Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

Sio kila ugonjwa unaofanya watu waende India unahitaji CT Scan.

Ct scan ni mfano tu dogo vifaa vingi tu havipo hata madawa hamna, we unadhani mgonjwa ataponaje ka dawa tu hamna au we unafikiri madokta wana upako akikushika tu umepona!!!!!!!!! rudisheni leseni zao sasa
 
Nakubaliana na hoja yako kimsingi kabisa!Ubabe huu wa serikali dhidi yao ni kwa sababu wameshindwa kuwa wamoja mwanzo mpaka mwisho!Kama wangekuwa wamoja nadhani serikali ingeufyata tu,lakini imewagawa makundi na inawaendesha inavyotaka!hizi ni mbinu zinazotumika hata vitani lakini mara nyingi zilikuwa zikitumiwa na mkoloni na jina lake mtindo huu uliopata umaarufu uliitwa ''DIVIDE AND RULE''! Mwalimu Nyerere aliushinda kwa kuja na kauli mbiu ya umoja ni NGUVU!Kuliko kuendelea kuhangaika hapa Jamvini ni bora Madaktari wakaonyesha kuwa ni wamoja hapo hata wananchi watawaunga mkono!lakini kwa utenganifu huu hakuna kitakachofanikiwa!
MTENDAHAKI unachokisema ni sahihi. Makundi ndio yamekuwa adui wa daktari, lakini makundi haya yanasababishwa na viongozi wa madakatari wenyewe. Katika vikao vyao ukifuatilia utagundua kuwa wanachama wenye mawazo tofauti na viongozi hawasikilizwi na wanafukuzwa. Viongozi wanaejoy atmosphere ya "yes sir" lakini wale waliofukuzwa kama wana hoja, lazima watajitokeza wa kuwasikiliza. Matokeo yake ni makundi. Madaktari wakijifinza kuheshimu uhuru wa mawazo na kuvumilia mawazo tofauti hakutakuwa na sababu ya kuvunjika makundi makundi.
 
Last edited by a moderator:
Chadema kukanusha si ndio jadi yenu? Pamoja na umma kushuhuia uzinifu wa Dr. Slaa bado mnakusha kwa mantiki hiyo hakuna jipya.

Chama
Gongo la mboto DSM

Huyu nae kwani Dr. slaa kawapokonya madaktari leseni?????????? we umedhini mara ngapi?????????? si ukadhini na wewe maana naona unaona wivu
 
Upepo huo ushapita tengenezeni mwingine wa manesi,Jk mpaka November 2015.Kilichowaponza ma dr ni kusaidiwa kufikiri na wale walotumia Elimu ya Certificate kupata Phd!

Kama mawazo yako haya ni kweli yanatoka moyoni mwako basi mama yako alitoa ugonjwa tumboni, na asingekuzaa angepata matatizo makubwa ya kiafya!
 
Wewe mbona unalia lia sana humu JF serikali imeishasema hawana uwezo wa kuwalipa mshahara mmnaotaka kwa nini uanzishe mgogoro na muajiri wako wakati kaishasema hana uwezo huo, wewe si daktari unataka maslahi yako na mshahara mkubwa nenda wanapolipa vizuri TMJ, Aga Khan, Regency, Hindu, au Marekani achana serikali, siku Chadema wakichukuwa nchi mtalipwa milioni 10, kubali usikubali Chadema wamewaalibia mnaonekana wana siasa tu.

Usijifananishe na Kenya au Israel hao wanajitambuwa nyie wenyewe sio wamoja kila daktari anaangalia maslahi yake.
tatizo lako unafikiria kwa kutumia kalio lako......ushaambiwa mara kibao madai ya madoc sio maslahi tu mbwiga wewe....maslahi ni just a tiny....nakuambia tena kasome madai yao na uwe unatumia ubongo kufikiria.....
 
Sasa naona madaktari akili zimeanza kuwarudia, kwa sababu hiki ndio kitu kilitakiwa kufanyika muda mrefu sana. Nilishangaa kusikia madaktari wamekataa kuongea na wizara ya afya eti kwa kuwa wanadhani wizara "haiko serious".

Naunga mkono maandamano na kwenda kuishinikiza wizara kuwarudisha interns kazini. Intern kuadhibiwa kwa mgomo ambao ni wa madaktari wote si sahihi hata kidogo. Zifanyike jitihada zote za kuwrudisha interns kwenye program zao na jitihada hizo zinapaswa kufanyika mapema. Asiyetaka kupractice afanye hivyo by choice na siyo kwa kunyimwa leseni.

lakini, najiuliza, hivi hawa viongozi wa madaktari wanapoongea na media huwa hawapati ushauri kwanza? Huyu kiongozi ananukuliwa hivi “Daktari mmoja hadi anafikia hatua hii anatumia zaidi ya Sh30 milioni kwa ajili ya kupata elimu, je, ni shilingi ngapi kwa madaktari zaidi ya 380? Haya ni mabilioni ya fedha za walipa kodi ambayo Serikali inapoteza kwa kuwafukuza madaktari,”. Hapa anatoa ujumbe kuwa madaktari wanasomeshwa kwa pesa za walipa kodi. Anajaribu kutumia siasa ili awavutie wananchi kuwa anajali matumizi mazuri ya pesa zao za kodi. Lakini anasahau kuwa wananchi wengi ambao hawaungi mkono madaktari wanaegemea hapohapo kuwa madaktari wanalazimika kuwatibu kwa sababu wamesomeshwa kwa pesa za wananchi. Kwa lugha nyingine anakili kuwa kugoma kuwatibia wananchi ni kugoma kulipa fadhila.
Hawa inabidi wajifunze jinsi ya kutoa matamko ili wawe consistent.

Pia nimefurashishwa na pale Katibu wa MAT aliposema "maandamano hayo yatafuata taratibu zote za kisheria, ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa polisi saa 48 kabla ya kuandamana na madaktari wote watavaa makoti meupe na wasio madaktari watatakiwa kuwa na vitambaa vyeupe". Hii inadhihirisha kuwa kiongozi huyu anatambua kuwa wasomi hawapaswi kufanya mambo kichekibobu. Wasomi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa na jamii na katibu huyu amedhihirisha hilo.

Ni wewe uliechelewa kujua kuwa madaktari wanafuata sheria. Unadhani udaktari ni sawa na fani zenu za kujikomba!
 
Sijui ni kwanini unalazimisha kuwa CHADEMA kinahusika wakati viongozi wameshakataa kuhusika.

Sio nalazimisha ndio ukweli wenyewe tumemsikia Dr Slaa na Mnyika, wakitoa amri kwa serikali eti wawape madaktari wanachodai wewe unapinga sijui wewe na Dr Slaa tumfuate nani.
 
Si JK alishawashauri mtafute muajiri atakayewalipa vizuri? Sasa maandamano ya nini tena!

Halafu? JK atapata wapi daktari wakujitole? wee huoni kuwa anayeathirika ni mkesha hoi?
 
tatizo lako unafikiria kwa kutumia kalio lako......ushaambiwa mara kibao madai ya madoc sio maslahi tu mbwiga wewe....maslahi ni just a tiny....nakuambia tena kasome madai yao na uwe unatumia ubongo kufikiria.....

Wewe kauzu ndio hujui chochote madai ya madaktari Rais kaishayasema yapo 12 tu kama kuna mengine basi ni yako wewe kauzu...kwenye madai haya 12 kuna dai moja tu ndio madaktari wameomba waboreshewe mazingira yao ya kazi madai mengine 11 ni maslahi yao binafsi sasa sijui wewe mganga wa kienyeji sijui una madai gani mapya ebu weka hayo madai mengine sio porojo.
 
WTF! Madaktari bongo wandhani wao ni akina nani? mbona wanataka waiendeshe nchi hivyo? Huo muda wakugoma wanautoa wapi na huku wagonjwa wakiwa unattended mahospitalini, acheni kazi madr wote mkitaka acheni ndugu zetu waendelee kufa, bora kutoa hizo billions kwa dr from Iran kuliko hawa dr uchwala wa Tz, wanaotoa dawa za maumivu tu kwa kila ugonjwa. TUMEWACHOKA fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!

wanatoa dawa za maumivu cuz ndizo walizo nazo, so ulitaka wakakununulie dawa? Ur so pathetic dude!
 
Waende Iran wakafanye nini? wanajualia wapi operations madr wabongo? Unadhani kwanini watu wanaenda kutibiwa india, watu wanaenda India baada ya kushauriwa na hao hao madr wabongo kwamba hawawezi kazi hivyo wanamwabia mgonjwa mwenye uwezo au sometimes serikali inawafund wagonjwa kadhaa au misaada inatolewa watu wanaenda kutibwa nje.

hv km we ni mwanaume una IQ ndogo hv unashindwa kuchanganua kuwa km dk ameweza kugundua tatizo na akakushauri nenda india ni competent ila amekosa vifaa vya kufanya hyo operesheni? Unaweza kuwa kichwa cha family kweli? UNACHEFUA!!
 
Hawa madaktari kumbe sio wote walikuwa wamegoma kuna kundi fulani ambalo linatumiwa ndio walikuwa wanaongoza mgomo...inasikitisha sana madaktari wetu wanaawacha wagonjwa wakikata roho wafe ili wao wapate maslahi zaidi hawa madktari kweli?

Tunaona madaktari wanakwenda kujitolea kutibu watu bure tena kwenye vita Afghanistan, Iraq, Somalia, Libya, hawa wetu wataweza kweli wanavyopenda pesa.
 
Tunaomba Serikali muwawache wandamane na mturuhusu wananchi twende tukawalambe bakora.

Maandamano yanini na wameshaambiwa kinaga ubaga asiyetaka aache kazi. Milango iko wazi. Wanaandamana nini? waondoke wakatafute kazi za kufanya hatuwataki tumeshachoka nao.

Nakubaliana na wewe safari hii FFU wakae pembeni, sisi tuliopata madhara ya mgomo wao ndo tuwafanyie kazi.
Wameisha ona watanzania wote ni wajinga, sasa jaribuni hayo maandamano yenu tuone nini kitatokea. Alie kupa ajira amesema hana uwezo kwa sasa kutekeleza madai yote unayodai, kwa nini ung'ang'anie kufanya kazi kwake? Acha kwa amani ukafanye kwingine kwani LAZIMA!!
 
Wewe kauzu ndio hujui chochote madai ya madaktari Rais kaishayasema yapo 12 tu kama kuna mengine basi ni yako wewe kauzu...kwenye madai haya 12 kuna dai moja tu ndio madaktari wameomba waboreshewe mazingira yao ya kazi madai mengine 11 ni maslahi yao binafsi sasa sijui wewe mganga wa kienyeji sijui una madai gani mapya ebu weka hayo madai mengine sio porojo.
nilishakuwekea madai yao sema ww huelewi......unalazimisha kutoelewa.....funguka wewe
 
Hawa madaktari kumbe sio wote walikuwa wamegoma kuna kundi fulani ambalo linatumiwa ndio walikuwa wanaongoza mgomo...inasikitisha sana madaktari wetu wanaawacha wagonjwa wakikata roho wafe ili wao wapate maslahi zaidi hawa madktari kweli?

Tunaona madaktari wanakwenda kujitolea kutibu watu bure tena kwenye vita Afghanistan, Iraq, Somalia, Libya, hawa wetu wataweza kweli wanavyopenda pesa.
ndio maana nakuambia huna akili.....wauaji wakubwa ni nyie ccm na serikali yenu.....ukiwa mwenye akili utajua.....aisee arifu unaboa kichizi
 
pumbav kweli kweli! sidhani kama una IQ ya kutosha kutoa advice ya aina yoyote ile kwa madaktari kama hata unaweza kusuggest kuwa maandamo ya aina zote ni siasa! acha mambo yako bwana, hawa watu wanapigania sekta ya afya ya nchi yetu ikiwemo na PROFESSION (ili uwe unajua namna ya kutumia maneno ya kiingereza, sio unayatumia halafu unakosea matense na manini, shule mkuu!!!) zao! wamemwaga mpaka damu, sasa unataka kutuambia hawailindi profession yao? eti kuna mtu nyuma yao! acha kupandikiza mawazo finyu! humu yanaonekana, JF watu wako makini!!!

Naona mwenzangu IQ Yako ipo juu sana that y unakimbilia kwenye matusi mi nilitegemea kwa IQ Yako kubwa uniambie hw mgomo utalinda hiyo professional? Bt ww unatukana tu kweli tULIcompare Uzi wangu na hiyo IQ Yako najua utakuwa umepata jibu ipi kubwa na ipi ndogo acha matusi bishana kwa Hoja faza.......
 
Back
Top Bottom