Maandamano makubwa Songea!

sina imani na jeshi la polisi kwenye kila kitu wanachofanya,maana wanatumika
 
Tanzania, Tanzania my beautiful country, Where are we heading??? Police are killing civilians who are fighting for their rights and protects the thugs really???? i think kwa hili tunahitaji kuwaunga mkono na kuandamana nchi nzima. Kwakweli police wa nchii hii sijawahi kuona, alafu viongozi wamekaa kimya pamoja na shutuma zote hizi?
 
Tuletee habari pamoja na picha za matukio.

Sasa na huko Songea ni CHADEMA wanachochea au vipi?
Kazi ipo kwa magamba yatanyoka tuu
 
saa ya ukombozi ni sasa fanyeni kama mbeya arusha na moshi acheni woga pamabaneni nchi ni ya kwenu
 
how long shall they kill our prophets while we stand aside and look .
 
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma (Kamuhanda) analalamikiwa kwa kulea majambazi ambao wanaua Raia kila kukicha na kuwaibia,wanachi wakienda kumlalamikia anawambia hakuna kitu kama hicho sasa wanasongea wanasema liwalo na liwe hadi kieleweke.

Fanyeni kama mbeya mpaka waombe pooo!
 
Kweli hiiiiiiiiii ni hali zaidi,nguvu zaidi,na kasi mpya ya wanaccm kwa kuua raia wasio kuwa na hatia.


Poleni sana wana Songea na sisi Watanzania Wote.

Bora mseme nyie sisi wengine tukisema tunaweza kuambiwa kuwa tunatukana viongozi wa Chama Cha Majambazi (CCM)

Lakini:-

ACHENI NISEME, HATA MKINI......... ACHENI NISEME KUWA JESHI LA POLISI NA MAKAMANDA WAO WOTE WANASHIRIKIANA NA MAJAMBAZI KWANI NAO PIA NI MAJAMBAZI NA NDIO MAANA UHALIFU NA MAUAJI YANAENDELEA KILA KUKICHA.

NITASEMA TU NA ACHENI NISEME, HATA MKINIMWAGIA MAJI WASHA, ACHENI NISEME HATA MKINIPIGA MABOMU YA MACHOZI ACHENI NISEME......



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kwa hili la songea asubuhi ya leo ccm kwisha kazi.
Sasa wananchi chambueni pumba na mchele.
Msiwe na vichwa vigumu kama nazi ebo!!!!!
 
kwa hili la songea asubuhi ya leo ccm kwisha kazi.
Sasa wananchi chambueni pumba na mchele.
Msiwe na vichwa vigumu kama nazi ebo!!!!!

leta taharifa iliyokamilika mkuu, kwani mmeshachoma kituo cha polisi?
 
Wakuu nimepigiwa simu na rafiki'angu toka Songea anasema kumekuwa na mauwaji ya kutisha kwa mda wa wiki sasa na inasemekana watu zaidi ya kumi wamesha uwawa ingawa RPC amedai wananchi wasihofu.
Pia nasikia wananchi waliandamana mpaka kwa mkuu wa Wilaya ila bado uvumbuzi haujapatikana na inasemekana wananchi waliwachoma moto watu wawili kutokana na tuhuma za kuhusika na mauwaji hayo na ndipo wauwaji wakasema sasa wataendeleza mashamulizi.ok mwenye ndugu pande izo anaweza mpigia simu ili tuweze pata taarifa zaidi ila kunajamaangu mwingine ni polisi nae ameniakikishia kuwa hali c nzuri kwa sasa.

Wajameni mimi sipati :photo::photo::photo: Hapa:-

Wananchi wanaandamana kwa sababu ya Mauaji ya mtu mmoja kila siku yanayotokea mjini Songea, na saa nashindwa kuelewa wakati wa maandamano haya tena POLISI WANAUWA WATU WAWILI KWA SIKU YA LEO TU Ehhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!

Sasa Polisi badala ya kutafuta dawa ya kuzuia mauaji wao wanaongeza idadi ya wanaokufa kwa siku na kufikia wawili, na hapa inaonyesha bado watakufa zaidi ya hao kwa ni Breaking News inaendelea.

"KWELI NIMEAMINI HAYA NDIYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, ALIYOTUAHIDI J. KIKWETE WAKATI WA KAMPENI ZAKE SASA NDIO ANATIMIZA AHADI YAKE HIYO"

HONGERA RAISI WETU MPENDWA KWA KUTIMIZA AHADI, NA VIONGOZI WENGINE TIMIZENI AHADI ZENU.

VINGINEVYO NANYI MSIPOTIMIZA MJUE TUTAKUTANA KATIKA SANDUKU LA KURA 2015



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
nimepata taarifa ya kuwa waandamaji wapo takribani 3,000 hivi.
So mziki ni mkubwa balaa!
 
Wikipedia imeandika haya kuhusu uongozi wa Kikwete.

Corruption and other controversies

Kikwete's presidency has been marked with wide range of corruption, some of which happened during the presidencies of his predesesors. Some of his supporters claim that to be a sign of transparency that was brought in by Mr Kikwete.

Other cases, like deaths, have also been brought up such as Tanzanian police killing people on Tanzanian streets and getting away with it.
 
Back
Top Bottom