Maandamano makubwa yaanza Algeria leo

.
Al-qaeda ni wabaya kweli kweli lakini hata hivyo ubaya wao haujafikia ubaya wa tawala nyingi za kiafrika.
Hebu fikiria nchi kama Tz miaka 50 ya uhuru haijaweza kujenga uwezo wa umeme wa kutosha asilimia 13 ya watumiaji wake. Maji watumiaji ni chini ya asilimia 40 kwa maana ya safi na salama na hawayapati. Shule mpaka leo wanafunzi wanakaa chini tena mjini mithili ya enzi za kina Abraham na Yakobo, vijijini sijui ndo itakuwa vipi. Hospital mama mzazi anatakiwa aende na syrange mpaka na makarai ya kuogesha mtoto. Mambo yaliyo katika hali ya kibaribaiki ni mengi mno. Huku kwa upande wa pili wa shilingi serikali ikijitapa kukusanya mapato ya billion 500+.
Lakini wamekuwa wahubiri wakuu wakuwataka wale watoa kodi kibinafsi kuchangia huduma za jamii. Swali ni wapi makusanyo ya taifa(budget) kwa kila sector zinapotelea?
Watendaji wa namna hii na Osama ni nani mbaya zaidi?
Nasema Osama kwa hawa watu ni malaika wa nuru!!.

Nakuunga mkono asilimia mia! Ebu fikiria mtu hana uwezo wa kupata mlo mmoja kwa siku akiuza mazao yake anakatwa kodi; akinunua mafuta ya taa anakatwa kodi; akisafiri anakatwa kodi; akinunua nguo ya krismas kila baada ya miaka mitano baada ya kuhongwa kwaajili ya kadi yake ya kupigia kura anakatwa kodi; etc etc then huyo huyo anatakiwa achangie eti maendeleo....Ya kweli hayo? Wizi wa mchana and a very bad public sin commited by all professionals in Tanzania. Bora tusiende makanisani na misikitini...Hakuna anasema neno wote kimya tena wengine ndiyo wahamasishaji wakubwa wa hiyo michango. Maana ya kodi ni nini? Matumizi yake ni nini?

Kwa tunayoyafanya watanzania Osama ni malaika wa nuru. Yes hatuna uwezo wa kuwafunga; je midomo ya kuongea nakupinga ambayo tumepewa bure hatuna? Wengine ni washauri eti wa viongozi mna shauri nini kama siyo unafiki, mna wapa hizi facts viongozi? Eti tunaogopa kuwajibishwa uwongo mkubwa wote wako traped into opportunism kwamba nisipoongea vibaya basi nitapandishwa cheo; what a shame?

Damu inayomwagika kila siku kwa watoto kufa mahospitalini; vibaka kunyongwa na kulawitiwa mitaani kwa kukosa malezi ya kifamilia; ndoa zilizovunjika kwa kukosa cash na kusababisha watoto wa mtaani; mabinti waliobakwa na hatimae kutoa mimba na kuua vichanga kwa sababu ya kukosa jinsi ya kujisaidia; vijana wanaokufa kwa UKIMWI kwa sababu ya kutaka kujipatia mahitaji ipo juu ya kila mtanzania alieamua kunyamazia hali hii!
 
201121119338672884_20.jpg
Many demonstrators in Algeria have been inspired by the events unfolding in Egypt and Tunisia [AFP]
Algerian security forces and pro-democracy protesters are clashing, as demonstrations got underway in the capital Algiers on Saturday.
At least 2,000 protestors were able to overcome a security cordon enforced around the capital's May First Square, joining other demonstrators calling for reform.
Earlier, thousands of police in riot gear were in position to stop the demonstrations that could mimic the uprising which forced out Egyptian President Hosni Mubarak.
Security forces have closed all entrances to the capital and already arrested hundreds of protesters, sources told Al Jazeera.
At the scene of the protests, blogger and activist, Elias Filali, said human right's activists and syndicate members were among those arrested.
"I'm right in the middle of the march," he told Al Jazeera. "People are being arrested and are heavily guarded by the police."
Officials banned Saturday's opposition march, but protesters were determined to see it through.
Peaceful protests
Filali said the demonstrators were determined to remain peaceful, but he added that the police "want the crowd to go violent and then get them portrayed as a violent crowd".
Protesters are demanding greater democratic freedoms, a change of government, and more jobs.
Earlier, police also charged at demonstrators and arrested 10 people outside the Algiers offices of the opposition Rally for Culture and Democracy (RCD), as they celebrated Mubarak's downfall, Said Sadi, RCD leader, told AFP news agency.
"It wasn't even an organised demonstration. It was spontaneous. It was an explosion of joy," he said.
Mubarak's resignation on Friday, and last month's overthrow of Tunisian leader, Zine El Abidine Ben Ali, have electrified the Arab world.
Many are left wondering which country could be next in a region where a flammable mix of authoritarian rule and popular anger are the norm.
"The timing is absolutely perfect. [Mubarak's departure] couldn't have come at a better time," Filali told Al Jazeera ahead of the protests.
"This is a police state, just like the Egyptian regime [was]," Filali said, adding that Algeria's government was "corrupt to the bone, based on electoral fraud, and repression".
"There is a lot of discontent among young people ... the country is badly managed by a corrupt regime that does not want to listen," he added.
Police on alert
Said Sadi, the RCD leader, had said earlier that he expected around 10,000 more police officers to reinforce the 20,000 that blocked the last demonstration on January 22, when five people were killed and more than 800 hurt.
Police presence is routine in Algeria to counter the threat of attacks by al Qaeda insurgents. But Filali called the heavy police presence in the capital on Saturday "unbelievable".
At May First Square, the starting point for the planned march, there were around 40 police vans, jeeps and buses lined up, Filali said.
At several road junctions, the police had parked small military-style armoured vehicles which are rarely seen in the city. Police standing outside a fuel station, about 2 km from the square, were wearing anti-riot body armour.
The latest rally is being organised by the National Co-ordination for Change and Democracy (CNCD), a three-week-old umbrella group of opposition parties, civil society movements and unofficial unions inspired by the mass protests in Tunisia and Egypt.
Demonstrators have been protesting over the last few months against unemployment, high food costs, poor housing and corruption - similar issues that fuelled uprisings in other north African nations.
Earlier this month, Abdelaziz Bouteflika, Algeria's president, said he would lift emergency powers, address unemployment and allow democratic marches to take place in the country, in a bid to stave off unrest.
"The regime is frightened," Filali said. "And the presence of 30,000 police officers in the capital gives you an idea of how frightened the regime [is] of its people."
Wider implications
Widespread unrest in Algeria could have implications for the world economy because it is a major oil and gas exporter, but many analysts say an Egypt-style revolt is unlikely as the government can use its energy wealth to placate most grievances.
Meanwhile, in a statement, rights group Amnesty International said "Algerians must be allowed to express themselves freely and hold peaceful protests in Algiers and elsewhere".
"We urge the Algerian authorities not to respond to these demands by using excessive force."
The government said it refused permission for the rally for public order reasons, not because it is trying to stifle dissent. It said it is working hard to create jobs, build new homes and improve public services.
Other Arab countries have also felt the ripples from the revolts in Egypt and Tunisia.
Jordan's King Abdullah replaced his prime minister after protests.
In Yemen, President Ali Abdullah Saleh promised opponents he would not seek a new term.
The Bahraini government has also made several concessions in recent weeks, including promising higher social spending. Activists there have called for protests on February 14, the tenth anniversary of Bahrain's constitution
 
201121119338672884_20.jpg
Many demonstrators in Algeria have been inspired by the events unfolding in Egypt and Tunisia [AFP]
Algerian security forces and pro-democracy protesters are clashing, as demonstrations got underway in the capital Algiers on Saturday.
At least 2,000 protestors were able to overcome a security cordon enforced around the capital's May First Square, joining other demonstrators calling for reform.
Earlier, thousands of police in riot gear were in position to stop the demonstrations that could mimic the uprising which forced out Egyptian President Hosni Mubarak.
Security forces have closed all entrances to the capital and already arrested hundreds of protesters, sources told Al Jazeera.
At the scene of the protests, blogger and activist, Elias Filali, said human right's activists and syndicate members were among those arrested.
“I’m right in the middle of the march,” he told Al Jazeera. “People are being arrested and are heavily guarded by the police.”
Officials banned Saturday's opposition march, but protesters were determined to see it through.
Peaceful protests
Filali said the demonstrators were determined to remain peaceful, but he added that the police "want the crowd to go violent and then get them portrayed as a violent crowd".
Protesters are demanding greater democratic freedoms, a change of government, and more jobs.
Earlier, police also charged at demonstrators and arrested 10 people outside the Algiers offices of the opposition Rally for Culture and Democracy (RCD), as they celebrated Mubarak's downfall, Said Sadi, RCD leader, told AFP news agency.
"It wasn't even an organised demonstration. It was spontaneous. It was an explosion of joy," he said.
Mubarak's resignation on Friday, and last month's overthrow of Tunisian leader, Zine El Abidine Ben Ali, have electrified the Arab world.
Many are left wondering which country could be next in a region where a flammable mix of authoritarian rule and popular anger are the norm.
"The timing is absolutely perfect. [Mubarak's departure] couldn't have come at a better time," Filali told Al Jazeera ahead of the protests.
"This is a police state, just like the Egyptian regime [was]," Filali said, adding that Algeria's government was "corrupt to the bone, based on electoral fraud, and repression".
"There is a lot of discontent among young people ... the country is badly managed by a corrupt regime that does not want to listen," he added.
Police on alert
Said Sadi, the RCD leader, had said earlier that he expected around 10,000 more police officers to reinforce the 20,000 that blocked the last demonstration on January 22, when five people were killed and more than 800 hurt.
Police presence is routine in Algeria to counter the threat of attacks by al Qaeda insurgents. But Filali called the heavy police presence in the capital on Saturday "unbelievable".
At May First Square, the starting point for the planned march, there were around 40 police vans, jeeps and buses lined up, Filali said.
At several road junctions, the police had parked small military-style armoured vehicles which are rarely seen in the city. Police standing outside a fuel station, about 2 km from the square, were wearing anti-riot body armour.
The latest rally is being organised by the National Co-ordination for Change and Democracy (CNCD), a three-week-old umbrella group of opposition parties, civil society movements and unofficial unions inspired by the mass protests in Tunisia and Egypt.
Demonstrators have been protesting over the last few months against unemployment, high food costs, poor housing and corruption - similar issues that fuelled uprisings in other north African nations.
Earlier this month, Abdelaziz Bouteflika, Algeria's president, said he would lift emergency powers, address unemployment and allow democratic marches to take place in the country, in a bid to stave off unrest.
"The regime is frightened," Filali said. "And the presence of 30,000 police officers in the capital gives you an idea of how frightened the regime [is] of its people."
Wider implications
Widespread unrest in Algeria could have implications for the world economy because it is a major oil and gas exporter, but many analysts say an Egypt-style revolt is unlikely as the government can use its energy wealth to placate most grievances.
Meanwhile, in a statement, rights group Amnesty International said "Algerians must be allowed to express themselves freely and hold peaceful protests in Algiers and elsewhere".
"We urge the Algerian authorities not to respond to these demands by using excessive force."
The government said it refused permission for the rally for public order reasons, not because it is trying to stifle dissent. It said it is working hard to create jobs, build new homes and improve public services.
Other Arab countries have also felt the ripples from the revolts in Egypt and Tunisia.
Jordan's King Abdullah replaced his prime minister after protests.
In Yemen, President Ali Abdullah Saleh promised opponents he would not seek a new term.
The Bahraini government has also made several concessions in recent weeks, including promising higher social spending. Activists there have called for protests on February 14, the tenth anniversary of Bahrain's constitution
 
nina mdogo wangu algeria amenieleza kuwa mji mkuu hakuna maandamano wamezuiliwa na ila maandamano yapo mikoani na haieleweki lini yataisha
amenieleza kuwa wapo ndani tangu asubuhi hawajatoka wakisubiri tamko kutoka sehemu husika,ngoja tusubiri ila masomo yanaendelea kama kawaida
 
Tunakuja Mpwa, tunakuja, subiri, tumeshajifunza, utaniambia, I can even predict nchi ya weusi itakayoanza hili vuguvugu, and am convinced itakua ni nchi fulani ya ukanda fulani unaosifiwa kwa kitu fulani cha kijinga sana ambacho in reality hakipo..., We are coming, we are coming the sons and daughters of the Oppressed we are coming, yes we are coming with a common determination, we are coming, we gona shed no more tears, we gona fear no more,

wanakuja, Wamachinga, wakulima kwa wafanyakazi, wanakuja, sichochei bali wanakuja, subiri uone, Kama jua angavu wakati wa asubuhi, ili kuleta nuru ya matumaini, wanakuja, si kizazi tena cha uongo na manyanyaso, hawatamwaga damu tena, bali vilio vyao na sauti zao ndio silaha yao kubwa, Wanakuja, wakubwa kwa wadogo, wale waliorundikwa kwenye madarasa kama kuku, wasiijue kesho yo itakuaje, wanakuja, wameshaunda na bomu, wanakuja, wasio na elimu, wasio na imani, wanakuja.

lakini, wakati wakija, Mimi na wewe tutakua wapi? je si wakati wa sisi kujiunga nao, tusimwage damu, tumwage chozi, chozi litakaloijaza bahari, bahari itakayounda mawimbi, mawimbi yatakayokuja kwa nguvu kuliko Tsunami, Yes, Tsunami itakayondoa uonevu wote, Tunakuja, Na Jina langu likiitwa, na MIMI nitakuwepo. Karibu twende wote.
 
Nakuunga mkono asilimia mia! Ebu fikiria mtu hana uwezo wa kupata mlo mmoja kwa siku akiuza mazao yake anakatwa kodi; akinunua mafuta ya taa anakatwa kodi; akisafiri anakatwa kodi; akinunua nguo ya krismas kila baada ya miaka mitano baada ya kuhongwa kwaajili ya kadi yake ya kupigia kura anakatwa kodi; etc etc then huyo huyo anatakiwa achangie eti maendeleo....Ya kweli hayo? Wizi wa mchana and a very bad public sin commited by all professionals in Tanzania. Bora tusiende makanisani na misikitini...Hakuna anasema neno wote kimya tena wengine ndiyo wahamasishaji wakubwa wa hiyo michango. Maana ya kodi ni nini? Matumizi yake ni nini?

Kwa tunayoyafanya watanzania Osama ni malaika wa nuru. Yes hatuna uwezo wa kuwafunga; je midomo ya kuongea nakupinga ambayo tumepewa bure hatuna? Wengine ni washauri eti wa viongozi mna shauri nini kama siyo unafiki, mna wapa hizi facts viongozi? Eti tunaogopa kuwajibishwa uwongo mkubwa wote wako traped into opportunism kwamba nisipoongea vibaya basi nitapandishwa cheo; what a shame?

Damu inayomwagika kila siku kwa watoto kufa mahospitalini; vibaka kunyongwa na kulawitiwa mitaani kwa kukosa malezi ya kifamilia; ndoa zilizovunjika kwa kukosa cash na kusababisha watoto wa mtaani; mabinti waliobakwa na hatimae kutoa mimba na kuua vichanga kwa sababu ya kukosa jinsi ya kujisaidia; vijana wanaokufa kwa UKIMWI kwa sababu ya kutaka kujipatia mahitaji ipo juu ya kila mtanzania alieamua kunyamazia hali hii!
Mkuu hapo umenigusa kabisaa. Yaani umepigilia msumari wa moto kwenye hii topic
 
uciseme aitaweekana hapa kwetu ukashangaa kesho yameanza kwani ww ccm na serikali yake ni lipi kumbwa wamekufanyia mpaka ss lakufagilia ona watu walivyochoka na kukataa tamaa ya maisha kuliko ata hao wamisri na wengine
 
Tunakuja Mpwa, tunakuja, subiri, tumeshajifunza, utaniambia, I can even predict nchi ya weusi itakayoanza hili vuguvugu, and am convinced itakua ni nchi fulani ya ukanda fulani unaosifiwa kwa kitu fulani cha kijinga sana ambacho in reality hakipo..., We are coming, we are coming the sons and daughters of the Oppressed we are coming, yes we are coming with a common determination, we are coming, we gona shed no more tears, we gona fear no more,

wanakuja, Wamachinga, wakulima kwa wafanyakazi, wanakuja, sichochei bali wanakuja, subiri uone, Kama jua angavu wakati wa asubuhi, ili kuleta nuru ya matumaini, wanakuja, si kizazi tena cha uongo na manyanyaso, hawatamwaga damu tena, bali vilio vyao na sauti zao ndio silaha yao kubwa, Wanakuja, wakubwa kwa wadogo, wale waliorundikwa kwenye madarasa kama kuku, wasiijue kesho yo itakuaje, wanakuja, wameshaunda na bomu, wanakuja, wasio na elimu, wasio na imani, wanakuja.

lakini, wakati wakija, Mimi na wewe tutakua wapi? je si wakati wa sisi kujiunga nao, tusimwage damu, tumwage chozi, chozi litakaloijaza bahari, bahari itakayounda mawimbi, mawimbi yatakayokuja kwa nguvu kuliko Tsunami, Yes, Tsunami itakayondoa uonevu wote, Tunakuja, Na Jina langu likiitwa, na MIMI nitakuwepo. Karibu twende wote.
Mmmh..... mkuu hii imekwenda shule. yaani ccm wakipita hapa na kuiona hii,waweza wasilale wala kula
 
Libya wata muweza Gadaffi kweli? But wait a minute Libya wananihusu nini? Tufikirie sisi tunafanyeje,itawezekana?
Mimi nafkiri tusubir hadi april,may hivi ambapo njaa itakua ishashika vizuri waTZ na labda watahamasika.
 
revolution redeeem x3, it has been a revolution to make a solution, too much confusion.......lazima tufanye mapinduzi bila hivyo tumekwisha.
 
Mmmh..... mkuu hii imekwenda shule. yaani ccm wakipita hapa na kuiona hii,waweza wasilale wala kula

Hahahahaaa, wana tabia ya kupuuzia wale, naskia wale jamaa hata ukiwambia kuwa : Nyumba yako inaungua moto, wanaweza kukujibu kuwa, acha tu iungue si itabakia upande mmoja...." sasa nyumba ndio hii inaungua wao mmmmhh kwanza ndio wanafurahia, eti itabaki upande mmoja.
 
mamemwagwa kama 30,000 police mtaani, unafikiri maandamano yatafanikiwa?
wakimwaga 30elf polis mtaani je watashindana na watu milion 150 wa algeria?mkuu usifanye mchezo na peoples power ya ukweli ya waarabu hawaogopi kufahao,mwisho wa mwezi huu rais wa algeria ataachia madaraka,inafatia maandamano yemen,jordan,syria,ktk nchi za kiarabu ni qatar.uae,na kuwait ndio zitabaki salama,ila wengine wote watang'olewa ktk madaraka.
 
YES,YES,YES.Kama baba zetu walimwondoa mkoloni hatutashindwa kwa mkwere.Tupaze sauti.PEOPLE'S VOICE,PEOPLE'S POWER.
 
Back
Top Bottom