Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

Mbona January makamba alitoa matokeo yake mkuu, usiwe shabik sana. Ni ushauri tu ila

Kwani January Makamba ndio Magufuli? Kauli kama hiyo inaathari kubwa ikitolewa na mgombea mwenyewe sio mpambe wake!
 
Mijitu ya ukawa bhana, mi-BAVICH-wA maji bhana, yaani inapiiiiiiiiiga kelele ktk keyboard, mwenzao anasubiri selo! Mijinga kweli mingi yao.
 
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.

mbona unaongea kama upo chooni.
 
Mkund wa mm yako. Muda wote nimeona post zako za kiqumer qumer tu, kama hutaki kuchangia si utangulie chumbani.
 
Huyu jamaa ni Ngunguri kweli

Nchi za kiafrika unapaswa kuwa hivi

Lowasa mpole sana

Hata mi naona.

Sasa hivi kina Mbowe walitakiwa wawe wameshajitangaza washindi kama Maalimu.

Huu ni muda wa kuwahiana.
 
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa CCM ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga

siyo kitu cha kujivunia. kuna taratibu za kisheria zinazotambulika kimataifa. hivi siyo ukawa waliowaahidi watz kuwa hakuna damu itakayomwagika na kwamba seif angeheshimu matokeo? hata matokeo bado tayari maandalizi ya vurugu yameanza. tumwogope mungu na tuache kujitoa ufahamu.
 
CCM hawakufuata sheria toka mwanzo.
 
Mpuuzi sana ww yaani yaliyofanywa ZEC kufuta matokeo huoni italeta matatizo?
 
natamani kiongozi mmoja wa ukawa autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa ccm ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga
mtafuteni lipumba na hamad rashid wawasaidie, alivyoona watu wamekubali serikali ya umoja wa kitaifa akadhani mabwege, sasa n
a aisome namba
 
Back
Top Bottom