Ni lini Vicky Kamata ameteuliwa kuwa Afisa Uhusiano wa TAWA?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,993
Jana katika taarifa ya fisi aliyemnyakuwa mtoto kule Magu na kisha kutoweka kusiko julikana na kisha baadae kupatikana na maaskari wa wanyama pori Tawa na kisha kuuwawa na fisi yule kukutwa na hirizi, baadae alijitokeza mtu anayeitwa Vick Kama Likwilile kama Afsa Uhusiano Mwandamizi na kutoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari.

Maswali;
Ni lini uteuzi wake ulifanyika au TAWA siyoIidara ya Serekali?

Huyu VickY si ndio aliwahi kushika nafasi katika Shirika la Under The Same Sun kama sikosei akawa mkurugenzi mkuu CEO?

Huyu huyu Vicky si alipata kuwa Mbunge wa Viti Maaalumu kwa kipindi cha Kati ya miaka mitano hivi?

Je, huyu huyu si ndio alikuwa mke wa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Likwilile au ni mwingine, kwa vile mimi nimeona akinukuliwa na media fulani?

Hivi kwa Tanzania unawaeza kuwa Mbuge au Mwanasiasa kisha ukamaliza siasa ukarudi katika kazi za utumishi wa umma kama kawaIda?

Sina wivu na kazi zake, ni kwamba kweli TAWA wamemkosa mtu mwingine jobless mmoja hivi mwandamizi mkambless nafasi hiyo kwa vile yeye ameshatumiaka sana kwenye siasa?

No hate please.
 
Jana katk taarifa ya fisi aliyemnyakuwa mtoto kule magu na Kisha kutoweka kusiko julikana na Kisha baadae kupatikana na maaskari wa wanyama pori Tawa na Kisha kuuwawa na fisi yule kukutwa na hirisi

Bas baadae alijitokeza mtu anayeitwa Vick Kama likwilile Kama afsa uhusiano mwandamizi na kutoa taarifa hyo kwa vyombo vya habr ,

Maswali
Ni lini uteuzi wake ulifanyika ? Au tawa siyo idara ya serekali ?

Huyu Vick si ndio aliwahi kushika nafasi katk shirika la under the same sun Kama sikosei akawa mkurugenzi mkuu CEO

Huyu hyu Vick si alipata kuwa mbunge wa viti maaalumu kwa kipindi Cha Kati ya miaka mitano HV

Je huyu hyu si ndio alikuwa mke wa katibu mkuu wizara ya fedha Dr likwilile ,au Ni mwingine kwa vile mm nimeona akinukuliwa na media fln HV

Swali la nyongeza

HV kwa Tanzania unawaeza kuwa mbuge au mwanasiasa Kisha ukamaliza siasa ukarudi katka kazi za utumishi wa umma kama kawaIda ??

Sina wivu na Kaz zake Ni kwamba Kweli tawa wamemkoza mtu mwingine jobless mmoja hv mwandamizi mkambless nafasi hyo kwa vile yeye amesha tumiaka San kwenye siasa

No hate plz
Kama unapoteza Muda kufatilia maisha ya watu ni hatari sana
 
Usimchanganye Vicky Mtetema....

Huyu ametokea BoT akaingia Mbunge vitu maalam....ubunge ukaisha akarudi utumishi waka post huko ...
 
Namzungumzia huyo
Screenshot_20230428-201517.jpg
 
Jana katk taarifa ya fisi aliyemnyakuwa mtoto kule magu na Kisha kutoweka kusiko julikana na Kisha baadae kupatikana na maaskari wa wanyama pori Tawa na Kisha kuuwawa na fisi yule kukutwa na hirisi

Bas baadae alijitokeza mtu anayeitwa Vick Kama likwilile Kama afsa uhusiano mwandamizi na kutoa taarifa hyo kwa vyombo vya habr ,

Maswali
Ni lini uteuzi wake ulifanyika ? Au tawa siyo idara ya serekali ?

Huyu Vick si ndio aliwahi kushika nafasi katk shirika la under the same sun Kama sikosei akawa mkurugenzi mkuu CEO

Huyu hyu Vick si alipata kuwa mbunge wa viti maaalumu kwa kipindi Cha Kati ya miaka mitano HV

Je huyu hyu si ndio alikuwa mke wa katibu mkuu wizara ya fedha Dr likwilile ,au Ni mwingine kwa vile mm nimeona akinukuliwa na media fln HV

Swali la nyongeza

HV kwa Tanzania unawaeza kuwa mbuge au mwanasiasa Kisha ukamaliza siasa ukarudi katka kazi za utumishi wa umma kama kawaIda ??

Sina wivu na Kaz zake Ni kwamba Kweli tawa wamemkoza mtu mwingine jobless mmoja hv mwandamizi mkambless nafasi hyo kwa vile yeye amesha tumiaka San kwenye siasa

No hate plz
ACHA kumsema mama yangu mdogo
 
Dk andika yako tu inanitia mashaka na udk wako .
 
Correction:
Under the same sun ni Vicky Ntetema.

Hayo mengine hakuna la ajabu as hii ni Tz na unajua remote iko wapi…..
 
Umesahau kuongeza kwenye cv yake aliwahi kuchangisha watu michango ya harusi wakiwepo wabunge wenzake ikafika siku za mwisho mume akaingia mitini hadi leo huyo dada hajarudisha michango ya watu wakati ndoa haikufungwa
 
Alafu Mwana FA akisema hachangii harusi wengine eti wanamjia juu! Michango ya harusi ni upigaji mwingine huo CAG aufanyie kazi!!
 
Back
Top Bottom