Maandamano CUF hakuna aliyejeruhiwa!!!!!!!!!!!!!! Ni mchezo wa kuigiza

Ungefafanua hiyo story ili na wengine tusio na habari ya hayo maandamano tujuwe kilichoendelea.

Mkuu,

Soma habari hapa:-


http://www.ippmedia.com/
CUF submits `constitution` kwenye English news

Polisi, CUF wapambana Dar kwenye kiswahili



Mimi nimependa ujumbe kwenye bango la Mama mwandamanaji kwenye English news.
 
CDM hawawezi kufanya maandamano. Hawana uongozi na hawana historia ya kimapinduzi. Mapinduzi hayafanywi ukiwa umekaa kwenye kompyuta na kopo la bia pembeni. Na ndiyo maana CCM wanawaogopa CUF lakini hawasumbuliwi kichwa na CDM. Endeleeni tuu kuamini kwamba mabadiliko yanaletwa na phd.

mama umehit bull's eye
 
Najua hili limewachoma sana wana CDM kuona mnazungumza maneno wenzenu wanafanya vitendo. Hivi tuwe wakweli CDM iliwahi wapi kufanya siasa za kutumia umma? Ama ndio mnajaribu, sasa CUF wameonyesha kuwa wao wanatenda hawazungumzi na kuonyesha walivyo ngangari kapewa kijana Mtatiro tu kufanya kazi wakti wake wa CDM wakikimbilia kupeleka hoja binafsi! Mnalo leonu CDM kama hamtaamka, nawaambia tu hata kama Mod na Invisible hapa ni watu wa CDM ambao wataishia kuminya hii thread ama kuni ban. Lakini yote sawa mkifanya naweka jina lingine

Ili ujue maana ya nguvu ya umma nenda kaulizie Mwanza, Shinyanga, Arusha, Mbeya, Iringa na kwingineko kwingi. Tatizo ninaloliona CUF ni kuwa mnakurupuka hamna mpangilio wa mambo. Kwangu mimi hata hayo maandamano sikuona umuhimu wake. Serikali haijatoa jibu la hapana kwa katiba mpya, sasa mnaandamana kushinikiza nini. Wanachofanya CUF ni pre-emptive move kwa CDM. Kwa kuwa Mh Mbowe alisema ikibidi tutatumia nguvu ya umma kushinikiza katiba mpya, basi CUF wakaona wawatangulie bila hata kuwa na mipango. Maandamano inatakiwa kuwa hatua ya mwisho kabisa.

Hoja binafsi inapelekwa bungeni, inakataliwa kwa ajili ya wingi wa wabunge wa CCM, hapo sasa ndipo shitaka linakwenda kwa wananchi. Hiyo ndiyo mipango, sio kukurupuka tu.
 
Kwa watu wenye fikra makini na mtazamo chanya juu ya mustakabali wa TZ yetu, watakubaliana na mimi kuwa hatuhitaji kuoneshana nani kinara wa kuandamana au kutoa kashfa juu ya vyama vya siasa, asasi mbalimbali au juhudi za wasomi, wafanya kazi, biashara au watu binafsi katika mchakato wa kudai katiba mpya. Tunahitaji juhudi za kila MTZ ktk kulifanikisha hili.
Tukumbuke 'vita vya panzi furaha ya kunguru'

"Your brain is a powerful tool use it Wisely"
 
CDM hawawezi kufanya maandamano. Hawana uongozi na hawana historia ya kimapinduzi. Mapinduzi hayafanywi ukiwa umekaa kwenye kompyuta na kopo la bia pembeni. Na ndiyo maana CCM wanawaogopa CUF lakini hawasumbuliwi kichwa na CDM. Endeleeni tuu kuamini kwamba mabadiliko yanaletwa na phd.

Kwa mtazamo huu sasa vita ni CDM na CUF; Ni vyema kutambua tunapambana na nani? Katika uislamu adui mkuu ni MKRISTO, jambo ambalo ninaliona kuwa siyo sahihi, wanapaswa kumtambua adui (SHETANI) na jinsi ya kupambana nae; lakini badala yake majini, mapepo ndio marafiki kwao. Ndilo ninaloliona kwa wafuasi wa CUF.
 
Kwa watu wenye fikra makini na mtazamo chanya juu ya mustakabali wa TZ yetu, watakubaliana na mimi kuwa hatuhitaji kuoneshana nani kinara wa kuandamana au kutoa kashfa juu ya vyama vya siasa, asasi mbalimbali au juhudi za wasomi, wafanya kazi, biashara au watu binafsi katika mchakato wa kudai katiba mpya. Tunahitaji juhudi za kila MTZ ktk kulifanikisha hili.
Tukumbuke 'vita vya panzi furaha ya kunguru'

"Your brain is a powerful tool use it Wisely"
 
Kwa mtazamo huu sasa vita ni CDM na CUF; Ni vyema kutambua tunapambana na nani? Katika uislamu adui mkuu ni MKRISTO, jambo ambalo ninaliona kuwa siyo sahihi, wanapaswa kumtambua adui (SHETANI) na jinsi ya kupambana nae; lakini badala yake majini, mapepo ndio marafiki kwao. Ndilo ninaloliona kwa wafuasi wa CUF.

Yaani aliyeanzisha thread hii na alichokiandika ndiyo hujayaona hayo "unayoyaona kwa wafuasi wa CUF"? UNAFIKI at it's best!
 
Jamani wana JF Naomba mnipe majibu ya maswali yangu machache..

1.Hivi huyo Rostam Aziz ana ulinzi wowote (Bodyguards) anavyokuwa kwenye shughuli zake za kawaida hapa jijini? Mimi binfsi sijawahi kumuona mitaani huyu Fisadi..ila nadhani tumemlalamikia vya kutosha na hata mwanasheria mkuu wa serikali katusaidia ku-prove kwamba Dowans ni yake.

2.Pia ningependa kufahamishwa mahali anapokaa (hapa jijini) na sehemu ambazo mara nyingi hupendelea kutembelea.

maswali gani sasa hayo!!
Nakushauri uanzishe thread yako uulize maana sio wote wanaosoma comments.
 
Cuf mmejitahidi kwa mlichokifanya.
Ila mjiulize kama watu karibia wote wanataka mabadiliko iweje wamejitokeza wachache kussuport?
Nahisi mna chembe chembe za unafki.
 
Mchezo huo niliushtukia kabla haujaanza kuigizwa. Kama watu bado wapo gizani basi sasa watambue kuwa tanzania tuna ccm A na ccm B ambayo zamani ilikuwa inaitwa cuf.
 
hawana lolote futuhi wale...................si wlikubali tume ilikuwa huru/kwa kumpongeza jk......wamesikia hili wao juu ju...kutaka umaarufu...............ungepata nafasi ya kuwauliza walikuwa wanataka nini mmoja mmoja ungegiga makofi wote.........wananch wengi hawajaua hii mambo ndio inatazamiwa kuingizwa bungeni na cdm,,,,wangesubi au kuungana sio kama walivyofanya wana walakini hawa jamaa
 
Siasa ni mchezo mchafu, sina jipya ila naangalia tu "Bongo Movie" nyingine ambayo stelingi ni Mtatiro na maadui ni FFU, na km ilivyo kwa stelingi wa muvi huwa hauwawi! Na akiuwawa basi mtoto wake anakuja kulipiza kisasi, U-CUF na U-CHADEMA sioni km ni hoja ya msingi hapa, hivyo vyote ni vyama pinzani, kila kimoja kina wafuasi wake kutokana na sera zake, wana njia tofauti za kukabili mambo, mi nadhani tujadili lengo la maandamano yale, je yalileta tija au yalikuwa mazoezi ya viungo tu?!
 
Mkuu,

Maandamano CUF hakuna aliyejeruhiwa!!!!!!!!!!!!!! This is good news!! au tungefurahi kama kungekuwa na majeruhi au vifo?
Ni mchezo wa kuigiza I do not think so. je wamefanikiwa kufanya lile walilokusudia kufanya? Tuwapongeze...tusiweke ushabiki wa vyama mbele.
Hawa wamewasilisha rasimu wizarani, wengine watapeleka hoja binafsi bungeni. Movement ya katiba mpya ni ya wote. Na wengine watatumia njia nyengine kuipa msukumo hoja ya Katiba Mpya.

Kama tulimshabikia Mkapa kwa matamshi yake kuhusu katiba mpya ,sioni sababu kwa nini tuwe na wasiwasi na hawa ambao wao pia watanufaika ikipatikana katiba mpya. Au tunasahau kuwa wao pia wanaibiwa ushindi katika majimbo ya uchaguzi?
Tuache ushabiki wa kupindukia katika issue zinazomhusu kila mpenda mabadiliko, wandugu.
 
"Alisema wametumia nguvu za wastani kuwatawanya wana CUF na watu tisa wanashikiliwa na jeshi hilo na hakuna aliyejeruhiwa katika maandamano hayo, na Polisi kupitia Idara yake ya Upelelezi inafuatilia suala hilo ili kuangalia hatua gani itachukua kutokana na kukiukwa kwa amri yao"
Haya maneno ya Kova yananipa wasiwasi. Hivi toka lini polisi wakawa hivi? Washindwe kuzuia maandamano toka buguruni mpaka mjini, wanasindikiza tuu na hakuna mtu aliyejeruhiwa pamoja na polisi kufwatua risasi za moto? Nina wasiwasi hii ni mbinu ya kutaka kuinyanyua tena CUF dhidi ya Chadema. Haiwezekani polisi FFU wawe wanawasindikiza waandanaji, tena nasikia aliyekuwa anatoa matangazo ya polisi alikuwa ni dereva wa polisi, siku zote tunajua huwa ni mkuu wa kikosi cha FFU. Kwangu mimi huu ni mchezo wa kuigiza (Filamu kama magazeti mengi yalivyosema)


Wacha kutuzingua na stori zako za zezeta hizo **** mkubwa we....kwani wa Tanzania hawawezi kufanya maandamano bila ya kufa mtu?
England ni juzi tu kabla ya christmass wanafunzi wa chuo zaidi ya 3000 student waliandamana na kufanya Riot kwa fujo nyingi tu hadi walivunja mpaka majumba ya serikali kule Central london...mpaka riot inamaliza na hata mwanafunzi mmoja hakujeruhiwa au kufariki !!!!!
Au unataka kuniambia wabongo hatuna haki ya kuandamana na kudai haki yetu.....nchi za wenzetu nyingi tu jambo dogo tu ikiwa hawajaridhika nalo wanaandamana na vile vile hakuna mtu anaekufa katika hayo maandamano!!!!!!
CHANGE WE NEED
 
Back
Top Bottom