Maandamano makubwa Songea!

hadi sasa wameuawa raia 2 kwa kupingwa risasi na askari.raia walio na uchungu kwa kuuwawa ndugu zao na watu wanaosadikiwa kutoka msumbiji kuja chukua viungo vya binadamu.mmoja wa majambazi aliuwawa kati ya wawili waliochomwa moto.na kabla hajafa aliteswa na kurekodiwa na raia hadi akataja sehemu walipo lizaboni.lakini polisi wapo kimya.
 
Kutokana na mauaji ya kila siku yaliyodumu kwa wiki mbili mfululizo kwa kila siku mwananchi mmoja au wawili kuuawa kwa kuchinjwa bila ya sababu yoyote katika manispaa ya Songea wananchi sasa tumechoka na uozo wa serikali isiyokuwa na meno (toothless bull dog) uongozi wa serikali ya magamba katika mkoa wa Ruvuma ni uozo mtupu kuanzia Regional Commissioner Mwambungu sijui kwanini wamekuleta kama RC ungeendelea tu kuwa DC maana kiatu ulichokivaa hakikutoshi, ukiwa kama Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa umeshindwa kuchukua hatua yoyote kwa mauaji yanayokithiri kila siku? umeoza we mzee! kwa RPC ndio kabisaa takataka sijui IGP Mwema anatumia vigezo gani kuteua Ma RPC maana wa mkoa wa Ruvuma hana sifa hata ya kuwa mgambo (labda awe green guard) huyu takataka ananuka rushwa na anafadhili magenge mengi sana ya ujambazi, kuna kipindi kuna bunduki mbili ziliibiwa na tunajua yeye ndio aliyehusika na ule mchezo na kipindi cha utafiti wa kuzipata alikuwa akitusaliti na kuvujisha taarifa kwa watu wake mbinu tulizopanga kuzipata zile bunduki, hadi pale ile task force iliyotoka HQ kuja kubaini hizo bunduki bt baada ya kuzuia kupitisha habari za upelelezi kwa RPC maana walijua anavujisha taarifa. Leo asubuhi watu wengine wawili wameuawa na bado polisi mmelala watu wamechoka! na nawapongeza sana wananchi wa Songea mjini kwa kuandamana leo asubuhi hiyo ndio nguvu ya umma tunataka muamke ili kuishtua hii serikali ya magamba iliyo lala isiyojali maslahi ya wanachi wake. Polisi kwa kuwapiga risasi watu wawili leo maaeneo ya ofisi ya mkuu wa mkoa haitazima uchungu na hisia za wananchi wa Songea waacheni wapige mabomu ya machozi na kupiga risasi za moto lakini lazima polisi wajue wajibu wa kulinda raia wao, na mnabahati leo mission ilikuwa ni kuchoma moto kituo kikuu cha polisi pamoja na nyumba ya huyo kenge RPC na bado harakati zitaendelea tu! ukiwa kama RPC hauwezi ukaletewa madai ya mauaji na ukasema unataka uletewe ushahidi..... ushahidi wakati watu wanakufa! kazi yako ni nini kuomba ushahidi au kutafuta ushahidi? Sasa watu wameamua kukupelekea maiti Nashukuru kweli Tanzania sasa inamebadika watu wanataka haki na wamechoka kuendeshwa na serikali ilijaa kila aina ya rushwa na uozo! Kama JK na timu yake iliyooza imeshindwa kuwawajibisha sisi tutawafunza adabu!

"Without revolution we can't develop"​
 
Habari za kuaminika nilizo zipata hivi punde kutoka Songea ni kwamba kuna mapambano makali kati ya raia na Polisi, Chanzo cha vurugu ni mauaji ya kinyama ya raia ambayo yamekuwa yakitokea karibu mfululizo kwa takribani wiki mbili bila juhudi za maksudi za vyombo vya usalama kuzuia au kujua chanzo cha mauaji hayo. Nawasilisha.. mlioko Songea hebu tujuzeni jamani.
 
Only in Tanganyika:

Watu wanaandamana kupinga wenzao kuuliwa na majambazi na waandamanaji wanauliwa na mapolisi katili wa Mwema.

Eeh Mwenyezi Mungu kama kosa la Watanganyika ni kuichagua CCM tuondolee hiki kikombe. Ameni
 
2006 Richmond, Dowans Electricity Scandal US$150 million (TSh172 billion).
In 2006, Tanzania faced a serious crisis in electricity supply and, as an emergency measure, Richmond was awarded a contract to supply generators to provide 100 megawatts at a cost of TShs 172 billion.

The generators failed to arrive on time and, when they did, they did not work as required. The pipeline was never built and the generators were provided by another company. Under part of the contract, however, the government agreed to pay some $137,000 a day regardless of the amount of electricity provided.

Opposition MPs began to smell a rat and the House of Assembly set up a Select Committee to investigate the whole saga under
the chairmanship of the ruling CCM Kyela MP, Harrison Mwakyembe. The committee worked diligently and eventually came up with a 165-page report. Parliamentary findings showed the Prime Minister(Edward Lowassa) to be involved in awarding the contract to nonexisting US-based company, and the Prime Minister resigned. However, the Tanzanian government had to keep the contract and keep paying a non-existing company $137,000 US a day without any power being generated.


Also, President Kikwete has been blamed for choosing his friends to the cabinet, a result of which he has no power to condemn them for their irresponsibility.
The example of two consecutive bomb blasts at Mbagala and Gongo la Mboto arm base respectively in 2009 and 2011 where General Mwamunyange as well as the defense minister, Mwinyi, were in charge, but they insisted that it was not their fault for the blast and denied to brief the country about the reason for the blasts. The President himself kept praising to the two officials that they are working to secure a country something that raised anger among the victims of blasts.

Cource: Wikipedia
 
Wikipedia imeandika haya kuhusu uongozi wa Kikwete.

Corruption and other controversies

Kikwete's presidency has been marked with wide range of corruption, some of which happened during the presidencies of his predesesors. Some of his supporters claim that to be a sign of transparency that was brought in by Mr Kikwete.

Other cases, like deaths, have also been brought up such as Tanzanian police killing people on Tanzanian streets and getting away with it.
There is a difference between Wikipedia and Wikileaks.....hiyo red sijui ulimaanisha ipi hapo!?
 
Hizi habari za mauaji huko Songea ni kama nilizisikia WAPO Radio wiki iliyopita kwenye kipindi chao machachari cha Patapata. Kama nilimsikia Kamanda akisema ameimarisha doria. Kumbe hali ni mbaya eeeeh.
 
Mbunge wao yuko bize na Ruge na SUGU........

ruge33.jpeg
 
Wananchi wa songea asubuhi ya leo walikuwa wanaandamana kushinikiza jeshi la polisi lichukue hatua kudhibiti mauaji yanayotokea kila siku mjini hapa. Katika maandamano hayo polisi walianza kuwashambulia wananchi kwa risasi za moto na mabomu ya machozi. mwandishi wa habari hizi amenusurika kupigwa risasi ambayo imempata mtu aliyekuwa jirani yake, ambaye amepoteza maisha hapo hapo. katika mashambulizi hayo mwandishi ameshuhudi watu wawili wamepigwa risasi na kufa hapo hapo. Mpaka na kwenda mtimboni bado risasi za moto zinarindima(Songeayetu.blogspot.com).KWAKWELI NIMEPATA SIMU KUTOKA KWA RAFIKI YANGU ANANIAMBIA MJI UMECHAFUKA SANA WATU AMBAO WAMETHIBITISHWA KUFA NA RISASI ZA MOTO ZA POLISI NI WAWILI MPAKA SASA LAKINI HAKUNA MAELEWANO SIJUI ITAKUWEJE,NA MADEREVA WA PIKIPIKI WAMEAPA KUPIGANA MPAKA MWISHO! MITAA YA LIZABONI NDIKO VIJANA WALIANZISHA MAPAMBANO.
 
quote_icon.png
By only83

Uletaji wa taarifa wa namna hii na unataka watu wajadili sidhani kama unakubalika kwenye jukwaa makini kama hili.Wewe ndio mleta taarifa sasa unataka nani mwingine atoe taarifa? Sisi hatujui wewe ndio unajua sana unauliza kwetu ili iweje?

Laana ya kuchagua CCM inawala...mimi nadhani haya ni matunda ya elimu ya uraia inayotolewa na CDM...

Sasa hapo juu umesema huwezi kuchangia...sasa hivi umechangia japokuwa haiusiani na mauaji ya songea......... Mbona CDM wa kweli tabia hii hatuna? au wewe pandikizi nini? Huwa sio vigeugeu sisi bana aghhhh
 
Kwani songea mjini kuna mbunge,aende kusulushisha kama sugu alivyofanya mbeya hana jeuri hiyo,kwa sababu anajua alishinada uchaguzi kwa hila na wanamtamani kweli 2015 wamuone nchimbi.
 
Ukatili wa jeshi la polisi Tanzania unazidi maradufu ukatili waliofanyiwa wazalendo wa afrika kusini na polisi makaburu na vibaraka wao.
 
Back
Top Bottom