Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

Na mbado.mi nayasubiria huku arusha kwetu kwa mara ingine teni.kudadadadadadeeekiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!
 
Kuna haja JF kujipanga vizuri kuhusu upatikanaji wa habari maeneo yote ya nchi.
Hongereni kanda ya ziwa, tuko pamoja
 
Mie nipo hapa halmashauri lakini sina uwezo wa kutuma picha nikifanikiwa nitafanya hivyo
 
Walipokuwa wanasema vyama vya upinzani visiishie mjini tu viende vijijini walidhani havitafika, sasa vimeenda wamebadirika tena wanasema virudi mjini vijifungie bungeni.
thanx mkuu!! bonge la message!!!
 
Kama leo ungeitishwa uchaguzi, Chadema itachukua usukani wa nchi. Popularity yake kanda ya Ziwa kwa kweli ni noma
 
akhsante wana maswa..chadema kweli kuna vichwa.....tukizunguka hivyo kama mara 10 ..... ccm haitabaki na mwanachama hata mmoja by 2015

mkuu unapigia debe ccm kiana ikae hadi 2015? tunachofanya sasa hivi ni warm up ya nguvu ya umma kabla mwaka huu haujaisha
 
JK anazurura hovyo hovyo kila nguvu ya umma ikipamba moto tz. Ujanja wake ni kwamba kama nguvu ya umma ikiingia ikulu basi huko alipo waamue kumuhifadhi huko huko. Anajua nguvu ya umma ikimkuta Ikulu hakuna nchi itakayomkaribisha
 
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!

yaani sio hivo tu ajue kuwa hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo sana tuuuu....eti watanzania msiwasikilize CHADEMA
 
Kashapanda pipa.....
..Ndio anachojua anadhani uongozi ni kupanda pipa na kujifanya kimbelembele kwenda kusuruhisha migogoro ya nchi nyingine wakati ya kwake humu ndani inamshinda naona kila dalili ya mkwere kuchemka kama sio kutokota.
 
Tusubiri siku CDM wanachukua kanda ya ziwa yote, makao makuu Mwanza/ mji mkuu harafu wanaanza kudai uhuru wao kutoka kwa mkwere.
 
Mkwere anahisi safari yake hadi 2015 imekuwa mbali kama kwenda mbinguni,na akimaliza huu mwaka bahati kwa hizi nyomi ndio zinamkosesha usingizi yeye na vibaraka wake hawezi shindana na nguvu ya umma kamwe....
"Kama wao ccm walimwaga mboga kwa kuchakachua sasa sisi CHADEMA tunamwaga nguna kwa raia"
 
Kikwete akisoma hii naona PESSURE itazidi kupanda!!
Yeye ajue kuwa kwa sasa Watanzania wameshachoka na LONGOLONGO ZA CCM. Watanzania wanataka mabadiliko na si vinginevo.
Peoples Power!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom