Atleast leo umeweza kushirikisha ubongo wako vizuri. Lakini tambua kwamba maandamano yoyote yana ujumbe mzito kwa serikali, ambapo inakuwa ni hatua ya serikali kuamua kuchukua hatua za haraka kutatua matatizo, au kukomaa na ubabe wake kutetea unyanyaswaji na udhalilishaji wa haki na utu wa mwanadamu, ambayo itakuwa ni dhalili mbaya kwa serikali, na dhalili mbaya sana kwa mkuu wa nchi.Sijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Mkuu huyu atakuwa mdogo wake na MS. Ana wenge kama yeye mwenyeweMS kazini nini?
Nilikuwa najiandaa kuamini ulichoongea kwenye comment yangu lakini hii imefanya niendelee kuamini huna busara wala hekima.Mkuu huyu atakuwa dadake na MS. Anajishebedua sana
naunga mkono hoja. mia.
Tupo pamoja mkuu
We kijana ukiendelea na katabia kako haki ya mungu.
Naweka pcha yako ya chuoni hapa.
Y utudhihaki kiasi hiki?
wasalaam wote,
napenda kuanzisha muamko wa maandamano sasa haya maneno hayatasaidia hata siku moja, maana wao wanamajibu wanayoyataka pindi wanapoulizwa maswali magumu, tuweke UDINI pembeni jamani, tuweke ubishi pembeni sasa.. naomba sasa tuanzishe makakati wa maandamano.. tuwe serios, hatuwezikuendelea kuishi hivi
· je unafurahia bei za bidhaa zinavopanda kiholela?
· Je unapenda unavopata shida mahospitalini ukienda (hospt a serikali)
· Je unaupenda usafiri wa daladala uliopo hapa sasa hivi huku watu wakifanay uhuni kwny UDA?
· Je unapenda kukaa makazi yasio bora tena kwa kupanga kwa bei kubwa huku nyumba za taifa (NHC) ziliwa zinaaiwa kwa wenypesa kubwa na ndugu wa viongozi
· Je unapenda bei za umeme na huduma mbovu zinazotolewa na mamlaka husika
· Je unapenda kutumia maju unayo nunua 800 dumu tena ya chumvi na machafu
tafadhlini tuwekekila kitu pembeni sasa tuamke..sapoti post hii kama hupendi maisha unayoishi sasa
- je unapenda bunge linavoacha kushugulikia mambo yanayolihusu taifa na kumjadili JAIRO kwasbb tu ni rafiki wa kikwete
- je unapenda unavolipa mamilioni kwa ajili ya ada ya mwanao wa chekechea kwashule za binafsi au kukosa elimu kabisa kwa shule za serikali
Hayatapungua ila tutaiondoa serikali hii legelege madarakaniSijaona uhusiano wa moja kwa moja kati ya maandamano unayotaka kuanzisha na matatizo uliyoyaorodhesha hapo chini. Je baada ya kuandamana hayo matatizo yatakuwa yamejitatua?
Hata hapo pia nimeona umeshirikisha ubongo wako vizuri. Si kawaida yako kuzungumzia hekima na busara. Haya nimekurekebishia we si dadake MS.Nilikuwa najiandaa kuamini ulichoongea kwenye comment yangu lakini hii imefanya niendelee kuamini huna busara wala hekima.
mimi siandamani naogopa kuvunjwa kiuno au mguu! nani? atakaekuja kunilipia matibabu na chakula?
STRATEGY:
1.Ku establish organising committee ya watu bold na strong katika kila mji mkuu wa Mkoa na Wilaya
2. Kazi mojawapo ya kamati hiyo ni kuandaa matangazo kwa kutumia media ambayo itawafikia wananchi wote kwa urahisi kwa mfano kutafuta gari la matangazo lenye uwezo mkubwa. Hii ni pamoja na kuandaa posters zenye ujumbe utakao mgusa kila atakayesoma na kumpa ujasiri wa kushiriki.
3. Kuandaa key figures za ku address wananchi na ku launch maandamano yatakayo malizika kwa mkutano mkubwa
$. Kutengeneza bajeti na kufanya fund raising kwa ajili ya maandalizi ya hayo maandamano