi nashauri serikali iwaachie mfanye hayo maandamano..sisi CCM tutajitolea pilau kwa wananchi wote watakao jitokeza kuandamana.
 
Kuna siraha huku Bihalamlo zinauzwa Tsh 25000 tu na nitahakikisha kuwa tunaanda hata roli mbili la siraha ili tuzitumie pale vibaraka wa CCM watakopojitokeza na upuuzi wao wa maji ya kuwasha na mabomu ya machozi ili wajue tumechoka na tuko kwa lolote .....pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
 
CCM ndio watanzania...CCM ni chama kilichopewa dhamana ya kuiongoza nchi na wananchi. Maoni wanayoyatoa ni ya watanzania wote walioiweka madarakani. Sioni sababu ya kikundi cha watu wachache ya kutaka kuyumbisha malengo mazuri ya chama tawala.

Unatumia masaburi gani?
 
Ni kweli CCM inaongoza nchi. Hao wachache wanao pinga ilipashwa wasikilizwe kuliko kuwapuuza kama ilivyo sasa labda wana hoja ya msingi Kumbuka,

Mchungaji mzuri wa kondoo ataacha wengine wote 99 atamfuata mmoja tu aliye potea akisha mpata anamjumuisha na wengine kisha kuna kuwa na shangwe kuu
Wameshazoeleka...kila kitu wao ni kupinga tu..wao ni wazee wa bla bla tu..hawana jipya
 
Kuna siraha huku Bihalamlo zinauzwa Tsh 25000 tu na nitahakikisha kuwa tunaanda hata roli mbili la siraha ili tuzitumie pale vibaraka wa CCM watakopojitokeza na upuuzi wao wa maji ya kuwasha na mabomu ya machozi ili wajue tumechoka na tuko kwa lolote .....pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Ni SILAHA
 
sasa inabidi tujulishe ni lini hii kitu ianze mar moja....inabidi tufanye haraka sana
 
Umenikumbusha kauli ya Lema jana...eti analalamika kitendo cha kukaa selo kwa wiki mbili amesacrifice posho amounting million 5!

Akili yako ni kama kichwa chako tu.....shida umetumwa wala hujijui na lazima kuna mtu anakucameroon wewe
 
Nilishangazwa sana jana na Mbunge wa GAMBO wa CUF ndugu Halfa Khalfan ( hata sipendi kumuuta mheshimiwa kwani ameshindwa kutuheshimu watz) baada ya kusema kuwa mswaada ukisha fika bungeni utapita hata kama wakitoka nje, hapo ndoo niliamini kuwa CUF na CCM lao moja maana kama hata mtu kaleta kitu kibovu ila kwakuwa kimefika bungeni basi kitapita duuuu ama kweli wabunge vilaza hawana alama.

jamani nchi hii ni mali ya watz wote,kamwe si mali ya watu fulani.
 
Hatua iliyofikiwa sasa ni maandamano kwa umoja wetu kama wtz, we should forget uchama/uitikadi lets forge ahead
 
na ule mpango wetu wa mabomu ya petrol uanze fasta ili kabla polisi hawajatuzingua tuwazibue kama vp vp tu kwan nn, ni lini jamani?tuna hamu ya kukinukisha ni bora nife nikiwa nimesimama kuliko kuishi nikiwa nimepiga magoti
 
tulipofika sasa hali inaweza badilika muda wowote maana watu wameshazoea shida, dharau, mabomu na risasi kutoka kwa watawala.
 
Haya maandamano Chadema watakuwepo?

Chadema inaingiaje hapa sasa? Sisi tunajadili issue muhimu kwa mstakabali wa taifa, nyie mnajambajamba kuogopa CDM.
Yaani magamba nyie kila mkisikia kishindo tu, mnajua ni CDM.
Na bado mpaka mtasoma namba mwaka huu.
Aliyewadanganya kuwa nguvu ya umma inadhibitiwa nanai?
 
Back
Top Bottom