Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

Acheni kuwachochea wenzenu. Mnajidai kuwatetea wakati watakapokuwa wanapata bakora ninyi mtakuwa mnakula kiyoyozi mnachungulia madirishani.
 
Kiyoyozi ukitoe wapi? au una generator mkuu!?
 
Hahaha very funny!

Haya endeleeni na maandamano si na hao watakaopigwa virungu mtawapeleka South Africa.
 
Tunamkumbuka sumaye aliyesema kiongozi anayeingia kwa vyombo vya habar atatumia risasi kwa wanaopinga utawala wake.
 
Eee ndio wanaweza kuandamana bila kupigwa mabomu.

Wanatembea wawili ama watatu watatu halafu wanaachana kama mita 2 ama 3 ama 4.

Sio lazima watembee lundo kama wanafunzi
 
Mimi nasubiri nione,zao la wafaulu mitihani kwa kutumia nyenzo naamini ndo watakaoandamana kesho...waliwaponza Ma'interns wakafutiwa usajili badala ya kuwapigania juzi Chitega sijui Chi' nini akautangazia Uma kuwa eti wamewaachia Viongozi wao(wa ma'interns) washughulikie issue hiyo wakati wao wanendelea kula bata na leseni zao,period!
 
Sasa hiyo itasaidia nini,kufanya hivyo na kufanya kama walivyoshauriwa (kukusanyika kwa kufanya mkutano tu) kuna tofauti gani?
 
Mimi nasubiri nione,zao la wafaulu mitihani kwa kutumia nyenzo naamini ndo watakaoandamana kesho...waliwaponza Ma'interns wakafutiwa usajili badala ya kuwapigania juzi Chitega sijui Chi' nini akautangazia Uma kuwa eti wamewaachia Viongozi wao(wa ma'interns) washughulikie issue hiyo wakati wao wanendelea kula bata na leseni zao,period!

mbona chitage ni mmoja wa interns?usikurupuke!!
 
Back
Top Bottom