Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?

mkuu ur very logical,kweli hii inashangaza, na kuibua maswali mengi sana. on top that kwanini this time?, kwanini Tabora?, for what purpose.
hii inadhihilisha kuwa kweli cuf ni ccm B na sasa wamempeleka igunga kuungana na mmewe ccm A ili kiidhibiti CDM kazi kweli kweli na inasikitisha kuona chama kama hiki ambacho yamkini kilikuwa kianaminiwa na kutumainiwa ktk kusukuma mbele democrasia kinakuwa "BOYA" namna hii.
shime watanzania tuwapige chini tuwakatae watatuchimbia kaburi la democrasia
 
Anawasaidia CCM kukagua ila keshavujisha siri kuwa keshaona ufisadi mno dah kweli kila mradi unaosimamiwa na ccm ufisadi 80%
 
Tanzania ni nchi ngapi?

Moja? Mbili?

Ile issue ya katiba mpya imeishia wapi?

Kama ni kufungua miradi tu na kuhutubia wananchi basi tunaweza kulifumbia macho hili kwa muda na tuelekeze nguvu katika kuleta katiba mpya ambayo itaondoa utata huu na ubovu, udhaifu huu.

Tusiwe distracted kirahisi. Tujizatiti kuondoa usanii katika Katiba mpya na sheria za nchi...lakini la muhimu zaidi ni kuondosha utata katika Muungano.

Tumekubali mazingaombwe na changa la macho kwa muda mrefu, sasa dawa ipo katika kuupitia muungano na halafu katiba mpya.
 
yule kazi yake ni kutembea na mikasi huwa hana lingine zaidi ya hilo.......wao wanamwita mzee wa mikasi......

tangu achaguliwe ndio kazi yake kufanya ufunguzi........hhata hivyo kuja huku kwetu bara sijaelea kabisa
 
rais wa china alipokuja kufungua uwanja wa taifa alifungua kama nani?
Hilary clinton alipotembelea kukagua symbon power na kule kibaha alitembea kukagua kama nani?
Usiwe unaleta mada mfu wewe au ulitaka nawewe uonekane umeanzisha thread?
Usiwe mjinga wewe! Sasa tumewachoka na pumba zenu. Hilary unaweza kumlinganisha na madevu? Huyo si ni waziri wa nje wa nchi ile mnayoenda kuomba vyandarua mkiwa mmepiga magoti! Seif huku bara hana tofauti na yule katibumkuu wa TLP anaye pigana vikumbo na Mrema hivyo hawezi eti anagharamiwa na serikali msafara wa kukagua miradi ya wananchi.
Huo niuhuni tena wa kizamani unaofanywa na serikali hii ya CCM kuwaingiza mkenge CUF
 
siasa ni kiini macho, kikwete atuambie na hii mada ijadiliwe na wanazuoni pia,haingii akilini,wao ni wa unguja sisi ni wa tanganyika,wabaki kwao na siasa zao, katinba mpya ifute muungano mapema hauna faida yoyote na haikuwa ridhaa ya wananchi kuwa na muungano bali ni mwl nyerere alilazimsha, since the author is no more tuna haja gani na kitu kisicho na faida kwetu???????
 
hivi huu muafaka wao walijadili zile familia za waliouawa kuhusu kupewa fidia?
Hivi huu muafaka wao feki Cuf waliona jinsi watu walivyolia baada ya CCM kuiba kura pale zenji? Kwa sababu Ilikuwa ni kichekesho kwa seifu kukubali matokeo yale ambayo kwa kuangalia hata mtoto wa darasa la tano anajua kuwa Seifu alishinda. Sijui ilikuwaje kuwaje. Hakika damu ya waliopoteza maisha Zenji itawahukumu CUF. Sasa hivi wazanzibar wanaimba serikali ya kitaifa na CUF wana mawaziri sijui wanatekeleza sera za nani maana sidhani kama wanatekeleza sera za CUF kwasababu chochote wanachofanya kwenye kampeni za 2015 CCM itajisifu kutekeleza. Zanzibar mmeula wa chuya kwa uvivu wa kuuchambua na hakika pilau bila viungo si pilau bali wali mweupe. na huo wali mweupe waweza kuwa wa kiini cha kwanza cha pili au chatatu mbaya zaidi ukizidi maji kiudogo utakuwa wali uliotota kama sio ubwabwa. CUF mmepoteza sifa ya kuwa wali bali mmekuwa Ubwabwa Znz ambao ulaji wake lazima uwe na kijiko na kijiko chenyewe ni CCM kwani baada ya kula lazima ukisafishe hivyo muelewi kuwa mnawasafisha CCM mambo yao yawe safi na wakijiimarisha mjue hiyo SUK itakufa. Ndugu zangu wa zenji zindukeni na muamke usingizini muutokomeze huu wimbo wa serikali ya kitaifa CCM kama kawa huwa wanakutumia kama Kondom kuinunua poa ukishatumia kinyaa
 
Ni kiongozi wa Bakwata na mwakilishi wa ccm na cuf kwenye muungano! Lo ccm na cuf ni mama na mtoto wake

Je halali kwa kiongozi ambaye hatukumchagua kwa kura zetu, wala hana mamlaka yeyote ya kutuongoza kikatiba, kuja kufungua na kukagua miradi ya serikali huku Tz bara? Kwa mujibu wa chanel ten leo, seif ameonekana akifungua madarasa, kukagua mirad na kuhutubia wananchi!
 
mkuu king, kama hujui kwanini raisi wa china alikuja kufua uwanja wa taifa napata shida kuelewa uwezo wako waufatiliaji wa mambo...labda nipe mchanganuo wa pesa za ujezi wa uwanja huo kabla hatujaenelea.
 
hahahah munachekesha. Hivo nyinyi mumelala usingizi wapono mpaka tuwaamshe?.Sisi wazanzibari tunawpima kama Oil inavopimwa kwenye gari. si nyinyi munashikilia tanzania wakati hamuwezi kumkubali kiongozi wenu wa kitaifa.?. Basi mujue sisi hatuna haja na tanzania. haja yetu tanganyika na zanzibar.
 
rais wa china alipokuja kufungua uwanja wa taifa alifungua kama nani?<br />
Hilary clinton alipotembelea kukagua symbon power na kule kibaha alitembea kukagua kama nani?<br />
Usiwe unaleta mada mfu wewe au ulitaka nawewe uonekane umeanzisha thread?
<br />
<br />
thanx
 
Nimetizama hiyo habari nikawa na nataka kujua kwa undani anachofungua Maalim Seif, pale hamna mradi wowote wa serikali ni wananchi wenyewe ndio wamejichangisha pesa
 
wewe mjipya elewa kuwa kiongozi wa nje kufungua mradi ni ile ambayo wamegharamia. Kwa hiyo huyo seif hana haki kufungua miradi bara, waishie huko huko zenj na serikali zao za mseto. Huku bara hakuna mseto ingawa serikali ya bara iko likizo.

Ni sahihi Seif kuishia huko huko Zanzibar kwa kuwa ndiko anakostahili. Lakini miradi yenyewe tunayopigia kelele ni ipi? Kufungua jengo la ofisi ya kijiji na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Ofisi!!! Wamempuuuza kiasi hicho?
 
Maalimu Seif alikuwa anapigania maslahi binafsi sasa amepata hakumbuki tena Wazanzibar. Ebu fuatilieni anaenda Igunga kwa gharama ipi? anatumia gari ya nani SMZ au CUF?
 
Halafu aje anapewa na ving'ora na msafara!!! kwa cheo ambacho hata kuingizwa kwake kwenye Katiba ya Zanzibar kilikuwa ni makosa!
 
Halafu aje anapewa na ving'ora na msafara!!! kwa cheo ambacho hata kuingizwa kwake kwenye Katiba ya Zanzibar kilikuwa ni makosa!
Mkuu tumuache Apumzike kateseka sana Na hayo makosa ya katiba ni matokeo ya Muafaka kwani tetesi yeye ndio aliyekuwa anapata kura nyingi kila uchaguzi Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Mkuu tumuache Apumzike kateseka sana Na hayo makosa ya katiba ni matokeo ya Muafaka kwani tetesi yeye ndio aliyekuwa anapata kura nyingi kila uchaguzi Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
seif ndiye first lady wa zanzibar
 
Back
Top Bottom