Maamuzi magumu: The biggest joke of the century

FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h]

@ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi aliyetuingiza taifa hasara ya USD $ 170 Million kwa ajili ya umeme wa dharura wa Megawati 100 ambao haupo. Sasa cha ajabu sana ni wananchi na baadhi ya Wabunge wa CCM waliosimama na kumshangilia sana, ninasema hawa wote tunahitaji kuwakamata na kuwachapa bakora sana, kama Mwalimu alivyokuwa akiwafanyia maviongozi magoi goi kule Ikulu zamani. I mean what happened to this Nation? Tumelogwa na nani hasa? Hili taifa kama ni maamuzi magumu tunatakiwa kuyafanya kwa kusimamia Sheria kwanza, ambako ndiko hasa kwenye ubovu na huyu Kiongozi akiwa ni mfano hai wa hilo la kutoheshimu sheria!

- Kutoheshimu sheria sasa kumetufikisha mahali ripoti ya W/B inasema 20% ya bajeti yetu kila mwaka inaishia kwenye Rushwa, mfano mwingine kati ya kesi 10,000 zilizofikishwa Takukuru toka ianzishwe ni 5% tu zilizofikishwa kwenye Sheria, zingine zimeishia hewani kwa sababu ya Rushwa, Wakulima wetu wa Mbao hishia kupata only 5% ya kilimo chao huku 95% zikienda kwa Viongozi wa juu na makampuni husika kupitia Rushwa. Mh. Lowassa anasema maamuzi magumu ni pamoja na kutafuta madeni zaidi, huku akijua wazi kwamba toka ashike madaraka ya juu mpaka leo, deni la taifa limeongezeka kwa kasi kubwa sana kutoka USD $ 6.1 Billion mpaka sasa USD $ 10.2 Billion, huku Serikali ikiwa haina cha maana cha kuonyesha na hasa umeme ambao aliufanyia maamuzi magumu. Huko kwenye ukusanyaji kodi ndio kabisaa kumeoza, kila mwaka TRA wanashindwa kukusanya Shillingi Billion 100 kwa sababu ya Rushwa, matokeo ni kuongezeka kwa inflation 8%!

- Cha kusikitisha zaidi ni jinsi Serikali ilivyomjibu, ikjikanyaga kanyaga na maneno ya Bara bara ya Mkapa na Chuo Cha Dodoma, badala ya kufanya maamuzi ya magumu ya haraka sana kwa kumkamata haraka sana yeye mwenyewe kwanza na genge lake, ili wakajibu zile USD $ 170 Million za gademu umeme wa dharura ambao haupo ziko wapi? I mean my people, unajua Mungu anahitaji kwenda kuwaomba Radhi watu wa Sodoma na Ghomorah kwa sababu sio siri we are more than them this Nation, look here kati ya wananchi Millioni moja wa Tanzania walioulizwa kama wanaamini tuna Sheria, ni 19% tu waliokubali kwamba zipo, now what about the rest 81% ambao wanaamini kwamba hakuna Sheria? Masikini ya Mungu hili taifa nani atatuokoa? maana hakuna wa kumsaidia mwingine I mean haiwezekani binadam akashindwa kuona na kufikiri pia, kwamba what Mh. Lowassa said is the biggest political joke of all our times na the saddest thing kuna waliomshangilia, dawa ni kukamata wote na kuchapa viboko mbele ya gademu public!

- Tanzania; maamuzi magumu yaanzie kwenye utawala unaoheshimu sheria kwanza!

Mungu Aibariki Tanzania!

William Malecela @ NYC, USA.

---Sasa umezalendoka ulichonena ni kweli

Ha! Ha! Ha!Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Ha! Ha! Ha!Ha! Ha! Ha!Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Ha! Ha! Ha!
joking
 
Tanzania; maamuzi magumu yaanzie kwenye utawala unaoheshimu sheria kwanza

Ndio, lakini hii ya utawala inasumbua kwani iko vacuum ya uongozi. Naamini kwamba after the passing on of Mwalimu (RIP), tatizo la UONGOZI BORA limekuwa hadi kufikia chronic proportions.
Kwa hiyo licha ya issues za law and order, WATANZANIA WANATAKIWA WAFANYE UAMUZI MGUMU kuondokana na mfumo uliofikisha nchi hapa ilipo. Sote tunajua pia tunahitaji KATIBA mpya na yatakayokuwa ndani ni pamoja na sheria hizo hizo za law and order pamoja na good governance.

Haitawezekana kutumia akili za hao hao waliotufikisha hapa kuondokana na upuuzi na matatizo waliyosababisha wao. Never!

- Sawa sawa mkuu, inaeleweka!

Willie @ NYC, USA.
 
GreatThinkers,

Kwanza naomba nikupongeze sana sana Willie, Sikuwahi kuwa ktk rithym moja na wewe, mara nyingi nakuona jamvini na kwa kweli kwa hili naomba nikupe pongezi tena.
Ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa alishiriki kwa ukaribu sana kuiingiza mkenge nchi yetu na sasa bado tunaumia kwa maamuzi yake hayo magumu ya kujilimbikizia mimali.
Negotiation team aliyoiunda ndiyo ambayo ilicheza ule mchezo mbaya kwa kofia yake, huku akijitokeza mara moja moja kushinikiza RichardMonduli"richmond" ipewe zabuni.

anayetakiwa kuchukua maamuzi magumu ni sisi wananchi, wananchi ambao tunaumia kila kukicha huku wengine wakineemeka, tumefika mahali mtu anaamua kuongeza mkataba hata kama ni mbovu mfano TICTS,
Almanusra tuingizwe mkenge mwingine wa Mvua za kutengeza na lile jambo alikuwa amelikomalia bila kutokea mapinduzi ya uongozi alikuwa anadeal nao.
Tunayo mifano hai, hata hapa Tanzania tunayo mashaka makubwa ule mradi wa maji Shinyanga na Kahama, juu ya Contract ya mabomba mengi na makubwa yaliyokuwa yanatokea hapa Dar REs Salaam na kwenda kanda ya ziwa, kila kitu kimegubikwa na usiri mkubwa.
Tunatambua kwa undani sana tu kwa nini barabaa ya kupitia mbugani wanaig'ang'ania yeye na MKULU, nani asiyejua GRUMET na Mahoteli wanayojenga ndani ya hifadhi, itaharibu kabisa Ecologia na mfumo mzima wa wanyama kwenda Masai na Serengeti, kuna uwezekeno mkubwa wa barabara hiyo kuanzia lamadi kupitia kwetu Maswa hatimaye Mbulu na kuingia Arusha.Lakini hayo yote walafi hawayaoni wanataka kutimiza malengo ya miradi yao
Ufike wakati sisi wenyewe tunaoona na kutambua haya yuingie vijijini kuamsha watanzania juu hili.

Willie, Maamuzi magumu ni lazima yafanywe na wananchi wenyewe, si unaona mwenyewe magamba yanavyotamba hadi bungeni licha huku jasho letu lote linaishia kulipa mikataba yao feki

Rudi nyumbani Tanzania, Fimbo ya mbali kaka yangu haiui nyoka, njoo tuunganishe nguvu. Asante kwa thread yawezekana umeondoka Tz kwa sababu umekatishwa tamaa, ila njoo tupambane.

- Wananchi ndio waamuzi, sawa sawa mkuu!

Willie @ NYC, USA.
 
time for commercial break

tumblr_lngwq71qBc1qfnmgdo1_500.jpg
 
Lowassa yuko sahihi. Kama yeye Rostam na Chenge bado wanapeta kwanini wasiseme ukweli? Kimsingi Kikwete akifanya maamuzi magumu atakamatwa yeye, mkewe, mwanae, Ben Mkapa na mkewe hata hao wengine waliotumiwa na wao kufanya ujambazi wao. Lowassa is right. Wadanganyika ndiyo wanapaswa kufanya maamuzi magumu kuukataa ukondoo.
 
The biggest joke ni namna watanzania tunavyokubali kutumia billions kuhudumia wabunge wa viti maalum ambao hawana manufaa (si kutoka chama tawala si kutoka upinzani)

It's a joke kukubali kukatwa kodi kwenye mshahara mdogo uliopo akalipwa mwanamke mara 17 ya mshahara huo bila ya kukatwa kodi kwa sababu tu amezaliwa mwanamke

It's a joke kukubali mfumo huo ambao majimbo mengine yanakuwa na wabunge hadi wanne na mengine kuwa na mbunge mmoja.
Hawa wabunge wenyewe kwenda kuchangia mada bungeni hawaendi ....ukicheki vikao vingi vya bunge viti viko wazi
miaka 5 inaisha mbunge hajawahi kufungua mdomo na kuchangia mada....sasa wa nini hawa jamani???????????
 
Kama wewe ni mtoto kweli wa Mzee Malecela nakushauri uwe makini sana na kalamu yako hasa ukizingatia Mzee bado yuko hospitali. Anaweza kucheleweshewa fedha za malipo ya matibabu. Je, utamlaumu nani?
Usimshauli W.Malecela aishi kinafiki kwa manufaa ati ya familia yake. Nampongeza sana kwa kuwa mkweli na muwazi hii ni tabia ambayo nadhani inamfanya awe huru na amani.
Kama ulimsikia Chikawe akimtetea Chenge juu ya kukosa ushahidi hapo utagundua madhara ya unafiki ktk nchi hii.
 
Hakuwa Jela! soma vizuri thread utaelewa tatizo la huyo Salum. Anawakilisha wengi waliotufikisha hapa tulipo, watu wasiojua na wasio amini dunia ni duara.

Mimi na Mchungaji Masanilo tuna amini kuwa ujinga wetu ndio mtaji wa Mafisadi, Ujinga wetu! hivyo hakuwa jela Bwana; Technology ni ujinga wetu!

- Agreed 100%!

Willie @ NYC, USA.
 
Hapa mkuu umeongea kama Mtanganyika Mzalendo makini asiedanganywa au kufanywa hamnazo na wanasiasa wachafu wenye uroho na choyo ,vibaraka wa wanyonyaji na ni mirija ya wanyonyaji. Tumechoka haya mambo yao natuko tayari kuingia gharama kuwaondoa ili tujenge mfumo mpya wenye kufuata na kuheshimu sheria.
Kwa kweli leo umenikosha.

Back
Top Bottom