Ushauri: CHADEMA andaeni maandamano kupinga Kikokotoo tu kwa idara zote na mtaungwa mkono

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo zimeathiriwa na kikokotoo japo taasisi hizo haziwezi kushiriki moja kwa moja ila zitawaunga mkono kwa namna yeyote ile.

Manake CCM wanategemea hizo taasisi katika kusimamia uchaguzi, na kuwalindia kura katika chaguzi zote, hasa Polisi, walimu ndio wanatumika sana na hao ndiyo waathirika wa kikokotoo.

Kwahyo inatakiwa mshinikize hizo taasisi ziungane na ninyi hata kwa fikra, vitendo na pia fanyeni iwe ajenda yenu kuu kwa sasa.

Niwaambieni kwakua leo taasisi zote zimesema mtu, au chama kitakachoenda na Agenda ya kikokotoo ndicho wataenda nacho au wataenda nae.

Agenda ya kikokotoo ni muhimu kuelekea uchaguzi, na Agenda ambayo wabunge wa ccm wameshindwa itetea, wangeitetea ingekuwa kura muhimu kurudi bungeni.

Sikupaswa kuweka hili suala hadharani kwakua nimeweka silaha hadharani na adui kaona CCM,kwakua CCM ni bingwa wa kutengeneza tatizo na kutatua mwakani wataibeba kama Agenda muhimu ili wachaguliwe.

Na ushauri wangu wa mwisho mkihachana na maandamano anzeni kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano, itisheni makongamano kama ya katiba mfanyavyo ila yawe kwajili ya kutoa elimu kuhusu kikokotoo, mathara yake kwa wafanyakazi hakika itakuwa ni kete muhimu kwenu na mtarudi kwenye mstari.

KHERI YA MAANDAMANO KWA SIKU YA LEO
MWENYE:MATULANYA MPUTA
Email:maggierozaria@gmail.com
 
Chadema kama kweli maandamano yenu ni yathati toka mioyoni ,basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo zimeathiriwa na kikokotoo japo taasisi hizo haziwezi kushiriki moja kwa moja ila zitawaunga mkono kwa namna yeyote ile.
Manake CCM wanategemea hizo taasisi katika kusimamia uchaguzi,na kuwalindia kura katika chaguzi zote, hasa police, walimu ndio wanatumika sana na hao ndiyo waathirika wa kikokotoo.
Kwahyo inatakiwa mshinikize hizo taasisi ziungane na nyinyi ata kwa fikra, vitendo na pia fanyeni iwe ajenda yenu kuu kwa sasa.

Ukimtetea mtanzania utajikuta uko peke yako mahakamani, unayemtetea amesepa eti anaumwa tumbo.
 
Nchi hii Ina lundo zito la matatizo na kila kundi linaumia.

Kinachowasaidia CCM makundi ya wanaoumizwa na kuuumia hawana ushirikiano,kila mmoja anapambana na Hali yake.

Masai wanauliwa Kama siafu huko Ngorongoro na wao wanataka agenda ya kuwasemea.
 
Unaweza ukawa na hoja ila ni kijinukta tu katika simulizi yenye herufi na alama zingine nyingi.Wanaoguswa na kikotoo ni watumishi.Je,idadi yao ukilinganisha na wengine wenye mahitaji mengine zaidi ina uuwiano stahiki?Ipange hoja yako kwa utuo.
HALAFU:Ni jana tu,wewe mleta uzi ulikuwa hadi unataka kulia kwa kuogopa maandamano ya CHADEMA.Ni nini kimekupata hadi ubadili upepo na kuomboleza wakusaidie?
 
😂😂😂
 
Alafu nikuambie jambo moja maandamano yana hatua, hatua ya kwanza CHADEMA naweza sema wamemariza.(hatua hii inashirikisha kundi la tabaka la chini ambalo ambalo walala hoi, wengi wao wanaishi mjini.
Kuna kundi la wakulima na wafugaji, wafanyakazi wa umma na mashirika binafsi hayo yote yamekosa watetezi
 
Haiwezekani waka-address hoja na matamanio yako yoootee kwa siku moja.Ngazi kwa ngazi.Halafu,hata wewe unaweza kuitisha maandamano utoe/uweke hoja zako.Usiwatwishe CHADEMA kila kitu.Chukua nafasi yako.
 
Sijui nini kifanyike ili kuangalia na kubainisha dhuruma mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi hili kundi Dogo ambalo limekumbwa na madhira ya kikokotoo haliwezi kutoa Sauti MACHOZI yao yamekwenda na maji! Hata walipokuwa kazini walinyimwa vyeo,pesa za Likizo na uhamisho pamoja na stahiki zao zote lakini walisimamia UCHAGUZI Kwa nguvu zote maskini Hawa wakiwa na madarajio ya MABADILIKO lakini walichovuna ni kuwekwa hadharani na kupewa maswali ya Papo Kwa Papo na kuzomewa!

Njia ni moja tu kuhakikisha wakati wa UCHAGUZI kila mmoja anavuna alichokipanda tuwachague watu walio tayari kuwatumikia wanchi wote Kwa Kadri ya mahitaji yao,kuwaheshimu watu bila kuwatweza kwakuwa tu wao ajira yao inawafanya wakutukuze.

Yote hayo lazima kuwe na miongozo MIPYA ambayo Katiba Bora.
 
Haiwezekani waka-address hoja na matamanio yako yoootee kwa siku moja.Ngazi kwa ngazi.Halafu,hata wewe unaweza kuitisha maandamano utoe/uweke hoja zako.Usiwatwishe CHADEMA kila kitu.Chukua nafasi yako.
Najua, unavyoandika jambo kitaaluma huwezi vyote ukaandika nimejaribu kuandika uzi mwingine hapo juu nahis utaelewa,lakini najua harakati ni hatua huwezi fanya zote siku moja
 
Back
Top Bottom