Ma CEO wa mashirika ambao wangefaa kuwa Mawaziri

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Je Kitilya wa TRA au Kimei wa CRDB au Mchechu wa NHC au Ali Mufuruki au Ami Mpungwe au yule bosi wa PPF wangefaa kuwa mawaziri?

Je wizara zipi zingewafaa?
 
Je Kitilya wa TRA au Kimei wa CRDB au Mchechu wa NHC au Ali Mufuruki au Ami Mpungwe au yule bosi wa PPF wangefaa kuwa mawaziri?

Je wizara zipi zingewafaa?

Andoa jina la Amy Mpungwe maana hujui unaongea nini inaelekea. Mipanago yote ya kuwakabidhi Tanzanite makaburu imepitia kwake!
 
Jukwaa hili ni la Jamii Photos,Huu udaku uliotuwekea upeleke unakotakiwa! Kwanza bahati yako watukanaji wamepungua ungekoma!!
 
Je Kitilya wa TRA au Kimei wa CRDB au Mchechu wa NHC au Ali Mufuruki au Ami Mpungwe au yule bosi wa PPF wangefaa kuwa mawaziri?

Je wizara zipi zingewafaa?

Kitilya na Kimei - wamejaza watu kutoka kanda ya kwao tra na crdb-hawafai
Mchechu wa NHC kesha kuwa fisadi-dili la ununuzi wa nyumba kalipeleka benki alikokuwa ceo
Ami mpungwe-is a full grown fisadi, uliza madili ya tanzanite
PPF nako kwani kuna usalama?
 
Back
Top Bottom