Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,378
Mzee Mwanakijiji, mbona na wewe unaingia kwenye mkumbo! au huna chuki binafsi na Maalim Seif.Halafu aje anapewa na ving'ora na msafara!!! kwa cheo ambacho hata kuingizwa kwake kwenye Katiba ya Zanzibar kilikuwa ni makosa!
Mimi nimeona hiyo habari ITV labda nikuulize wewe ni miradi upi wa Serikali amekagua na kufungua?