Kashapanda pipa.....
labda atasikilizia baada ya zile siku 9 kuisha ndiyo arudi...ameameenda kuandaa pa kukimbilia siku kikiwaka.....lolatarudi? Au ndio bye bye tz!
Jitahidi sana mkuu....Mie nipo hapa halmashauri lakini sina uwezo wa kutuma picha nikifanikiwa nitafanya hivyo
thanx mkuu!! bonge la message!!!Walipokuwa wanasema vyama vya upinzani visiishie mjini tu viende vijijini walidhani havitafika, sasa vimeenda wamebadirika tena wanasema virudi mjini vijifungie bungeni.
akhsante wana maswa..chadema kweli kuna vichwa.....tukizunguka hivyo kama mara 10 ..... ccm haitabaki na mwanachama hata mmoja by 2015
Kashapanda pipa.....
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!
Sie yetu macho
Sasa mkwere akisikia haya ya umati wa watu, ndo pressure juu, anaona dhahiri ya Misri hayako mbali, watu wameamka jamani,
..Ndio anachojua anadhani uongozi ni kupanda pipa na kujifanya kimbelembele kwenda kusuruhisha migogoro ya nchi nyingine wakati ya kwake humu ndani inamshinda naona kila dalili ya mkwere kuchemka kama sio kutokota.Kashapanda pipa.....