Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,326
Ukawa mnamajimbo thelathini na tano wenzenu miamoja hamsini na kitu lakini bado mnaota kuchukua nchi?
Kwa hiyo wabunge ndo marais? Akili wapi?
Ukawa mnamajimbo thelathini na tano wenzenu miamoja hamsini na kitu lakini bado mnaota kuchukua nchi?
Ungeweka kwa maneno mkuu picha wengine hazifunguki
Wenzio 192 wapo ndani kwa Makosa ya Mtandao.Uchaguzi zn utarudiwa baada ya siku 90 Chini ya Uongozi wa Rais Mh.Dkt John Pombe Magufuli na Kaimu Mwenykt wa Ccm Taifa Ndugu Benjamin William Mkapa mmezoe kudeka deka kwa Jakaya. Anzeni kukarabati zile Kambi za Shimoni Mombasa Kenya.
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana
3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.
4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti
5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.
Mwishoni watazika mpini kwenye saburi lakoNaona wafu kwenye huu uzi wakijaribu kutaka kuzikana wao kwa wao!!!
Unapoona wenzio wanaandika kwa wino halafu wewe unachoronga kutumia mavi sijui unakuwa na maana gani?
Mijitu ya ukawa bhana, mi-BAVICH-wA maji bhana, yaani inapiiiiiiiiiga kelele ktk keyboard, mwenzao anasubiri selo! Mijinga kweli mingi yao.
Nenda youtube kaidownload. Ipo.
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.
1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana
3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.
4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti
5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati
yaani wewe ndiyo lofa kabisa!Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.
Hii ni africa, atatulia mwenyewe hakuna cha UN wala nchi jirani itakayo ingilia
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa CCM ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga[/QUOTE
Ukikua akili zitakuja tu. Hujui unachosema na lazima utakuwa under 15.
Kwani January Makamba ndio Magufuli? Kauli kama hiyo inaathari kubwa ikitolewa na mgombea mwenyewe sio mpambe wake!