Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.
 
VIVA CHADEMA, kweli watanzania tumepata nguvu ya uamsho na hii kwa asilimia nyingi kama si zote itatufanya tuelewe zaidi umhimu wa mabadiliko kwani Chadema yanatujuza sana haki zetu na tufichua uozo wa serikali ya Chekibob JK,
Hongera raisi wangu nilikuchagua Dr Slaa hata kama hkutangazwa wewe ndio upo na watanzania!
Tunakuamini Dr Slaa kaza buti baba tupo nyuma yako!
Hivi Arusha ni lini wadau, nianze kuandika mabango?
 
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.

Sasa mkwere akisikia haya ya umati wa watu, ndo pressure juu, anaona dhahiri ya Misri hayako mbali, watu wameamka jamani,
 
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.
Walipokuwa wanasema vyama vya upinzani visiishie mjini tu viende vijijini walidhani havitafika, sasa vimeenda wamebadirika tena wanasema virudi mjini vijifungie bungeni.
 
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!
 
kikwete watanzania wa maswa wamekupuuza wewe na sio chadema kama ulivyokuwa unaota na watanzania wenye mapenzi meme wataendelea kukupuuza wewe na mafisadi unaowakumbatia
 
Vox populi vox Dei!

Songa mbele mkombozi wa watu! Aluta continua!

MATCH! MATCH! MATCH! EVERYONE MATCH TO THE FRONTLINE, TOGETHER WE WILL SEE THE NEW DAY!
 
PJ, vipi tena? Na wewe unakuwa kama Kikwete Mazee? (JOKE)

Usikae sana pale Kambi ya Fisi (Mihogo ya pale nikiwa TCA, niliila sana. Ile Taa ya getini bado ipo?"

Kikwete jana HAKUONGEA, bali alichofanya ni KUSOMA.

Ndiyo maana ilikuwepo hapa hata kabla ya muda kufika.
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!
 
Kaza mwendo baba kizazi cha ccm kiko mbioni kutoweka sasa ni chadema kwa kwenda mbele.
 
Mambo ndiooo kwaaanza yameanza na mukulu akisikia hii nafikiri ataanza kupata maumivu ya kichwa na woga utampata!. PEOPLESSSS........... POWER!.:A S 103:
 
akhsante wana maswa..chadema kweli kuna vichwa.....tukizunguka hivyo kama mara 10 ..... ccm haitabaki na mwanachama hata mmoja by 2015
 
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.

pia kahama ipo full watu mzee mbowe kapanda jukwaani. Pipoooz.....
 
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!
Kashapanda pipa.....
 
Baaada ya mzunguko huu tunaomba uje mzigo bab kubwa wa kumuondoa kikwete pale magogoni. Vitumike viwanja vya jamngwani kwa dar es salaam. Hamna kulala mpaka kieleweke. Kikwete nenda zako oman.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom